Тёмный
EFM TANZANIA
EFM TANZANIA
EFM TANZANIA
Подписаться
E - HABARI JULY 08 - B
10:34
16 часов назад
E - HABARI JULY 08 2024 - A
23:55
16 часов назад
E - HABARI  JULY 06 2024
36:02
4 часа назад
E - HABARI  JULY 05 2024
22:28
7 часов назад
E - HABARI  JULY 04 2024
27:47
9 часов назад
E   HABARI BIASHARA JULY 03 2024
8:56
12 часов назад
E - HABARI JULY 03 2024
33:44
12 часов назад
E - HABARI JULY 01 2024
27:13
16 часов назад
E - HABARI JUNE 30 2024
23:13
19 часов назад
MAZOMBI 181 WAKAMATWA
37:56
День назад
E - HABARI JUNE 24 2024
29:26
14 дней назад
E - HABARI JUNE 23 2024
23:10
14 дней назад
E - HABARI  JUNE 22
32:12
14 дней назад
E - HABARI  JUNE 20A
23:06
14 дней назад
E - HABARI  JUNE 16B
8:02
21 день назад
E - HABARI JUNE 16A
26:40
21 день назад
E - HABARI JUNE 15B
12:53
21 день назад
E - HABARI JUNE 15A
15:52
21 день назад
Комментарии
@farajamsigwa4002
@farajamsigwa4002 27 минут назад
Mimi binafsi nafurahii tuuuu kukusikiliza hata matangazo yangekua dakika 50 alafu dakika 5 unasimulia sina shidooooo kabisa be blessed sister vero❤
@elibarikaneno8699
@elibarikaneno8699 2 часа назад
nzuri hiyo
@EdwardTaus-tc8st
@EdwardTaus-tc8st 2 часа назад
Mr mchafuzi wa chiungutwa masasi Mtwara nawapata vilivyo Leo nimefahamu kua AZIZI k ayupo tena yanga Sasa simba tunataka kupindua meza
@jumannemtoro
@jumannemtoro 3 часа назад
mzee mngoya bagamoyo kongowe mchoma kuku maarufu nawapata livee vipi habar ya azizi kii jamani mbona presha inazid
@kristinakeneth5657
@kristinakeneth5657 4 часа назад
Da Vero. Kwenye kulipia tovuti yako tuwekee wa nje tuweze kufanya malipo pia @veronnicasimulizi
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b 5 часов назад
Asante saaana elibariki
@freddokuckelmann8502
@freddokuckelmann8502 11 часов назад
Dada, pengine mngetafuta mtu anayeweza kuzipa majina vizuri simulizi. From last year backwards mlikuwa mnazipa majina vizuri. Sasa mmempa hiyo kazi huyo mwanafunzi anazipa majina kwa tarehe ameharibu kila kitu. Angalia Simulizi Mix wanavyozipa majina.
@Deedylr4767
@Deedylr4767 11 часов назад
Shida sio ushamba shida uliambiwa ukabisha ukaleta ujuaji kuna ambao hawapat bahati ya kukutana na watu wlata wa kuwaambia kwamba iki sio sahihi ao tutawaonea huruma sio ww mbishi mjuaji babuu
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 12 часов назад
Mapenzi ya nyoko🤨😏
@SleepyGiraffes-hc7mv
@SleepyGiraffes-hc7mv 12 часов назад
Ellbarik mjinga😂😂😂
@Kiddohsanga-fw7jh
@Kiddohsanga-fw7jh 12 часов назад
Vero unavosimulia kama ulikuwwpo
@daudisiray2210
@daudisiray2210 13 часов назад
Very good
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 13 часов назад
Hakuna upofu wa mapenzi namna hiyo, upuuzi huo.
@mocranaburugi3486
@mocranaburugi3486 14 часов назад
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 12 часов назад
😂😂
@khorima
@khorima 14 часов назад
Wow, dada Veronika today you look delicious, you are sooooooo, soooooo beutiful i. Thebway you have dressed today. Hongera sana MAMA
@Marthafaustine
@Marthafaustine 14 часов назад
Jamani simulizi nimeipenda dada vero
@QurityAmana
@QurityAmana 14 часов назад
Mh simuliz ni nzuli Nina hamu kujua mwisho wa ellybalik n mpnz wak 😮maan kha
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 15 часов назад
Mm nawez sema. Ivyo km elliy bariki ww ni kichaa. Mana ndugu yk kasha kueleza kila. Kitu na hy ss ivi ndo unayaona lkn bd tu unafahamu
@angeldavid4720
@angeldavid4720 5 часов назад
Hayo so mapenz ni ufala😢
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 15 часов назад
😂😂😂😂😂😂
@RosemaryDonald-gu1wh
@RosemaryDonald-gu1wh 16 часов назад
Daveronica unatufundisha mamb meng kupitia simlizi
@user-ci6xp5vd6f
@user-ci6xp5vd6f 16 часов назад
Jmn dada Vero nlikuwa naingojea Kwa hamu kipande Cha Leo jmn mwenzako😅
@dayana5513story
@dayana5513story 16 часов назад
Yashanikuta tumia tufuraie maisha 😅
@AnnaTarimo-f6y
@AnnaTarimo-f6y 17 часов назад
Naitwa Anna nip India inajirudia tu nifanyej
@exclusvetztv9011
@exclusvetztv9011 22 часа назад
BONGEE WANAWAKE WALIKUFANYA NINI MBONA UJAWAHI KUMUITA HATA MMMOJA KWENYE INTERVIEW
@prettydiva2543
@prettydiva2543 День назад
Kajala did the best for her daughter..She put her differences away for the sake of her daughter❤❤
@JOHNOISSO-x7e
@JOHNOISSO-x7e День назад
Pamoja mpaka tamati kutoka saut mwanza
@JOHNOISSO-x7e
@JOHNOISSO-x7e День назад
Tupo pamoja kwenye sports mwanzo had mwisho nawapata nikiwa saut mwanza
@gladyrobbin
@gladyrobbin День назад
Haya mambo hayafai ujue 😭😭anaenda kuaribikiwa .si bora angempa maji anywe kuliko hayo madude 😢
@gladyrobbin
@gladyrobbin День назад
Yani huyu kaka kila dalili anaona ila sasa kwa nn apuuze
@SwaumuSelemani-j5z
@SwaumuSelemani-j5z День назад
Pamoja kaka
@user-uq6hn4vf3i
@user-uq6hn4vf3i День назад
Naomba muuvi wadau
@IbrahimMohamed-eq4ek
@IbrahimMohamed-eq4ek День назад
💯💯💯💯
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h День назад
Ila hii dunia jaman ya Allah atusaidue , sisi tunasumbuliwa na bb mzaa mama tena kamtoa mama sijui msukule kwa sasa sijui walimla nyama tunasukuiwa mambo balaa dada yetu aliugua jaman humtamqn alibadilika alikonda hakuweza kuona vizur ,ila sasa alihamndulillah jitihada za mama mkwe na sasa amekuwa mtu wakusali pqmoja na familia yake ila hata sisi tu nasukumiwa vitu balaaa sasa kaka yetu mkubwa yy ndo bas na alikuwa mtt mzur sana mwenye akili anapata dili za kaz pesa anapata ila wap zinaenda hatujui akili yake haiko sawa miaka nenda miaka rudi hana chochote si watt wala mke jaman ni yupoyupo tu kaka haishi matukio mara amepelekwa mahakaman , police ila anakuwa anatoka ni mungu anamrinda ila shida hatujawah kujua ila huyu bb si mtu mzur yarabby atunusuru amin
@GodlistenMremah
@GodlistenMremah День назад
Oyaaa yuzo Kama michano ya stamina unauwaaaa
@AnnastaziaPhilipo-fw1je
@AnnastaziaPhilipo-fw1je День назад
Bukoba mnapatikana namba ngapi kwenye redio
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 2 дня назад
Ila nae zubeda alikuwa mbeya sio kila K2 lazima ufatiliy hapo utaishi Kwa Amani ila. Ukiwa unafatiliya kila K2 utaishi Kwa wasiwasi haswa ukiwa na wafanyakazi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 2 дня назад
Icho ni kibri.njoo nikupe hit..ummpe hit wewe mungu...wewe unatembelea upepo wa wasanii huna lolote... Daimond ndo amekuambukiza upepo wake..mungu ndo Kila kitu..acha kibri wewe
@barakampogolo
@barakampogolo 2 дня назад
Oya nawaona sana
@alpheniahaule8846
@alpheniahaule8846 2 дня назад
Sanaaaaaaaasaaaaa
@IbrahimramadhaniTitu
@IbrahimramadhaniTitu 2 дня назад
Oi konde vp mbona kimya
@JamesRichard-x8d
@JamesRichard-x8d 2 дня назад
Show tuna taka iwake moto.
@abdytownie3094
@abdytownie3094 2 дня назад
Bongeee la interview🙌
@user-cv7pj6hg1l
@user-cv7pj6hg1l 2 дня назад
Duuuh ndio anaharibikiwa hivi jmaniii.. hdi roho inaniuma 😢
@IddaAlistides
@IddaAlistides 2 дня назад
Nakupenda bure❤
@IddaAlistides
@IddaAlistides 2 дня назад
Nakupenda buree❤
@BARAKAELIUD
@BARAKAELIUD 2 дня назад
Kuhoj tyu watu kufanya mazoezi aaahh
@abbytaurus652
@abbytaurus652 2 дня назад
Kinyoz kazingua kukuchonga 😂😂au ndo komedi
@chamlilekivuruga3189
@chamlilekivuruga3189 2 дня назад
Kituuuuu
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 дня назад
Yaani ananikela huyu mkaka mpaka basi anaendekeza mapenzi hadi anakela, anamwamwini huyo mwanamke, wakati mwenzake anamlisha madawa ya kulevya ,kwa kufata hatua kwa hatua
@user-xv5sd3yh2n
@user-xv5sd3yh2n 2 дня назад
@@rosemofuga8101 Daaa hivi Efm Kwenye Redio inapatikana Channel Gan
@gladyrobbin
@gladyrobbin День назад
Yani Mimi Sina hamu naye. Ila huwez jua kapitishwa huku Ili kusud aje kuelimisha watu kupitia mapito yake.
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 23 часа назад
@@gladyrobbin ni kweli kabisa nakubaliana nawewe
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 дня назад
Pumbavu kweli kweli huyo naye hakutakiwa kula wala kunywa kitu chochote kile kwenye hiyo nyumba, kwasababu dalili zote aliziona lakini kwasababu, alijifanya mjuaji na asiyesikia yote aliyomwambia mwenzake