Тёмный
Brender Massawe
Brender Massawe
Brender Massawe
Подписаться
Комментарии
@MVUNILWATHADEO
@MVUNILWATHADEO 23 дня назад
Je..unaweza paka mwili mzima..na ukipak unaosha au unalala nayo??
@MVUNILWATHADEO
@MVUNILWATHADEO 23 дня назад
Mambo..me uso wangu una mafuta sana..je hii itasaidia kukausha na kuepusha chunusi??nijib pls
@Patricelasway
@Patricelasway 6 месяцев назад
Ukikaangaa na mafuta haina shida
@davismbwilo7891
@davismbwilo7891 9 месяцев назад
Unajua sana
@HidayaMwipi-os9cd
@HidayaMwipi-os9cd Год назад
Hidaya
@NeemaMakata
@NeemaMakata Год назад
Maziwa yoyote ya fresh au
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe Год назад
Maziwa fresh ni mazur lakn hata mtind unaweza kuweka
@winielucas2559
@winielucas2559 Год назад
Nmejaribu lkn navyopaka kama Nina scrub naona inapuputika sielewi nifanyaje
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe Год назад
Hello dear hii inakua kama face mask kwaajil ya kutibu uso baadae utanawa
@kudrasudi865
@kudrasudi865 Год назад
Chumvi hujatuambia ni vijiko vingap
@davidmchopa1066
@davidmchopa1066 Год назад
Asante sana
@ramakimolo125
@ramakimolo125 Год назад
Asante sana leo chungu cha tatu tareh25/3/natafuta namna ya kipia dakuu
@vivianaudax1509
@vivianaudax1509 Год назад
Ongea kiswahili au kama kizungu kiwe kizungu ..duh
@ilhamally4800
@ilhamally4800 2 года назад
Mambo dada Mimi uso wangu una mafuta Sana nawez tumia bila kuweka mafuta ya nazii
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe Год назад
Hello unaweza ukaweka rose water ni nzur sana kwa ngozi
@barnabazawadi9433
@barnabazawadi9433 2 года назад
Mimi nikipika mchele unakuwa kama ugali, wapi nakosea? Halafu hayo majengelee kabla hujayaweka kwenye wali unayapika kwanza au? Sijaelewa hapo
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 2 года назад
Mpendwa, utakua unazidisha maji weka maji kidogo yapite mchele kidogo Pia inawezekana mchele unapikia ni mpya hivyo jitahid kuzingatia maji Njegere ni mbichi Maan hazichelew kuiva Mpaka wali unaiva njegere zinakua zimeiva
@barnabazawadi9433
@barnabazawadi9433 2 года назад
@@brenny_cliffe ASANTE
@evanessmuhesi8626
@evanessmuhesi8626 2 года назад
P
@bintrashid6967
@bintrashid6967 2 года назад
Maziwa ya dukani pia yanafaa naomba unijibu please
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 2 года назад
Ya ng’ombe ni mazuri zaidi
@hawaalliy1533
@hawaalliy1533 2 года назад
Weusi wa mapajan na kwapa vip inafaa
@danielcosmas8698
@danielcosmas8698 2 года назад
Yaaaan viombo vinasaut kuliko sauti yako
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 2 года назад
Will improve
@majaliwamwinje2232
@majaliwamwinje2232 2 года назад
😂😂😂😂
@getrudautenga1530
@getrudautenga1530 2 года назад
Kasura kazur ongera
@niceabdul4898
@niceabdul4898 3 года назад
Mpenz mi nataka kutengeneza niuze he nikitengeneza vikopo vingi? Je inaweza kuharibika?
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Itaharibika dear ikikaa sana
@ajirathahmada8950
@ajirathahmada8950 3 года назад
Ngozi yako nzuri dear. Unatumia lotion gani mwilini?
@emanuelmtepeka7693
@emanuelmtepeka7693 3 года назад
No salt
@naomimgaya5085
@naomimgaya5085 Год назад
Ameweka bna
@alfredinakatto1605
@alfredinakatto1605 3 года назад
Nikiweka mafuta ya karanga inavaa
@rehemaemanuel1861
@rehemaemanuel1861 3 года назад
Hiv vdonge vinaitwaje mpenz
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Vitamin E dear
@beatricemaganya2979
@beatricemaganya2979 3 года назад
Sukar vip naweka ama
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Hapana my dear sukari si nzuri kama unatak kupungua
@jimmymwaipeta2151
@jimmymwaipeta2151 3 года назад
B mm muonjaj
@richardchami588
@richardchami588 3 года назад
Somo nimekuelewa na nimelipendaaa.Kama cna Blenda nafanyaje my dada.
@twagejoel5881
@twagejoel5881 3 года назад
Mm naon unajishau huna hAja ya kuweka youtube coz huelew change eliza vingereza ving sanaa wengne hawajui majina ya viungo
@mulasimwenemalongo1261
@mulasimwenemalongo1261 3 года назад
Hi, mtu anaweza akapaka ayo mafuta mwilini?
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe Год назад
Hapana hii ni kama face mask
@izdorymasawe4201
@izdorymasawe4201 3 года назад
Hii ni watu wa ngozi za mafuta wanatumia
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Ndio haina shida kabisa tumia jioni
@babyloveflores3652
@babyloveflores3652 3 года назад
Kama huna vidonge hiwezi kuwa sawa cream???
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Vidonge dear vinaumuhimu ukienda pharmacy no elf moja tu kwaajili ya kuglow your skin
@dianagodfrey8654
@dianagodfrey8654 3 года назад
Unaongea kwa saut ndogo mno 🙄
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Ntaongeza sauti usijal
@elizabethrichard3884
@elizabethrichard3884 3 года назад
Nimelipenda pishi lako
@hassanharuna1519
@hassanharuna1519 3 года назад
Naipenda nami ntajaribu🙏🏿
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Karibu
@dasheden9976
@dasheden9976 3 года назад
a trick: you can watch series on Flixzone. Been using them for watching lots of of movies recently.
@garyguillermo8322
@garyguillermo8322 3 года назад
@Dash Eden Yea, been using flixzone} for years myself :)
@javierkannon8934
@javierkannon8934 3 года назад
@Dash Eden yup, been using flixzone} for months myself :)
@seangerardo66
@seangerardo66 3 года назад
@Dash Eden yea, I've been watching on Flixzone} for months myself :D
@hassanharuna1519
@hassanharuna1519 3 года назад
Una usimzuri dear hongera sana
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Thank you ❤️
@MunguMwema-m4l
@MunguMwema-m4l 5 месяцев назад
Mimi unakuta natengeneza hivyo lakini ikifika siku mbili yananuka ​@@brenny_cliffe
@surestym5620
@surestym5620 3 года назад
Kingereza kingii khaaa😏😏
@renathamyovela3811
@renathamyovela3811 3 года назад
Ntampikia babe on vacation 😍😍😍😍
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Kabisa mama
@elizabethmlonganile5000
@elizabethmlonganile5000 3 года назад
Keep up girl
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
Thank you babe
@lilimosha2196
@lilimosha2196 3 года назад
😋😋😋 yammy
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 3 года назад
😋😋
@ميومةتنزانيا
@ميومةتنزانيا 3 года назад
asante dada
@esterdanford5563
@esterdanford5563 4 года назад
Haisababishi vidonda vya tumbo? Unaponywa asb kabla ya hujala kitu hasa tangawizi na limau
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Hapan my dear unless una vidonda tayar itakuumiza kabla hujala kitu pia unaweza kuweka tango na limao tu ikakusaidia dear
@esterdanford5563
@esterdanford5563 4 года назад
@@brenny_cliffe asante sana dia nimeelewa
@nawikesamson3276
@nawikesamson3276 4 года назад
Nice
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Thank you dear
@yothamkweka8378
@yothamkweka8378 4 года назад
Hatare brenny
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Yotham Kweka thank you cousin
@aninziyenjeje4999
@aninziyenjeje4999 4 года назад
Hiki changu hakisikii labda nijaribu
@vyunguvyaalluminiumsongea1620
@vyunguvyaalluminiumsongea1620 4 года назад
Good
@jimmymwaipeta2151
@jimmymwaipeta2151 4 года назад
Ipo poa ntampa chaliangu mmoja achek hii inamfaaa co kwa mtambi ule.thank you
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Siku 30 tuy
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
jimmy mwaipeta thank you bro
@jimmymwaipeta2151
@jimmymwaipeta2151 4 года назад
Kitatoka baada ya mda gan sister B
@scholaluvanda4597
@scholaluvanda4597 4 года назад
nice 😘😘
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Schola Luvanda thankyou dear
@jimmymwaipeta2151
@jimmymwaipeta2151 4 года назад
Apo pa kitimoto ndo kutoana mate ukuuuu
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
jimmy mwaipeta 😅😅😅
@loveeve9483
@loveeve9483 4 года назад
Umepikaaa vzr
@lilimosha2196
@lilimosha2196 4 года назад
Yeeeeees wifiiiìii 😋😋😋😋😋
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Lili Mosha thank you my wii 😍😍
@jimmymwaipeta2151
@jimmymwaipeta2151 4 года назад
I appreciate B
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Thank you bros 😍
@aninziyenjeje4999
@aninziyenjeje4999 4 года назад
Waw....awesame...keep it up my mdogo
@brenny_cliffe
@brenny_cliffe 4 года назад
Aninziye Njeje thank you my dada