Тёмный
ST BONGO TV
ST BONGO TV
ST BONGO TV
Подписаться
ST BONGO an East African Lifestyle and Entertainment TV Station currently broadcasting live in Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda, Burundi & Congo on the StarTimes DTT-161 & DTH-401 Platform & StarTimes On Application.

Комментарии
@manuelymanuely-ly7gs
@manuelymanuely-ly7gs 3 часа назад
Wadada hela zitawapeleka pabaya then acheni tamaa kutafuta ni wote
@AllyGillar
@AllyGillar 6 часов назад
Yaani huyo ni muongo sana yaani hata aibu haoni sasa yeye Ana hela sasa hapo aseme anatafuta mtu wa kuwa nae karibu anataka tena mtu mwenye kipato Kikubwa cha nini mwenyewe element ni la 5000 namaanisha hilo wigi
@Kaleyatalekindeso
@Kaleyatalekindeso 6 часов назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😜😜😜🎉🎉🎉
@AllyGillar
@AllyGillar 6 часов назад
Kama zali sh hana jipya kwa lipi basi mwenyewe kajua kuoga juzi huyo mshamba
@AllyGillar
@AllyGillar 6 часов назад
Yaani wa dada warembo lakini hawana maboyfrend halafu anakuwa na ma zarau sana na ndio maana wako singo
@AnithaShoo
@AnithaShoo 7 часов назад
Wasoma comment mpo
@AnithaShoo
@AnithaShoo 7 часов назад
Wasoma comment mpo
@theopisterchalle7059
@theopisterchalle7059 9 часов назад
Mnawazalilisha sana chulie mtoto wako ndo yupo hapo
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g 11 часов назад
Kwann mlikataa kwnda kwa wakati ule. Hamjasema ukweli bado
@HassaniIbrahimu-c5i
@HassaniIbrahimu-c5i 12 часов назад
Mwane2 ka2angusha hap anapigaj magot kisa demu sas aaahh qmmmmmk😂😂😂
@khamissaid3222
@khamissaid3222 14 часов назад
Sasa kilchafanyw na diamond pmoja na Diddy ambacho hakipaswi kupostiwa wala kuongelewa ni kitu gan!!!!??
@TickoAlex
@TickoAlex 14 часов назад
Sio mshabiki sana hapa lkn mimependa nguo kavaa binti!!
@jermanminsori663
@jermanminsori663 15 часов назад
huyu hawezi ongea ukweli sababu kimenuka mbona bosi wake kasema walikutana ila waliyoyafanya hayawezi kuoneshwa?
@VumiliaZahoro
@VumiliaZahoro 15 часов назад
Upo sahii miezi 6 nimigi sana
@HariFunner
@HariFunner 17 часов назад
Tembo kiJiti
@HariFunner
@HariFunner 17 часов назад
Kondeboy followers
@zariadunia6328
@zariadunia6328 18 часов назад
Acheni kumdanganya huyo mzee nani atamchagua huyo padri muasi
@pauloegbert515
@pauloegbert515 20 часов назад
Kenyonyo sas
@TysonDaud
@TysonDaud 22 часа назад
Duuuh Simba kaniangusha kinoma
@berthafoya447
@berthafoya447 День назад
Eliza ni hamnazo
@berthafoya447
@berthafoya447 День назад
Yani huyu eliza ana akili ya ajabu, ila ndo maeliza walivyo kidogo zinzpunguaga
@GodfreyMkelete
@GodfreyMkelete День назад
𝐌𝐚𝐭𝐢𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚𝐩𝐨𝐣𝐞
@AdenSilungwe
@AdenSilungwe День назад
Atasubuli sana kuolewa uyoo🤣🤣🤣🤣
@AllyGillar
@AllyGillar День назад
Yule mzee ndio alikuwa anamfaa kabisa
@AllyGillar
@AllyGillar День назад
Eliza sio mke kabisa kwanza Ana mdomo sana na dharau nyingi mmbea huyo mnafiki
@keygunking
@keygunking День назад
I love how the mother begs Diamond to take selfie with her daughter 😅😅😅❤ "Assist her. She's an artist"
@ZeynabAlly-k4j
@ZeynabAlly-k4j День назад
Huyu mtoto wa SAMIA anasoma India sio kama yuko kwenye msafara laah sha
@ThomasAlute
@ThomasAlute День назад
Sijawahi kuona Rais yeyote yule katika nchi yeyote ile anasafiri na mzazi wake mbona marais waliopita sikuona watembee na watoto wao yaani tuna Rais wa ovyo sana Tanzania
@dotricemacheas8390
@dotricemacheas8390 День назад
Huyu mr right aisshhhhh
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan День назад
TATHMINI UCHWARA HUYO
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan День назад
KAMA NI CHAMA IMARA KWA NN ULIWAKIMBIA NA KUWSALITI
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan День назад
Askofu mnafiki na tapeli
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan День назад
ZEE LENYE NJAA HILI BAADA YA KUWASALITI WENZAKE 2015 KWA NJAA ZAKE NAKUNYIMWA UBALOZI BASI LINATAPATAPA TU
@NuruMtesa
@NuruMtesa 2 дня назад
Uyo eliza mmmmmh
@DavidLusambyaChamlungu
@DavidLusambyaChamlungu 2 дня назад
Aliya so beautiful
@Badestjeshi
@Badestjeshi 2 дня назад
Ingekuwa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪ingkua twaongea mambo mengine
@SadamoIssufo
@SadamoIssufo 2 дня назад
Happy Aayah
@DavidLusambyaChamlungu
@DavidLusambyaChamlungu 2 дня назад
Wakwanza kucomment ni Mimi naomba like zenu Jamani
@AbdulaziziMohamed-n7q
@AbdulaziziMohamed-n7q 2 дня назад
Kwakweli nampenda sana makonda mm naomba mungu japo Dua yangu itachelewa lakini ipo siku ww utakua raisi
@NiyonkuruErickJR
@NiyonkuruErickJR 2 дня назад
Ki ukweli Hawa wadada hawana Mapenzi ila wanatafuta wanaume wenye hera pekee kwanza kauli zao mbaya kama hawajalelewa
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 2 дня назад
Yn wanataka kuuwa sehem za kiume ili watu wawe mashoga yn duuuuuh 😳
@LuluMackson
@LuluMackson 2 дня назад
🎉🎉
@NuruMtesa
@NuruMtesa 2 дня назад
Uyo eliza mmmh hatar xana
@LucianSanga
@LucianSanga 2 дня назад
Samia na CCM Watashinda kwa kishindo kikubwatu Acheni kutudanganya
@bakarimakalo7128
@bakarimakalo7128 2 дня назад
Dr Slaa ni Kiongozi mzuri lakini Sio Bora. Alikuwa na nafasi kuwa Rais wa nchi lakini hana msimamo. Alikumbia CCM kwa kukosa uvumilivu, akahamia CHADEMA ambako kuna tatizo la kukosa Umoja kwasababu ya UMIMI. Hili ni tatizo kubwa la Chadema, na kwa hili hawawezi kushika Dolla, hata CCM ikiwa Mbovu kiasi gani. CCM bado ndio itasaidia Maendeleo makubwa ya Tanzania. WaTz hawawezi kudanganywa na Siasa za Ukanda na Ukabila.
@StanleyAdofu-l5b
@StanleyAdofu-l5b 3 дня назад
Tatizo siyo mkweli huchelewi kututelekeza.
@MoodyOne-g5t
@MoodyOne-g5t 3 дня назад
Mnazingua mtatuboaje au nyinyi machiko bongo hawataki ushoga
@RamadhaniHassan-b5h
@RamadhaniHassan-b5h 3 дня назад
Eliza anashida Gani jamani hatumwelew
@RamadhaniHassan-b5h
@RamadhaniHassan-b5h 3 дня назад
Eliza anashida Gani jamani hatumwelew
@Suzanmsuya-d7v
@Suzanmsuya-d7v 3 дня назад
Ety wapare wabahili Mara wachoyo saiv Kuna kabila sio wachoyo ndio maana sura mbaya utauza sura kwenye stage jinga wewe