Тёмный
Mwl Ezekiel Malando
Mwl Ezekiel Malando
Mwl Ezekiel Malando
Подписаться
Karibu katika Channel Rasmi ya Mwl Ezekiel Malando

Kwa Mawasiliano zaidi:
+255 769 305 019
+255 657 889 217
Комментарии
@SHAKILANADE
@SHAKILANADE День назад
Mngu akubariki
@eternalawesome
@eternalawesome День назад
Hallelujah
@SpeciozaLaurent-y3d
@SpeciozaLaurent-y3d 3 дня назад
Amina, barikiwa sana.
@EVETATEMU
@EVETATEMU 3 дня назад
Ameen
@godlivergood5025
@godlivergood5025 5 дней назад
Nakufutilia. toka USA mtumishi ubarikiwe
@zainabukiponza
@zainabukiponza 5 дней назад
Nakomesha hofu , wasi wasi na sauti zinajirudia kichwani kwangu katika Jina la Yesu Amen
@furahamichael6047
@furahamichael6047 7 дней назад
Amina nakomesha ma agano mabaya yanayo jiludia katka maisha yangu roho zauharibifu mashambulizi na mavamizi kwa jina la yesu kiristo 🙏🙏🙏🙏
@sarahkihiyo4461
@sarahkihiyo4461 9 дней назад
Amen
@janemcharo4224
@janemcharo4224 12 дней назад
Ameeeeeeen
@TuelewaneSemahoro
@TuelewaneSemahoro 13 дней назад
Namiq nimefugwa baba sijawayi kubalika mbele ya mtu unisaidie
@Berthasamkhumbi
@Berthasamkhumbi 15 дней назад
Hallelujah
@rahelmpule
@rahelmpule 18 дней назад
Ameen mtumishi
@NyemoBernadeta
@NyemoBernadeta 20 дней назад
Nakukomesha plesha inayo jirudia kwa jina la yesu na kw ADAMU ya YESU
@MingYou-o9w
@MingYou-o9w 22 дня назад
NaKataa ndoto mbaya zakujiludia
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 22 дня назад
Amen kwa damu ya Yesu nimekombolewa asante Mungu
@TumainiMwamjengwa
@TumainiMwamjengwa 25 дней назад
Nakomesha kila bp vidonda vya tumbo na mapepo yasirudi tena , na udhaifu wa ajabu ajabu usirudi tena
@VivianMlowe-f8f
@VivianMlowe-f8f 26 дней назад
Nakomesha changamoto za magonjwa kwadamu yayesu
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu 26 дней назад
Ameen ntakutafuta mtumushi
@anastinarevelian5633
@anastinarevelian5633 27 дней назад
Amina mtumishi
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu 27 дней назад
Ameen napokea uponyaji wangu leo,kibali,nyota yangu, biashara iliyokufa irudi. roho yakukataliwa naikomesha, roho ya mafarakano naikomesha kwa jina la Yesu Ameen asante baba kwa Maombi mazuri ameen
@samwel_laurent
@samwel_laurent Месяц назад
🙌🙏
@marychedego-c7e
@marychedego-c7e Месяц назад
Nakomesha kujirudiarudia kwa matatizo
@alindasawe44
@alindasawe44 Месяц назад
Kutoka Simiyu amen
@ambrosekaseka9346
@ambrosekaseka9346 Месяц назад
nakomesha ndoto mbaya zinazojirudia zinazoashilia kukwama kucheleweshwa kurudi kuachwa ni magonjwa kwa damu ya yesu Amen
@IanLuval
@IanLuval Месяц назад
Mungu nisamehe makosa yangu nakaata rohoza kunyonga kupitia kwajinalayesu hizoroho ziniondokee kupitia kwajinalababa nalamqana nalaroho mutakatifu
@HellenNyaboke-z4z
@HellenNyaboke-z4z Месяц назад
Naamini Kwa jina la yesu magojwa na laana zote na ndoto mbaya za kunirudisha nyuma si shundwe Kwa damu ya yesu Kristo amina
@JoyceHaule-o7b
@JoyceHaule-o7b Месяц назад
Nakomesha magonjwa katika jina la Yesu
@GalileAmani
@GalileAmani Месяц назад
Ubarikiwe mchungaji
@monicadittu2554
@monicadittu2554 Месяц назад
Nimepokea uponyaji kupitia maombi haya ubarikiwe mtumishi kwa maombi
@EffaYanga
@EffaYanga Месяц назад
Nakomesha roho za magonjwa katika Maisha yangu na kwa watoto wangu na mume wangu
@AdiaChidy
@AdiaChidy Месяц назад
Mungu naomba nipone magojwa yote yanayo ludiya ludiya
@NellyKombe
@NellyKombe Месяц назад
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
@sekelamwakyosi9999
@sekelamwakyosi9999 Месяц назад
Naondoa kila chanzo kinachosababisha matatizo kwenye maisha yangu kwa damu ya YESU
@Morinefonga
@Morinefonga Месяц назад
Amen napokea 🙏
@Morinefonga
@Morinefonga Месяц назад
Amina napokea🙏
@RoseHenjewele
@RoseHenjewele Месяц назад
Nakomesha shetan anaecheza na maisha yangu
@RoseHenjewele
@RoseHenjewele Месяц назад
Nakomesha mafarakano yanayo jiludia
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Amen
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
Amina sana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Месяц назад
❤❤❤❤Amina Muñgu akubariki Mtumishi ubarikiwe sana Nina Imani nimepona ❤❤❤
@BethsaidaMacrean
@BethsaidaMacrean Месяц назад
Nakomesha kuota nagombana na wanyama na kuona wafu nakemea
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Amen
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Ameeen ameeen ameeen pastor nimeona mkono wa Bwana mungu
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Месяц назад
❤❤❤❤
@RoseMboya-u8d
@RoseMboya-u8d Месяц назад
Nakomesha magonjwa kwenye familia zetu,ajali,ulevi na wizi kwa jina la YESU. Mtumishi maombi yako sana
@stellamutembei7567
@stellamutembei7567 Месяц назад
Mimi ni roho ya kurundi nyuma kila wakati kwa uzinzi, uongo, mastebation hizo ndizo vitu sinanisumbua naokoka leo nakaa kaa miezi mitatu inajirundia tena na ndoto mbaya, yesu mwana wa Mungu nisaidie natamani nikutumikie kwa roho na kweli
@NancyJohn-r9l
@NancyJohn-r9l Месяц назад
Nakomesha magonjwa yanayojirdia jirudia
@AAoo-c8f
@AAoo-c8f Месяц назад
In the name of Jesus Christ 🙏 walai this prayer is powerful if you have faith mm nmekua naumwa na tumbo but finally nmepokea uponyaji 🙏❤️ mungu apewe sifa milele 🙏🙏 najua ata ashabadilisha ndoto yangu 🙏
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Pastor kumbuka watoto wetu pia
@hffh7717
@hffh7717 Месяц назад
Amen Amen amen pastor wacha mungu akutie nguvu