Тёмный
Rebby wigs
Rebby wigs
Rebby wigs
Подписаться
JINSI YA KUTENGENEZA WIG LA BOB
23:22
12 часов назад
JINSI YA KUANDA KIBANIO
9:09
4 месяца назад
JINSI YA KUKATA KITAMBAA CHINI YA CLOSURE
2:34
5 месяцев назад
JINSI YA KUTENGENEZA CLOSURE/ CLOSURE STYRE 2
7:41
5 месяцев назад
JINSI YA KISHONEA CLOSURE/CLOSURE STYLE 1
9:23
5 месяцев назад
JINSI YA KUTENGENEZA WIGI KWA KUZUNGUKA
10:10
6 месяцев назад
JINSI YA KITENGENEZA HEADBAND CROCHET WIG
12:20
6 месяцев назад
JINSI YA KUSHONEA WIGI LA NJIA MBILI
1:47
6 месяцев назад
JINSI YA KUTENGENEZA WIGI LENYE CLOSURE
15:31
6 месяцев назад
JINSI YA KUSHONA WIGI NJIA RAHISI KABISA
2:13
6 месяцев назад
Комментарии
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 3 дня назад
Naomba kuulza hiza nywele ulizotengenezea kibanio ni rasta ya kawaoda ya kucha maji moto?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 дня назад
hapana ni nywele inaitwa passion twist
@ramseymasalu8629
@ramseymasalu8629 3 дня назад
kofia kama hiyo naipataje
@rebbywigs
@rebbywigs 3 дня назад
zipo maduka ya urembo inategemea na ulipo lakini pia tunauza jumla na rejareja karibu sana
@xoticsista
@xoticsista 5 дней назад
This tutorial on making a bob wig is so helpful! I can't wait to try creating my own!
@rebbywigs
@rebbywigs 5 дней назад
thank you so much share when you create one
@gloriadeogratias8990
@gloriadeogratias8990 5 дней назад
Sindano ya aina hiyo inapatikana wapi?
@rebbywigs
@rebbywigs 5 дней назад
ninaziuza kipenzi karibu sana Kwa TZ sijajua zinapatikana wapi
@EvaMkoko
@EvaMkoko 5 дней назад
Zinapatikana kwenye package ya sindano ya kucroch, unakuwa na sindano 4 au 5 ivi Kwa 5000
@EvaMkoko
@EvaMkoko 5 дней назад
​@@rebbywigsnapenda mafunzo Yako ya mawig kwakwel ulisema unafunzia online Kuna kulipia na ni bei gani?
@rebbywigs
@rebbywigs 5 дней назад
@@EvaMkoko kwenye hizo set haipo yenyewe inakuwa peke yake na sindano zake za size tofautitofauti
@rebbywigs
@rebbywigs 5 дней назад
@@EvaMkoko what's up+255 756 954 161 nitafute nitakupa maelekezo yote
@EvaMkoko
@EvaMkoko 11 дней назад
Napenda mafunzo Yako Unapatikana wapi
@rebbywigs
@rebbywigs 10 дней назад
nipo mwanza kipenzi karibu sana
@rebbywigs
@rebbywigs 10 дней назад
pia tunafanya mafunzo online karibu
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 18 дней назад
Hivo vitana vinashonewa au vinawekwaje?
@rebbywigs
@rebbywigs 17 дней назад
unashonea
@DeboraJames-pd8ne
@DeboraJames-pd8ne Месяц назад
Nywere ulotumia inaitwaje
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
vibration
@MillicentsantaMlewa
@MillicentsantaMlewa Месяц назад
Wow so nice ,good job my sister thanks alot❤❤
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
thanks
@MillicentsantaMlewa
@MillicentsantaMlewa Месяц назад
Thanks alot my god bless you ,ilove it so much❤❤
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
Amen, thanks too be blessed
@VeronicaJoseph-fi5jr
@VeronicaJoseph-fi5jr Месяц назад
Dad uwe unaongeza saut jamn maan saut yako haiskiki kbisa
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
pole kipenzi nitajitahidi kuongeza
@Nepcheria
@Nepcheria Месяц назад
Nimejua sasa... Thanks 🙏
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
nashukuru
@Nepcheria
@Nepcheria Месяц назад
Kazi nzur kipenz
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
Nashukuru sana
@Nepcheria
@Nepcheria Месяц назад
Umetengenezaje huo msuko wa kwenye kibanio ambao unatumia kucroch
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
ipo kwenye channel
@apollotee1929
@apollotee1929 2 месяца назад
Unatumia rasta ngap had kijae hvyo
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
pact moja Lina vinywele 10 mi nimetumia vi3 tu
@rebbywigs
@rebbywigs Месяц назад
size zinatofautiana lakini kwahivyo size vi3
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
Kichwa cha mdoli kinauzwa bei gan?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
inategemea na sehemu ulipo ila hauwezi zidi elf15
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
@@rebbywigs oky asante
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
Hiyo nywele ni rasta ya kawaida umeitengeneza?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
hapana iyo Iko ivoivo inaitwa mi amor
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
ya kampuni ya darling
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
@@rebbywigs samahan kwa maswal mfano nikachukua rasta ya kusukia yebo nikaitengeneza nikaizungush na kuchoma maji ikatoka imejiviringisha naweza ichambua nikapaka jeli nikasuka wiving ikakaa vzr?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
@@LinaRobert-p8g ndio inakaa vizuri
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
Naomba kuuliza hilo wiving bei gan na hicho kichwa cha mdori ni bei gan?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
weaving inategemea na ulipo haizidi elf12 kichwa Cha mdori pia inategemea ulipo ila haizidi elf15
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
Rejaja ni bei gan na jumla bei gan nahitaj
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
inategemea na size kwahivyo vibanio Kuna size mbili kubwa na ndogo jumla ndogo nauza kwanzia PC 10 ambazo ni elf3 Kila moja na rejareja elf4 hadi elf5 na kubwa nauza jumla kwanzia PC5 ni elf5 Kila moja na rejareja elf8 kwenye video ni kidogo Kuna kikubwa chake piga +255 655 820 735 Kwa maelezo zaidi
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
karibu sanaaa
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
@@rebbywigs asante sana mamy naomb kuuliza nimetengeneza rasta za kukurochi lkn kuna baadhi maduka ya rasta wamezipenda ila wameniambia zinaitwaje na wanatak ziwe kwenye box na karatas yan zifungwe na ziwe na jina xaxa nauliza hayo mafungashio nitayapayia wap? Naomb inisaidie
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
@@LinaRobert-p8g Nitafute Kwa namba niliokuoatia hapo juu nitakuelezea vizuri
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
@@LinaRobert-p8g Kwan we uko wapi
@Matpee_skincare
@Matpee_skincare 3 месяца назад
Did you use Brazilian wool or attachments to make the braid?
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
it's not Brazilian wool,you can try to use Brazilian wool if possible but I think attachments is the best
@angelcloe6489
@angelcloe6489 3 месяца назад
Samahan hiko kibanio hyo uliozunguhia kweny kibanio ni nn
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
ni rasta kipenzi angalia hii video Kwa kuelewa vizuri ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-AbNb_Eha9j8.html
@devothasteve2900
@devothasteve2900 2 месяца назад
Asantee sana ​@@rebbywigs
@JannethMnyambwa
@JannethMnyambwa 3 месяца назад
Beautiful
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
thank you so much
@NeemaMusa-b4y
@NeemaMusa-b4y Месяц назад
@@rebbywigs rasts inaitwaje dr
@NaimaSalehe-q8p
@NaimaSalehe-q8p 3 месяца назад
Iyo nywele ya mawimbi nywele gani
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
inaitwa vibration
@NaimaSalehe-q8p
@NaimaSalehe-q8p 3 месяца назад
Iyo nywele ya mawimbi nywele gani
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
hiyo ni vibration
@NaimaSalehe-q8p
@NaimaSalehe-q8p 3 месяца назад
Habar unapatikana wap
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
nipo mwanza nyasaka senta
@AnnaSaitabau-rf9ko
@AnnaSaitabau-rf9ko 3 месяца назад
Umetumia nywele gan
@rebbywigs
@rebbywigs 3 месяца назад
Mi amor
@doricmagoma2480
@doricmagoma2480 4 месяца назад
Hiyo nywele inaitwaje
@rebbywigs
@rebbywigs 4 месяца назад
Mi amor
@LinaRobert-p8g
@LinaRobert-p8g 2 месяца назад
Inauzwa bei gan?
@rebbywigs
@rebbywigs 2 месяца назад
@@LinaRobert-p8g inategemea na ulipo ila jumla nadhani ni elf10 rejareja inategemea
@rynevetoto8419
@rynevetoto8419 4 месяца назад
Ahsantee
@rebbywigs
@rebbywigs 4 месяца назад
karibu
@FelisterNoel-be4ov
@FelisterNoel-be4ov 4 месяца назад
Kibanio kizuri
@rebbywigs
@rebbywigs 4 месяца назад
Nashukuru sanaaa
@MwamvitaFaraji
@MwamvitaFaraji 4 месяца назад
Nimekuelewa ila nywele yachini cjaelewa
@rebbywigs
@rebbywigs 4 месяца назад
nimeonyesha kwenye hii video nyingine link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XhhkulF7cuU.html
@QueenTito-os3pe
@QueenTito-os3pe 4 месяца назад
Kabla ya kucroach hivyo ile nywele juu ya kibanio umesukaje
@rebbywigs
@rebbywigs 4 месяца назад
nimeonyesha kwenye hii video link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-XhhkulF7cuU.html
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
Napenda post zako, unafundisha kwa lugha mama😊
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
😊 nashukuru sana
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
Hizo roller zinapatikana kariakoo pia et
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
ndio
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
Hivo vikofia vinapatikana wapi
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
kwenye maduka ya vitu vya urembo
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
kwani we uko wapi.....?
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
@@rebbywigs Niko dar
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
@@rebbywigs zinaitwaje kwa jina la kutambulika haraka?
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
Mesh wig cap zingine dome cap majina inategemea na kiwanda unaweza screenshot ukawaonyesha wauza urembo kariakoo
@rynekiswaga4597
@rynekiswaga4597 5 месяцев назад
Asante nimejifunza kitu,❤🎉🎉
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
nashukuru sana
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru 5 месяцев назад
Bei
@samwelmtinangi9872
@samwelmtinangi9872 5 месяцев назад
Tengeneza
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
okay
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru 5 месяцев назад
Nimejua sasa
@rebbywigs
@rebbywigs 5 месяцев назад
nashukuru sana
@catherinendanzi7873
@catherinendanzi7873 6 месяцев назад
@InaaShifa
@InaaShifa 6 месяцев назад
😊😊😊
@TheresiaTemu-ye1lm
@TheresiaTemu-ye1lm 7 месяцев назад
Asantee dadaa
@rebbywigs
@rebbywigs 7 месяцев назад
ahsante kushukuru
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru 7 месяцев назад
Bei
@rebbywigs
@rebbywigs 7 месяцев назад
55k
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru 7 месяцев назад
Mdada unasauti nzuri sana TUNAOMBA tune sura yako
@rebbywigs
@rebbywigs 7 месяцев назад
😀😀😀
@farajagaudence4713
@farajagaudence4713 8 месяцев назад
❤❤❤
@farajagaudence4713
@farajagaudence4713 8 месяцев назад
❤❤❤
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru 8 месяцев назад
Nilikumiss sana
@farajagaudence4713
@farajagaudence4713 Год назад
@farajagaudence4713
@farajagaudence4713 Год назад
❤❤ good video
@princesswaafyaguru
@princesswaafyaguru Год назад
Kipenzi changu Umependeza
@farajagaudence4713
@farajagaudence4713 2 года назад
Zuri sanaaa
@giftedbilluonz1876
@giftedbilluonz1876 2 года назад
Unaweza love