Тёмный
James Frank Mwidunda
James Frank Mwidunda
James Frank Mwidunda
Подписаться
Комментарии
@FarajaMwakajila
@FarajaMwakajila 10 дней назад
❤❤❤ mbarikiwe sana
@subiralingson6464
@subiralingson6464 12 дней назад
Aiseee huu wimbo unanbariki mno natamani kila nikija mbeya nikija kanisani uimbwe kuna huu na mwingine aiseee
@TusseMwakifwamba-yl6xe
@TusseMwakifwamba-yl6xe 14 дней назад
Nabarikiwa sana na huu wimbo jaman
@jenniferkalinga736
@jenniferkalinga736 15 дней назад
Waooh hii nyimbo mmejua kuimba hakika wanatuumiza watu wa karibu.Mung awabariki sana
@lilianjohn3626
@lilianjohn3626 18 дней назад
Tusitarajie mazuri tu, Yale ya kuumiza moyo ni mengi😢
@PeninnahMwangunda
@PeninnahMwangunda 29 дней назад
Nawapenda bureeee ❤❤❤❤
@HappyMwakitwile
@HappyMwakitwile Месяц назад
Mungu aitunze paradise choir
@ShadrackLuvanda-n4s
@ShadrackLuvanda-n4s Месяц назад
Hakika Mwenyezi Mungu awabariki sana ninyi watu, wimbo mzuri, ujumbe mzuri, mmeimba na Mungu akiwa nanyi, aina hizi za nyimbo zimekua n adimu mnooo
@IkupaLwesya
@IkupaLwesya 2 месяца назад
Huduma yenu ni njema Mungu awabariki
@jumapkasekwa
@jumapkasekwa 2 месяца назад
Hongereni sana
@IsraelMwabeza
@IsraelMwabeza 2 месяца назад
Mungu awabarik sana
@WakiliMsomi-xt1fq
@WakiliMsomi-xt1fq 2 месяца назад
Amina sana mtunz
@HappyMpenzu
@HappyMpenzu 3 месяца назад
Najisikia raha kila ninapo usikiliza huu wimbo mtunzi naomba ni mjue
@SamsonMwaipwisi-fo2tz
@SamsonMwaipwisi-fo2tz 3 месяца назад
amina
@guadenciamapunda6593
@guadenciamapunda6593 3 месяца назад
Wimbo mzuri sana lkn sauti haipo vizuri.
@yusuphalinani5432
@yusuphalinani5432 4 месяца назад
Ameni
@TunsumeMchewere
@TunsumeMchewere 4 месяца назад
Mungu awabariki sana kwa nyimbo nzuri na zenye maana uwa natamani sana kila wakati nisikilize nyimbo zenu
@deborasimon422
@deborasimon422 4 месяца назад
🎉🎉🎉❤
@rosebianchi1998
@rosebianchi1998 4 месяца назад
Jamani huu Wimbo uwekwe audio mack ni Mzuri sana una utukufu
@HELENADANIEL-wx8wm
@HELENADANIEL-wx8wm 4 месяца назад
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu ❤ kaz yako ni njema sana
@AbelAbbel
@AbelAbbel 4 месяца назад
Nimiongon mwa kwaya iliyobarikiwa
@GaudenciaAnthony
@GaudenciaAnthony 5 месяцев назад
Ameeeeen be blessed my loved choir
@AswileMwasalemba
@AswileMwasalemba 5 месяцев назад
Watumishi nabarikiwa sana kuwepo katikati yenu
@bahatimwaitenga4488
@bahatimwaitenga4488 5 месяцев назад
Tumetoka mbali MUNGU akutunze
@rufinapetro2496
@rufinapetro2496 5 месяцев назад
Yaani hii ni live 😊😊😊😊
@JamesFrankMwidunda
@JamesFrankMwidunda Месяц назад
Hii Co live official release from the choir... But karibu ushiriki nasi katika ibada ya kufanya live recording ya album ya kwaya hii mwaka huu tareh 31/10/2024 tughimbe hall mbezi...... Ubarikiwe
@rufinapetro2496
@rufinapetro2496 5 месяцев назад
Jamani video bado????? Hii nyimbo nimeipenda sana sipati audio wala video
@jasteve2
@jasteve2 5 месяцев назад
Hongera sana James
@gideonjames6998
@gideonjames6998 5 месяцев назад
Moja ya wimbo wangu pendwa sana
@christiandumalukhy9006
@christiandumalukhy9006 6 месяцев назад
Udumu Sana mtaalam... Mungu akutunze sana mkuu
@bahatimwaitenga4488
@bahatimwaitenga4488 6 месяцев назад
Hongera MUNGU azidi kukutumia dah !
@jobydavid2500
@jobydavid2500 6 месяцев назад
MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI
@gracemwaikambo7699
@gracemwaikambo7699 6 месяцев назад
Ameen barikiwa mtumishi wa Mungu
@danacheroallos9667
@danacheroallos9667 6 месяцев назад
Wimbo safi kabisa...where is the video that has clear sound?
@JamesFrankMwidunda
@JamesFrankMwidunda Месяц назад
31/10/2024, kwaya itafanya live recording.. Huu ni wimbo ambao upo kwenye hii project.. Naomb nitumie fursa hii kukukaribisha ushiriki pamoja nasi... Ubarikiwe
@atuganilelupassa9495
@atuganilelupassa9495 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤❤
@matridampeligwa6415
@matridampeligwa6415 6 месяцев назад
Nawakubali sana
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 6 месяцев назад
Mungu azid kukuinua mwl James
@JamesFrankMwidunda
@JamesFrankMwidunda 6 месяцев назад
Napokea, naomb Uendelee kuniombea...
@joycecharles2953
@joycecharles2953 6 месяцев назад
Kuna mahali huu wimbo umenivusha, Can't wait for the official video..
@gracejason5443
@gracejason5443 7 месяцев назад
Mubarikiwe sana
@davidtusemen2195
@davidtusemen2195 7 месяцев назад
Mungu aendelee kuwainua kwa viwango vya juu zaidi
@christiandumalukhy9006
@christiandumalukhy9006 7 месяцев назад
Nimebarikiwa sanq aisee na huu winbo... And i would like to ask kama wewe ndo James Frank wa "Tunamtaka Tabitha"
@attubulenge530
@attubulenge530 7 месяцев назад
Aiseee nawapenda sana hii kwaya Mungu awatunze
@CheyoEver
@CheyoEver 7 месяцев назад
Amina
@pumarice2710
@pumarice2710 7 месяцев назад
Naisubilia Kwa hamu video ya wimbo huu jamani mwenyezi Mungu awasaidie❤❤❤❤❤
@janekasalile5435
@janekasalile5435 8 месяцев назад
Maumivu ya kusalitiwa yanararua Moyo, lakini kwa uweza wa Mungu na Neema yake inakuwezesha kusonga mbele.
@VailethWille
@VailethWille 8 месяцев назад
Mungu awabariki nabalikwa sana na hii nyimbo
@yohanawillimas4154
@yohanawillimas4154 8 месяцев назад
Wimbo bora kabisaaa❤❤
@greatprotestant8549
@greatprotestant8549 8 месяцев назад
My favorite choir,,,, kazi nzuriiiii❤
@JeniphaMbalanji-sy7qi
@JeniphaMbalanji-sy7qi 8 месяцев назад
Nawakubali sana mungu haendelee kuwapa nguvu na umoja wenu udumu
@isayambata3866
@isayambata3866 9 месяцев назад
jamniii huu wimbo unanibariki sanaaaah sas video yake inatoka liniii??!
@DeboraJoseph-b8g
@DeboraJoseph-b8g 9 месяцев назад
Nawapenda watu wa Mungu kazi zenu ni njema mbele za Mungu wetu.Mungu awafunike.