Please if you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim it to RU-vid Kindly send me a direct message through iqraatvonline@gmail.com and I will delete them right away.
Thanks for your understanding .
KUHUSU MADAI YA HAKI MILIKI.
Tafadhali ikiwa una suala lolote na maudhui yaliyotumiwa kwenye Channel yangu hii au utapata kitu ambacho ni milki yako, kabla ya kutuma madai kwa RU-vid tafadhali Nitumie ujumbe wa moja kwa moja kupitia iqraatvonline@gmail.com na nitakiondoa mara moja.
Allah akusamehe kwa yote ulio yapitia ni changamoto mwanaadam anazozipitia,Allah akufanye ue mwana daawa na kio kwawale ambao bado hawajajielewa insha Allah
Wapumbavu kabisa peleken tamaa zenu mbele mnazaliwa na WA awake mwanamke akifa mnamshika maungo yake na mikono kwenden huko na tamaa zenu hao mnaowaita makafiri ni wa Mungu pia kwani watu wako uchi tamaa TU ndio mmeweka mbele
Siku hizi harusi za kiislam zimekua kama za kikiristo wanawake na wanaume wake sehemu moja hivi nyinyi mashek mambo kama haya kwa nini mnayafumbia macho wakati mnajua ni makosa