@@rkcomercialenterprises3209 nyumba ipo maeneo YA kisota kiwanja kisota square ni tsh 100,000 nahili ene lina square 4200 pamoja na nyumba 5 wapo watu wanamiliki kiwanja mwasonga anafananisha na kisota nivitu viwili tofauti boss karibu sana kisota kigamboni km 5 toka fell km 5 toka daraja la nyerere