Тёмный
WORLD NEWS MEDIA
WORLD NEWS MEDIA
WORLD NEWS MEDIA
Подписаться
WorldNewsMedia ni chanzo namba moja cha habari kinachota taarifa mbalimbali ulimwenguni . Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.

#wazirimkuu #sensa #jafo
Комментарии
@lusakaone7782
@lusakaone7782 День назад
Unaposema tunaiba na kuendelea kuiba kura ndio demokrasi
@stevensosipita
@stevensosipita Месяц назад
WATANZANIA HATUKO WAJINGA KINANA,MAKAMBA,RIDHIWAN,NAPE MWIGULU WOTE HAO HAWAFAI KULIONGOZA TAIFA LETU LA TANZANIA NIMAJAMBAZI SUGU NA HATA WAKIHAMIA CHADEMA BADO NIMAJAMBAZI
@harithwhite589
@harithwhite589 Месяц назад
Barbara kuu zote Zanzibar zimezunguukwa na vibanda vya biashara,huoni parking Wala mabustani au majengo ya kuvutia,lazima Zanzibar ibadilike Sasa
@OswardAndrea
@OswardAndrea Месяц назад
Saf chama langu
@TundumaInclusive2024
@TundumaInclusive2024 Месяц назад
Hongera sana RAIS WETU KAZI tunaiona
@yohanamarwa-t8u
@yohanamarwa-t8u Месяц назад
Kwahuyu mwamba simbaamefanikiwa
@kingibandajembe2247
@kingibandajembe2247 Месяц назад
Wanahapa kwa mungu wakaibe vizuri
@user-yw7ud9th2l
@user-yw7ud9th2l Месяц назад
Mwinguru mbonamnamuogopa kubwaramafisadi
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Месяц назад
Mawazo mazuri , shukran
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Месяц назад
Kwa hao thank you inatosha wanajiona sana
@omarali797
@omarali797 Месяц назад
Analalamika! Mfano?
@omarali797
@omarali797 Месяц назад
Na wewe hiyo siasa umeisoma wapi? 😂 Obama alikuwa mwanasheria
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l Месяц назад
Hahahah watakusifu duu lakin watu wa dhuluma ndivyo walivyo huwa wanajifanya dhuluma kuzikataa
@saidsleiman7043
@saidsleiman7043 Месяц назад
Kaingia ngoma siyake? Mbona na huyo rais mwinyi kasomea udaktari na kajiingiza katika siasa. Ukiongea use na fact mzee wangu
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Месяц назад
Nape ni tatizo
@BarakaMwakalambile-u6n
@BarakaMwakalambile-u6n Месяц назад
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Месяц назад
MSAMEHE MAMA.7X70. AMESHAJUTIA. KUMBUKA NA.MAZURI YAKE.
@gangmore9091
@gangmore9091 Месяц назад
Kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah kabla mauwaji y 64 maji bure elimu bure n.k hii karne nyengne kaeni n watoto wenu muwahadisie ujinga
@amanmohd9435
@amanmohd9435 Месяц назад
Wewe Ali Makame sio mzima.
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j Месяц назад
Nape ameongea ukweli 100% mumemuadhibu kwa kutaka kujiosha tu lakini ukweli ndio huo akuiuongea Nape.
@SudiKhamisi
@SudiKhamisi Месяц назад
Kila kitu mungu atakiweka wazi2
@user-hu4sd7bg8n
@user-hu4sd7bg8n Месяц назад
Anasema nini iyu mjinga sisi tunataka mamlaka kamili ya nchi yetu zanzibar. Othman Anafaa kutuongoza. Zanzibar.
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 Месяц назад
Huwezi kuwapata watu waongo wanafik wazushi kuliko CCM
@dogoabdou
@dogoabdou Месяц назад
Tume iwe huru mahakama iwe huru Halafu tupigen kura kma unajiona mefanya mauri kweli
@dogoabdou
@dogoabdou Месяц назад
Kma muna jiamin rkebishen Sheria ya uchaguz
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Tupeni ajira ktk familia tuone kama kutakua na njaa leo hii anadubieiwa baba au mama eti alete chakula watu wale ni kweli zanzibar huku tunapoenda kuna manufaa apana 2025 tunawaomba muiyachie madaraka nchi iyongozwe ktk misingia inayotakikana wazanzibar kuishi mara hii jino kwa jino 😮
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Act wazalendo tunakngea kwa sababu kuna kitu kuna utofauti asaiv inasikitisha sana majiani sio mtu mzima wa mtoto watu wanaokota machupa wallah .ccm ni laana tuku sio neema tupu na nchi tumepindua sote sio ccm pekee wallah kama ni hakki yetu Allah atawaonesha nyie
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Eti mukikaaa munawadanganya watu mumejenga skuli za ghorofa toka mwaka 60 mulikua wap kujenga munajenga asaiv na musijisifu awamu hii ni nyengine ni ccm wale wale .tupeni nchi yetu tuwaoneshe nchi inaendeshwa vp au kwa misingi ilio bora
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Acha kukiongelea chama chetu na ukamchafua Rais wetu mtarajiwa tutaingia barabara kudai hakki yetu
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Koma ww maaalim seif hamjawahi kumzungia mema tokea yupo hai asaiv hayupo hai ndio munajifanya kumtaja kwa wema mafisadi sana ccm na hatutaki kura mara 2 mutuachie nchi yetu Mama samia kua rais wa jamhuri wa muungano wa Tanzania tunaweza kusema ni mipango wa mwenyezi Mungu
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Hatuzungumzii kutengenezwa barabara watu wanaiba pesa kutengenezwa ni wajibu wetu huu mwaka wa 60 na zanziba iko vile vile wazanzibar tumkeni wengine ambao hamujashtuka sote ni wa moja watu wananjaa na skuli ambzo zinatengenezwa ni za covid tena tumdhukuru sana mama yetu Samia kaisaidia sana wazanzibar
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Itafika muda wazanziba kama ivo munavotaka tutaingia barabaran mutumalize sote acheni uchawa au umetumwa
@KhamisBakar-ge4sp
@KhamisBakar-ge4sp Месяц назад
Usitupotezee bando zetu😅
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Ni mwana sheria uyo mwinyi alikua nan mwanzo mbona yupo kwenye siasa angeacha kua raisa bas mbona kaingia kwa kumwagwa dam za wazanzibar musitupotoshe wazanzibar tunataka nchi yetu acha ufisadi
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Месяц назад
Ni kipi kama hakieleweki hapa zanzibar
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq Месяц назад
Wewe,mwehu,watu,wanatakamamlaka,wemjinga,unazingumziabustani
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 Месяц назад
👍🙏
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Месяц назад
Hayo nimaoni yako mtoa speech na wewe unaona upo sahihi unacho kosoa hao viongozi wa Zanzibar nani aliyesomea siasa wewe ni ccm yeye ni Act sera zipo tofauti na hayo anayo ongea nimaoni yake hata wewe mtoa speech hakuna anayekuelewa
@mafadhilahmada2420
@mafadhilahmada2420 Месяц назад
Wewe ni dogo tu subiri pombe na ruzuku
@mafadhilahmada2420
@mafadhilahmada2420 Месяц назад
Mjinga ni wewe haya yaliopo mabadiliko gani angalia miaka mitatu ya Samia madiliko ganimazuri na miaka minne ya mwenyi ni uvunjaji miundo mbinu na kuvuruga nchi ila nakwambia atamaliza muhula hakuna kizuri kitakacho kamilika ila ni hasara kubwa
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np Месяц назад
weye mwenye hii chanal soma hizi commet alaf alaf utajua wwye na huyo unae muhoji nyote mapumbavu
@mafadhilahmada2420
@mafadhilahmada2420 Месяц назад
Wewe ni mvuta bangi hueleweki unachokizungumza
@slumsp7994
@slumsp7994 Месяц назад
Huyu jamaa ni mpumbavu hana hoja ya msingi. Mbna hasemi chochote kuhusu kauli za ccm kuuwa na kuiba kura. PUMBAVU WAHID.