Тёмный
Shamba Darasa TV
Shamba Darasa TV
Shamba Darasa TV
Подписаться
Shamba Darasa TV ni Channel inayoendeshwa na Mkulima Smart Initiatives yenye malengo yafuatayo:-
1.Kutoa mafunzo na mbinu mbalimbali za kilimo cha kisasa na ufugaji bora.
2.Kuandaa michanganuo ya biashara za kilimo na mifugo.
3.Kutoa mafunzo na namna ya kutumia zana/Mashine mbalimbali za kilimo na mifugo.

Pongezi na shukrani ziende kwa muanzilishi na mkurugenzi mtendaji Ndugu Engineer Honoratus Salvatory

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Head office: nzuguni-Dodoma,Tanzania
Tupigie/Whatsapp +255 713 178 868
Barua pepe: mkulimasmart.net@gmail.com


#shambadarasa
#mkulimasmart
NJOO TUKUFUNDISHE KUFUGA KUKU.
3:28
28 дней назад
BANDA LA KUKU LA KISASA LA KUKU 500
2:29
Месяц назад
KUKU WA MAYAI WANAITAJI MWANGA MASAA 14
2:10
2 месяца назад
CHANGAMOTO 10 ZA UFUGAJI WA KUKU
3:14
2 месяца назад
KWANINI ECONOMY CHICKEN KEJI NI BIASHARA?
2:39
3 месяца назад
KUFUGA KUKU WA MAYAI KUNALIPA
2:35
3 месяца назад
UNATAKA KUFUGA KUKU KWA MAFANIKIO?
2:32
3 месяца назад
UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI KIBIASHARA 2024
2:43
4 месяца назад
FAIDA ZA KUTUMIA ECONOMY KEJI/LOCAL CAGE
2:11
5 месяцев назад
CHAKULA CHA KUKU
1:25
5 месяцев назад
HASARA ZA KUFUGA KUKU KWA NJIA ZA KIZAMANI
3:35
6 месяцев назад
LOCAL CAGE/KEJI YA KUKU 500
2:13
6 месяцев назад
MAANDALIZI KABLA YA KUPOKEA VIFARANGA VYA KUKU
2:59
6 месяцев назад
NJIA 5 ZA KUZUIA MAGONJWA YA KUKU
4:53
7 месяцев назад
Комментарии
@ElinuruMbise-w6s
@ElinuruMbise-w6s 7 часов назад
Hongera kwa elimu me nataka kujua namna ya kumlisha nguruwe na chakula gani kinamkuza haraka na anaweza kubeba mimba akiwa na umri gani?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 13 часов назад
❤❤
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART День назад
Good
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART День назад
Karibu sana
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART День назад
Karibu sana
@boniphacembore6224
@boniphacembore6224 День назад
Cage ya kuku 500 bei gani?
@johnmalale3860
@johnmalale3860 3 дня назад
Inapatikana wapi na na inauzwaje
@MussaMzungu-d9o
@MussaMzungu-d9o 3 дня назад
Jamani nahitaji kujua bei ya hiyo cage ya kuku 1000
@athumanihija4782
@athumanihija4782 4 дня назад
Kwa dare salamu tunazipataje hizi jamani tusaidieni
@biannamunishi
@biannamunishi 5 дней назад
Hongera dogo tumesoma wote aseeee😂
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 6 дней назад
Good
@JeraldJackison
@JeraldJackison 7 дней назад
Mnapatikana sehemu gani
@theresiamichael1494
@theresiamichael1494 8 дней назад
Mnapatikana wapi
@himmwalavila6495
@himmwalavila6495 3 дня назад
Tupo dodoma
@INNOCENTKIMARO-i9u
@INNOCENTKIMARO-i9u 10 дней назад
Ni bei gani
@johnbundala7596
@johnbundala7596 14 дней назад
Semeni bei za hizo cage hivo hivo hata pasi na bei sahihi inakua vizur kuliko kuongea tu bila kutaja bei ya hizo cage
@johnbundala7596
@johnbundala7596 14 дней назад
Semeni makadirio ya bei ya hizo cage
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 14 дней назад
@JonasMshana
@JonasMshana 14 дней назад
Ili kupata keji ya kuku elfu 2 natakiwa kua na eneo la square mita ngapi.kuku wa mayai
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART 14 дней назад
@CatherineNoya
@CatherineNoya 17 дней назад
Jmn sungura wangu amejinyonyoa manyoya kidogo amalize, nifanyeje ili mayoya yake yarudi haraka?
@rev.prof.stepheno.ketaro7381
@rev.prof.stepheno.ketaro7381 17 дней назад
Vizuri sana
@estergilihe7223
@estergilihe7223 17 дней назад
Mnapatikana wap
@zunguigwe
@zunguigwe 17 дней назад
Bei gani
@TheresiaLulenga
@TheresiaLulenga 20 дней назад
Hongere kwa kutoa elimu ya ufugaji Bora wa wanyama
@SophiaKokkan
@SophiaKokkan 20 дней назад
Sh ngapi hiyo ya kuku 200
@ScolasticaSaire
@ScolasticaSaire 21 день назад
Huko mkoa gani naomba kuja kujifunza kwako
@reinburgandunguru1638
@reinburgandunguru1638 22 дня назад
Mnapatikana wapi
@eldakishimbo5746
@eldakishimbo5746 23 дня назад
Habari, pini xa kukamulia ngombe xinapatikana?,mimi nipo moshi.
@chalazima
@chalazima 25 дней назад
Pesa gap
@johnbundala7596
@johnbundala7596 25 дней назад
Tajen bei
@GeboNdaru
@GeboNdaru 26 дней назад
Mm nataka kujua bei gan nipate hata wawili
@RamadhaniMwaimu
@RamadhaniMwaimu 27 дней назад
Bei gan
@HafsaMwalimu
@HafsaMwalimu 28 дней назад
Keni ya vifaranga inatengenezwa kwa sh ngapi
@UbaheyMohamed
@UbaheyMohamed 28 дней назад
Hakuna mkulima smart kenya
@UbaheyMohamed
@UbaheyMohamed 28 дней назад
Kenya hakuna mkulima wenu ama
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp Месяц назад
Keg ya kuku 1000 inacost bei gan
@HonestKinyaiya
@HonestKinyaiya Месяц назад
Hizo cage zinaweza kutumika kwa mda gani
@baltamjasiriamali9101
@baltamjasiriamali9101 Месяц назад
naomba kuuliza doctor ngurue akisha zaliwa anatakiwa akae sikungapi ili uweze kumpiga dawa ya minyo
@Kaja6619
@Kaja6619 Месяц назад
Hi naomba kuuliza keji kama hiyo inabeba kuku wangapi na inaurefu na upana gani
@geralddeus1434
@geralddeus1434 Месяц назад
Gharama yake ikoje
@BeatricePeter-zg5ee
@BeatricePeter-zg5ee Месяц назад
nataka mashine ya kutotoleshea
@Amaba-we4us
@Amaba-we4us Месяц назад
Vnamba ya Whatsapp
@duncanwanjeri6500
@duncanwanjeri6500 Месяц назад
Nime penda Niko Nairobi
@offdutyjungle_farms4551
@offdutyjungle_farms4551 Месяц назад
Biochemistry tena
@geralddeus1434
@geralddeus1434 Месяц назад
😂
@gracekigulunde762
@gracekigulunde762 Месяц назад
Nipo daa
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART Месяц назад
@nizeyimanaernest-pc3jy
@nizeyimanaernest-pc3jy Месяц назад
Unaweza nitumia mbegu hapa makamba- burundi?
@MKULIMASMART
@MKULIMASMART Месяц назад
Economy chicken CAGES
@ShakilaBakari-t9h
@ShakilaBakari-t9h Месяц назад
Ukiwaanzishia pillet ya silver land inafaa vifaranga wa siku 1
@ShakilaBakari-t9h
@ShakilaBakari-t9h Месяц назад
Wanamaliza kl 50 ya chakula