Karibu Simulizi Mix kwa Simulizi za upelelezi, Mapigano, Mapenzi , Uchawi na maisha.. Utaburudika na kuelimika kwa Simulizi nziri zinazokujia hapa siku hadi siku. Subscribe sasa kwa burudani zaidi.
Wazazi wa Happy ni watu wabaya sana wasio na shukrani wala utu na Vero ni kidudu mtu kweli,anadhani mapenzi ya kweli yana mbadala,atashangazwa na matokeo yake
Mhm,sasa mwl.mzima unasikiliza historia ya upnde mmoja tu,unaweza kutatuaje matatizo ya wanafunzi mliokabidhiwa kama wazazi,mwl nae anakuwa kama mwanafunzi tu inaudhi sana
Ni muhimu sana kuifahamu historia ya mahusiano ya mpenzi wako kabla ya kuanziaha mahusiano na wewe ili ujue kama anajifariji kwako kutokana na mahusiano yake ya nyuma ili ujiandae kisaikolojia, maana ya kale ni dhahabu siku zote 😅😅😅😅😅
HIVi huyu monica ana kichwa nzuri kweli yaani mtu anaomba msaada wa haraka alf wewe unamwacha na kuaribu unaenda umbali kiac hiki cjapenda hata kidogo anayetaka kumuua anaua tu
Mi nilisha wahi kuwashwa miaka ya 81 huko nyumbani kwetu siginda iguguno unawasha uo upupu jamani daaah 🤣🤣🤣🤣🤣 halafu mi naona maupupu yapo Dunia kote hata huku Italy 🇮🇹 yapo kibao 😂😂😂