Тёмный
SYLASS TV ONLINE
SYLASS TV ONLINE
SYLASS TV ONLINE
Подписаться
CALL +255742692079
KALIBU KWENYE CHANNEL YA SYLASS TV ONLINE HAPA UTAPATA MAHUBIRI NA SHUHUDA ZA KWELI ZITAZO KUJENGA KIROHO...PIA SEMINA ,HABARI , MIKUTANO YA INJILI ,SEMINA NA NYIMBO ZA INJILI ...SYLASSS TV HABARI KWA WOTE
SYLASS TV ONLINE NI CHANELI YA DINI
Комментарии
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 16 часов назад
Injili hii siku hizi hakuna kabisa tunapelekwa wapi Mungu fufua kazi yako ndani ya mioyo ya wahubiri siyo pokea vitu na vifaa vya upako
@user-lp7uq9ql2p
@user-lp7uq9ql2p 2 дня назад
hivi saizi wako wanaohubili neno kwa ujasili hivi? maana huku tunawaona wa mafuta na maji na vitambaa, naliaaaaa 😢😢😢😢😢😢
@JastFinancial02
@JastFinancial02 2 дня назад
Ubalikiwe unaerusha mahubir aya
@LucasMayunga
@LucasMayunga 3 дня назад
Kwann hiyo vita Aishi,,
@geldamkama5625
@geldamkama5625 3 дня назад
Amen
@AbubakaliKarungura
@AbubakaliKarungura 3 дня назад
Xc😢😊😅
@AthumanFulano
@AthumanFulano 4 дня назад
Nashukuru baba kwa kututia nguvu 2:08 2:17
@SoncoboySoncoboy
@SoncoboySoncoboy 4 дня назад
Ww dada hun akiri kam huwez kufany kazi nyingine nenda kadange
@SoncoboySoncoboy
@SoncoboySoncoboy 4 дня назад
Iv hayo niyakwel au mnatafta ugali? Tutaamin vip? Nitumie hyo rocation ya freemoson natak kujiung
@user-hv4db2wx6j
@user-hv4db2wx6j 4 дня назад
Uyu ata akila ela Yako ni haki kabisa maana ni jasho la damu
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 4 дня назад
Asilaumu Ata Palestine watoto wanauliwa Kila siku awaoni
@Missionary_work
@Missionary_work 4 дня назад
Uongo
@Dumelanyanimweusi
@Dumelanyanimweusi 4 дня назад
❤❤❤
@JulianaNdashikwaMsonga
@JulianaNdashikwaMsonga 4 дня назад
HII Ndio Injili Ya Kuhubiri
@JulianaNdashikwaMsonga
@JulianaNdashikwaMsonga 4 дня назад
YESU.Atuponye
@JulianaNdashikwaMsonga
@JulianaNdashikwaMsonga 5 дней назад
Mnanichosha Nasikiiiza Mahubiri mnaingiza nyimbo za Hovyo
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 5 дней назад
Amen papaa,, nakumbukaaa Rev gwamwanza ndo alikuwa ga anatembea na mzee Moses kwenda kuhubiriii.. Blessed man of God
@SaidNjemu
@SaidNjemu 6 дней назад
Yes atusaiie safari ya kwenda mbinguni siyo ya kawaida
@EmanuelStart-jd1vr
@EmanuelStart-jd1vr 6 дней назад
Mungu mwema,Bado watumishi wake anawatumia vyema,wanatembea katika imani
@beatricehenry3053
@beatricehenry3053 6 дней назад
Ujajibu swali unakwepa umeulizwa umetokaje huko ili uwasaidie wengine
@LillyMaige-vd4jr
@LillyMaige-vd4jr 8 дней назад
Yaan nimependa anatufundisha hofu ya mungu
@LucasMayunga
@LucasMayunga 8 дней назад
Lakn nikatika kunyenyekea.
@LucasMayunga
@LucasMayunga 8 дней назад
Mtumishi wa mungu nikweli kabisa,,
@julianamadoshi2455
@julianamadoshi2455 8 дней назад
Ameen 🙏🙏
@ABDALLALikulo
@ABDALLALikulo 9 дней назад
Magufuli
@martinakyoo148
@martinakyoo148 9 дней назад
Nashukuru Kwa kuijua HISTORIA hii ya wazee wetu wa Imani. Chakujifunza Nivizuri tukawa watu wa kuachilia Ili kuepusha kubomoa Nivizuri tukakubali kushuka na kupondeka moyo Ili tumruhusu Mungu atutembelee Kwa viwango vyake
@julianamadoshi2455
@julianamadoshi2455 9 дней назад
Ameen
@LucasMayunga
@LucasMayunga 10 дней назад
Mungu awabariki sana
@JastFinancial02
@JastFinancial02 11 дней назад
Mungu amkumbuke siku ya kuvishwa taji
@FurahiniSanga-i4h
@FurahiniSanga-i4h 11 дней назад
Ameni Yesu nisaidie mimi mdhambi
@CLAUDMWAKALASYA
@CLAUDMWAKALASYA 12 дней назад
Injili ya kuigwa hii
@elizabethmgassa7243
@elizabethmgassa7243 12 дней назад
Si milisema ni taarifa za uzushi ,,,Tanzania nchi yangu eee
@goodluckkimazi7742
@goodluckkimazi7742 13 дней назад
Fungwaaaaaa miaka 70
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 13 дней назад
Kabsaaa afande afungwee
@user-ou4ht9sg5h
@user-ou4ht9sg5h 13 дней назад
NAFURAHI SANA KWAKUWAONA SANA WAIMBAJI AWAAA MUNGU AWAPE NGUVU NAMA IMAISHAA MAREFU KWANYIMBO NZULI NAZIPENDA SANAAAA❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮ATA NIKIWA KWETU BALUNDI TUNAPENDA SANA NYIMBO ZENUUUU ❤❤❤❤❤❤❤
@joshuabiatus-hv4jv
@joshuabiatus-hv4jv 13 дней назад
Napenda injili hii
@GeorgeIgnatio
@GeorgeIgnatio 14 дней назад
Yote yaliokufa katika maisha yangu yakafufuke katika jina la Yesu kristo pekeee
@DenisCasey-kh8ub
@DenisCasey-kh8ub 14 дней назад
Amen mtumishi wa Mungu wetu
@PastorPhilipMbaabu.
@PastorPhilipMbaabu. 14 дней назад
Asante SYLAS TV kwa hizi video za Mch. Askofu Moses Kulola. Am blessed by them.
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 15 дней назад
❤❤❤❤❤ Amina ubarikiwe sana mtu wa Mungu
@milkajm4762
@milkajm4762 16 дней назад
Ukristo usio na Kristo😭
@KizaConstantino-cq2vz
@KizaConstantino-cq2vz 16 дней назад
Neno lako bwana litukuzwe duniani Kama mbinguni na iwe
@nyamburafrank9782
@nyamburafrank9782 16 дней назад
Amina
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 16 дней назад
Alaaniwe aliyechoma BIBLIA na watu wote waseme Amina. Kumb 27:26
@user-zz5uj6gs4m
@user-zz5uj6gs4m 17 дней назад
Mmmh,Magembe weyeee ni genius🙏
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 17 дней назад
Lakini kwa kawaida mke wake moses kulola kutunzwa na kanisa la eagt ni haki Na ndiyo heshima ya ya kanisa Sasa hwa viongozi wa siku hizi wanaangalia maslahi mishahara mikubwa nk
@VictorSimoni
@VictorSimoni 18 дней назад
Hii ndiyo injili jaman sasa iv ni maigizo tu, Mungu atusaidie .
@jacklinemahende1007
@jacklinemahende1007 18 дней назад
😢
@Kanyawela
@Kanyawela 19 дней назад
Mungu alitafuta Injili ikue kwa kasi maana alisha sema hata kwa fitina itahubiliwa torati 29:29 Mambo ya siri ni ya Bwana, sisi washirika tunyamaze
@evelinemlay3511
@evelinemlay3511 19 дней назад
Too much kelele