Ok tunashukuru kwa semina yako ambayo umetupa apa mpanda lakini mm nashukuru sana na nitaendelea kufuatilia mafundisho yako .lakini kama kikundi tutakwalika tena
Kaka utajiri haufundishwi,ushawai kuona bahresa,mo au gsm ,anaongea mambo ya kupata utajiri??? Na hamnaga pesa ya kupata kirahisi,kwanin wew usiipate kirahisi hadi uandike vitabu then uvitangaze ndo uuze . Utajiri ni malezi Na kamwe utajiri haufundishwi, Aya we umesoma ayo mavitabu yote,mbona sio tajiri, Bora ungekuwa unaelezea ata ufugaji bora wa kuku,ngombe,au kilimo bora ,n.k Eleza vitu logic. Swali moja tu nakupa, Tajiri yupo ushaona anafundisha watu kuwa matajiri???