Тёмный
Tanganyika TV
Tanganyika TV
Tanganyika TV
Подписаться
TANGANYIKA TV NI TV AMBAYO INARIPOTI HABARI, UTAMADUNI ,SANAA NA MICHEZO KUPITIA LUGHA YA KISWAHILI .TUPO KIVU YA KUSINI ,OFISII ZETU ZIPO BARAKA FIZI NA UVIRA KATIKA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO.
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI TEMBELEA UKURASA WETU WA FACEBOOK NA INSTAGRAM
@TANGANYIKATV
KWA MASWALI YA BIASHARA NA MATANGAZO EMAIL : TANGANYIKATV@GMAIL.COM

KWA PAMOJA TUPASHE
Комментарии
@rugarekashasha8196
@rugarekashasha8196 55 минут назад
Mzee muongozi wa 3è malkia wa ubembe pamoja na kanisa lote hongereni sana. Hilo ndilo kanisa la kweli sio hayo makanisa ya kigeni ( kanisa za wazungu)
@user-vv9zn3pd3r
@user-vv9zn3pd3r 10 часов назад
RIP 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭our hero I still can't believe it
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s День назад
Good job tata❤
@ClaverSele
@ClaverSele День назад
Big up 🎉
@CharkeyMwamba-z2u
@CharkeyMwamba-z2u День назад
Very good
@mukundesikitu8314
@mukundesikitu8314 2 дня назад
Mungu ni mkuu
@byoseasolokoci7257
@byoseasolokoci7257 2 дня назад
Babondo Mmesé
@user-ri5ep8xm4o
@user-ri5ep8xm4o 3 дня назад
Asante sana
@G-freshFilms
@G-freshFilms 4 дня назад
Nime penda iyi kitu kbs
@G-freshFilms
@G-freshFilms 4 дня назад
Good
@IsraelKabwenchi-Lebeni
@IsraelKabwenchi-Lebeni 4 дня назад
My Brother Dr. Alinoti 🎉
@TanganyikaTV
@TanganyikaTV 3 дня назад
❤❤❤ Wewe ni wa kubarikiwa!
@IsraelKabwenchi-Lebeni
@IsraelKabwenchi-Lebeni 4 дня назад
Oh, my Brother Congratulations 🎉
@TanganyikaTV
@TanganyikaTV 3 дня назад
🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 4 дня назад
Asante sana
@JohnMabanzo
@JohnMabanzo 4 дня назад
Kazi nzuri
@MudedaBrigitte
@MudedaBrigitte 4 дня назад
Courage
@omarndege811
@omarndege811 5 дней назад
Morocco inapatkana
@samsonimnyampala
@samsonimnyampala 6 дней назад
Mwandishi hufai kwer mnaonge ujinga gan usiereweka
@billykizakibengo4061
@billykizakibengo4061 7 дней назад
Kila ninapo zisikia nyimbo za Reveil choir usoni kwangu nina machozi inayo tiririka. Mungu azidi kuwabariki popote mlipo na azilaze roho za walio tanguli mahali pema. ❤
@ngendaniyeniyonkuru8826
@ngendaniyeniyonkuru8826 8 дней назад
Aise shukurani ya Punda ni mateke. Wabembe kutoka Congo ndiyo wanao nufaika na maliasili ya Tz, kuliko makabila mengine kutoka katika Nchi za jirani.
@AlimasiWilonjda
@AlimasiWilonjda 8 дней назад
@godfreyally-ps3fo
@godfreyally-ps3fo 8 дней назад
Congo hakuna vita?🤔
@heritierbyaombe-zg8qh
@heritierbyaombe-zg8qh 10 дней назад
Amen 🙏 🙏 🙏
@gastondofra9151
@gastondofra9151 10 дней назад
Vizuri sana. Mungu awabariki kwa wimbo nzuri
@WELONGOMLELAFIDO
@WELONGOMLELAFIDO 11 дней назад
𝑶𝒌
@reinhardjesmart169
@reinhardjesmart169 12 дней назад
huyu mtangazaji hamna kitu
@LeaLunanga
@LeaLunanga 12 дней назад
Mungu aibariki kazi ya Maranatha Mission Internationale
@mrdanico5937
@mrdanico5937 13 дней назад
Hamtaki tu kujengewa barabara kivipi barabara inaweza kujengewa kutoka bukavu ifike uvira kalundu na Iwe mwisho na mnyamanze tu bika hata kuandamana kuonyesha na ninyi mnaitaji hiyo barabara mnaitaji ifike huko kwenu hakuna fursa nyengine yakujengewa barabara kama hiyo 😮😮 kwani baraka sio congo na mlisha pewa ville ambayo aina barabara ya lami 😂😂😂😂
@nzsandy6774
@nzsandy6774 13 дней назад
Nafuhahi sana na reportage ihi ❤ J’aimerais bien entrer en contact avec le monsieur historien ya ba bembe 🙏🏾
@tontonfils-du2rj
@tontonfils-du2rj 14 дней назад
Bujumbura tunakupata 5/5 Big UP maranatha
@Saidi1581
@Saidi1581 14 дней назад
Mungu awabariki sana wazalendo wakongo .
@Saidi1581
@Saidi1581 14 дней назад
Nakutakia uwe na siku nyingine hapa duniani mzee General Wiliam Yakutumba sisi wakongo tunakupenda sana Mungu awe na wewe kwa kila jambo ufanyalo ,Amen🇨🇩
@user-ts4zn1sx7h
@user-ts4zn1sx7h 14 дней назад
Na Mungu ailaze roho ya marehem mahala pabaya zaidi Amen❤❤❤❤
@user-ts4zn1sx7h
@user-ts4zn1sx7h 14 дней назад
Mzee wenu mpendwa au Mzee mjinga kma nyama Zingine kwann mnaugojwa wakusau mapema Sana kwakwel duh Mmbembe ana akili kbs hyo mjinga wenu alipewa seem nzur tna kwakuijenga tarafa lao la fizi na atakae uumia Anisamee bure ❤❤❤❤ tokeni pale achen mchekwe Sana
@bintindume205
@bintindume205 14 дней назад
The message was flawlessly executed 👏
@jeromealutaMmuma
@jeromealutaMmuma 15 дней назад
On pleure parfois, on se demande pourquoi mais ainsi va la vie
@ekyochisikitaya5354
@ekyochisikitaya5354 15 дней назад
Baraka siyo ville, wa ache mzaa. Serikali ifanye miundo mbinu kwanza. Ville gani Aina umeme, akuna Barabara, akuna maji Safi, akuna bandari wala uwanja wa ndege, vitu hivyo na vinginevyo ni jukumu la serikali, Sasa raiya watawekeza kwakuwa wameisha raisishiwa.
@pressgrace4052
@pressgrace4052 16 дней назад
Thanks brother Kosto for lifting up the industry of gospel music and for remaining faithful to your Christian calling as well as setting up a very good example for the generation to come .
@Yusufu940
@Yusufu940 16 дней назад
Kasema ukweli bila kupingwa
@uviranyumbani
@uviranyumbani 16 дней назад
Tatizo munachonga sana kiswahili na muache bulozi muko nauwa ba jeune yenu akijenga etage inakua shida
@KolamuWabene
@KolamuWabene 16 дней назад
Hambieni WA chef de secteur na wami wote WA zone ya fizi,wahambiye watu wao wazidi kupunguza baazi ya vitu bei,parcelle moja ya baraka hinazidi bei barcelle ya burundi ,pia serekali yetu ya congo ni serekali ya mchongo yaani ya bwizi,
@Ymcaa
@Ymcaa 16 дней назад
kwanza raisi felix atimize mkataba hio ambae iliosini la pili atuletee FDLR ambae iliefanya genocide dhidi ya Tutsi katika mwaka 1994 Yani misiwakukubali kua nchi Rwanda inalengo la kukamata ardhi ama udongo Yani sio haki kwa sababu Rwanda ina mifumo rasmi tofauti na hiyo ambae ya kuwasaidia kuimiza majukumu za wananchi pamoja na wamanchi yani ushirikiano waktosha ndo maana nchi yetu haitaki ardhi ingine lakini pia kwa jinsi congo Kila wakati isaidia FDLR inawezekana kuwa rahisi kwa kupeleka nguvu maalum nchini congo kwa lengo la salaam.
@manassiibonja
@manassiibonja 16 дней назад
NAWAFUATA FROM GERMANY
@UwingabireHilarie-xw2ig
@UwingabireHilarie-xw2ig 16 дней назад
Mimi nampenda sana
@OmboAmisi
@OmboAmisi 16 дней назад
Kufika kwa Injili tarafani Fizi alama nyingi za maendeleo zinaonekana wazi.
@selemanimmeswa3556
@selemanimmeswa3556 17 дней назад
Acheni hiyo michezo fundisheni watu kazi;ndio maana fizi kuna baki nyuma sana;juu akuna mafundisho yakuchapa kazi
@sungesonji4412
@sungesonji4412 17 дней назад
Uwongo mtupu, mambo mengi ya uharibifu hufanyika kupitia kanisa, hapakuwa mambo ya Mungu pale Abela bali mipango ya mashetani watusi. Walikuwa Abela kwa kazi ya kuvusha silaha kwenda milimani kwa ajili ya kuandaa balkanisation ya Kongo. Acheni ujinga wa namna hiyo, siri ipo inje
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 17 дней назад
Mungu una mshukuru kwa lipi? Hata muandishi hauna akili
@ParisienKashindi
@ParisienKashindi 18 дней назад
Kurage mama wetu
@wilondjapasta9403
@wilondjapasta9403 18 дней назад
Rest in peace bibi yangu mpendwa
@eastafricanist9156
@eastafricanist9156 19 дней назад
Msimamo wa Yakutumba ni ya chuki na ukabila tupu na haiwezi leta amani Congo.