Тёмный
Jiongezee Maarifa
Jiongezee Maarifa
Jiongezee Maarifa
Подписаться
Imarisha Imani Yako
Tafuta Imani Yako
Tengeneza Imani Yako
Linda Imani Yako

Allah (S.W.T) Amesema: “Mwenye kufanya matendo mema akiwa mwanamme au mwanamke hali ya kuwa ni muumini [mwenye Imani ya kweli iliyotulia moyoni], basi tutamfanya aishi maisha mazuri na kwa hakika tutawalipa huko Akhera malipo yao kwa uzuri zaidi ya yale mazuri waliokuwa wakiyafanya” [16:97]

"Naapa kwa zama, Hakika Mwanadamu (Yeyote) yumo katika khasara (ya kuangamia) isipokuwa wale Walioamini (wenye Imani ya kweli iliyotulia moyoni) na wakafanya matendo mema (kwa viungo vyao), wakausiana kushikamana na haki na wakausiana kushikamana na kusubiri" [103:1-3]

"Hakika wale walioamini na wakafanya matendo mema watakuwa na hizo pepo za Firdaus na mashukio bora, watakaa humo milele na hawatotaka kuondoka" [17:107-108]

Tunamuomba Allah (S.W.T) Atupe Mwisho Mwema na Aijaalie Channel hii kuwa ni sadaka yenye kuendelea, Aamin.

Assalaamu Alaikum.

Kwa ushauri na maoni:
0773274875/0623602275
Utamu wa Imani || Sheikh Nassor Bachu
2:31
3 месяца назад
Tafsiri ya Surat Al-Asr || Tahir Ali Moh'd
6:12
4 месяца назад
Raha za peponi || Sheikh Kipozeo
2:33
5 месяцев назад
Malaika wa mauti anatisha
5:53
5 месяцев назад
Wanachuoni wa Afrika Mashariki
3:23
5 месяцев назад
Dua || Sheikh Kassim Mafuta
2:25
5 месяцев назад
Maisha Mazuri || Jaamii Zanzibar
30:01
6 месяцев назад
Sheikh Nassor Bachu || Fitna ya mwanamke
5:06
6 месяцев назад
Mtu mwenye jicho moja || Sheikh Mselem
8:10
8 месяцев назад
Kila nafsi itaonja mauti || Sheikh Mselem
13:55
8 месяцев назад
Hatari ya mtu mwenye kuacha swala
8:00
9 месяцев назад
Tabia za wanawake || Sheikh Mselem
17:11
9 месяцев назад
Dua for Masjid Al-Aqsa
2:42
10 месяцев назад
Bad news and good news || Imam Siraj Wahaj
16:44
10 месяцев назад
Surat Yasin (70-83)
2:16
Год назад
Комментарии
@AsaniKasato
@AsaniKasato 2 дня назад
Shukran mungu akulipe kilajema bor
@ashahussein8971
@ashahussein8971 7 дней назад
subuhanallah
@BahatiMataka
@BahatiMataka 11 дней назад
Allah akujaze majazo mema Sheikh wangu
@BahatiMataka
@BahatiMataka 11 дней назад
Allah akujaze majazo mema Sheikh wangu
@BahatiMataka
@BahatiMataka 11 дней назад
Mhh!!
@mr.mughalll
@mr.mughalll 23 дня назад
سبحان الله وبحمده سبحان الله العظيم صلي على النبي صلى الله عليه وسلم ماشاء الله تبارك الله جزاك الله خيرا وبارك فيك
@HamisiHussein-bb8ww
@HamisiHussein-bb8ww 25 дней назад
Allahuma ghfir llahu
@user-fb5kx5km6t
@user-fb5kx5km6t Месяц назад
Allah akuzidishie na akulaze MAHALI pema peponi shekhe wangu nakubali sana daawa zako
@fabimbilinyi2529
@fabimbilinyi2529 Месяц назад
Mungu hakuzidishiye mbonde
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Месяц назад
Ushenzi tu huo badala ya kuita wayahudi unaita mayahudi hizo ni chuki za wazi kabisa
@Jumannejaphet
@Jumannejaphet Месяц назад
Shukran kwaukumbusho Allah akupe khusnul khaatwima
@Cutebecky117
@Cutebecky117 Месяц назад
❤❤❤
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 2 месяца назад
Aamiiin
@ranahashim9621
@ranahashim9621 2 месяца назад
❤❤
@Muzzammil96
@Muzzammil96 2 месяца назад
😢😢😢😢
@KheyriHassani
@KheyriHassani 2 месяца назад
Kwel shekh Allah akulipe
@jiongezeemaarifa1496
@jiongezeemaarifa1496 2 месяца назад
Maa Shaa Allah ❤
@ameenfarooqi8875
@ameenfarooqi8875 2 месяца назад
وَجَعَلْنَا مِنْـهُـمْ اَئِمَّةً يَّهْدُوْنَ بِاَمْرِنَا لَمَّا صَبَـرُوْا ۖ وَكَانُـوْا بِاٰيَاتِنَا يُوْقِنُـوْنَ (24) ولم تُتلى الآية السابقة في هذه التلاوة. ربما كان هناك خطأ في التحرير
@ameenfarooqi8875
@ameenfarooqi8875 2 месяца назад
وَجَعَلْنَا مِنْـهُـمْ اَئِمَّةً يَّهْدُوْنَ بِاَمْرِنَا لَمَّا صَبَـرُوْا ۖ وَكَانُـوْا بِاٰيَاتِنَا يُوْقِنُـوْنَ (24) اس تلاوت میں مذکورہ آیت کی تلاوت نہیں کی گئی ۔ شاید ایڈیٹنگ میں مس ہو گئی ہے
@IkromovAbdusamad
@IkromovAbdusamad 2 месяца назад
Sunhanolloh ❤❤❤❤❤❤mashaolloh
@SalumSeif-fb7ny
@SalumSeif-fb7ny 3 месяца назад
Good
@GhaithaAbdallah
@GhaithaAbdallah 3 месяца назад
Allahuma ghfir lil mu'mineena wal mu'minaat al ahyahu minhum wal amwaat
@SaidiNgolilo-mq2gb
@SaidiNgolilo-mq2gb 3 месяца назад
Allah akibar
@SuleimaneJamal-lj1wj
@SuleimaneJamal-lj1wj 3 месяца назад
Masha Allah ❤
@rashidhamadi2204
@rashidhamadi2204 3 месяца назад
MashaALLAH 👍
@usmanrajput6480
@usmanrajput6480 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 3 месяца назад
😂😂😂
@hassanrajab9823
@hassanrajab9823 4 месяца назад
Alhamdulillah..❤
@Assalafiyyah637
@Assalafiyyah637 4 месяца назад
Sheikh Allah amrahamu hapa amejitahidi lakini hichi kisa hakijadhibiti
@nasmasalimu9508
@nasmasalimu9508 4 месяца назад
😂😂😂kudadadeki
@magrammagreens3873
@magrammagreens3873 4 месяца назад
Mashaallah Allahu Baarik
@NadirOmar-et9yc
@NadirOmar-et9yc 4 месяца назад
Allah amrehemu sheikh wetu
@user-fx5rg1cd7e
@user-fx5rg1cd7e 4 месяца назад
Mungu akurehemu shekh wetu
@SpeedyCoco-er4uv
@SpeedyCoco-er4uv 4 месяца назад
😢😢😢❤❤
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 4 месяца назад
Masha Allah
@ABDullAkimAkim
@ABDullAkimAkim 4 месяца назад
Mashaallah
@user-eh3sh5hn7d
@user-eh3sh5hn7d 4 месяца назад
I love that voice, Masha-Allah wooowwww❤ Masha-Allah Masha-Allah
@Newage.designbuild
@Newage.designbuild 4 месяца назад
Allah amsameh mapungufu yake yakibinadam, amjaalie kaulithaabit
@osamommy6867
@osamommy6867 4 месяца назад
Mwenyezi Mungu amrehemu na amjaaliye jannah
@Mapyatv
@Mapyatv 4 месяца назад
❤❤ hahahaha😂😂😂
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 4 месяца назад
❤❤❤
@Estella122-m1v
@Estella122-m1v 4 месяца назад
Mungu akupumzishe mahala pema peponi shekhe wetu
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 4 месяца назад
😂😂subhannallah
@masoudmchau5145
@masoudmchau5145 4 месяца назад
Maneno ya Dhahabu mpk Sasa yanaishi #2024
@masoudmchau5145
@masoudmchau5145 4 месяца назад
2024
@nadhifamohammed7749
@nadhifamohammed7749 4 месяца назад
😂😂😂😂❤❤❤
@amiimussq4833
@amiimussq4833 4 месяца назад
Allah akufanyie wepesi katika kaburi lako
@HanifaShabani-eu4xt
@HanifaShabani-eu4xt 5 месяцев назад
Vzr
@user-wf8yg5py9b
@user-wf8yg5py9b 5 месяцев назад
Allah Mbark sheh nassor bachu
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 5 месяцев назад
Mashallah