Тёмный
Yuhai media
Yuhai media
Yuhai media
Подписаться
Habari za Uhakika
Комментарии
@user-cp8ji8ei5r
@user-cp8ji8ei5r 56 минут назад
Unatakakusema samia amesikilisa watu wa ngorongoro ipasavio
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Час назад
Sasa hiyo chadema imeitaja wapi..!!? Au ndiyo kuvutia clip ichezwe kwa wingi acheni kukuza vitu nyie waandishi..🙄
@kasomishedrack5027
@kasomishedrack5027 Час назад
Lissu ccm imeanza kumumeza na atakwisha muda si mrefu na hayo maccm yamejipanga.Mlipoomba mchango kwa ajiri ya gari kweli kila mtu anaweza kuchanga hata meanaccm lakini kuchangiwa na ccm yenyewe? Atayaona Mauzauza mpaka hamtaamini chadema lazima anaungana na ccm muda c mrefu tayari kapokea rushwa ya ccm na awe tayari kupokea hata kurowa madawa kutoka ccm nasema mtajionea.Mie huwa namfatilia sana tangu kipindi alipohojiw na waandishi wa habari kuhusu utofauti kati ya yeye Lissu na M/kiti wake Mbowe aliongea vitu ambavyo wala siyo vya ungwana mf:alisema mbowe ni mfanyabiashara yeye Lissu siyo.Kwa akili hiyo lissu anamwona mbowe ananufaika zaidi.Lakini wala sishangai sana watu hupanda juu kujulikana sifa nyingi na muda huanza kushuka chini.Lissu anaanza kuporomoka na mwisho kuisha na kwishinei anzeni kupata watu wengine,Pia ukimsikiliza kwa umakini sana ktk interview zake suala la umri linamchanganya sana yaani anahofia kukosa anachotaka kwa sababu hajui mbele atakuwa na nn.
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 6 часов назад
Kuigiza kama risu aikusaidi
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 6 часов назад
Ndugu jaribu kuongea mambo yabusara Amna sheria yakumpiga asikar
@ndaroGamba
@ndaroGamba 6 часов назад
Pumbafu na Jinga sana wewe liccm Jinga umetumwa na mimacho yako!.Tunakujua mbwa wewe!
@juliuszakayo6771
@juliuszakayo6771 7 часов назад
Huyu jamma muhu wakawaida hata huongea tu ni jini jililo vaa date ya polisi wa Tanganyika ,,ila.mungu anashugulika nae
@JosephatMuba
@JosephatMuba 7 часов назад
sio
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 7 часов назад
Mdomo uliuponza kichwa
@AnteloSanga
@AnteloSanga 7 часов назад
Kwa akili yangu napokea maana ni wapenzi /mashabiki wangu mungu awabariki , hamuwezi juaa maisha yangu anaye jua ni Mungu alienacho huongezewa amina.
@igulug5450
@igulug5450 8 часов назад
Hawa siyo chadema ni watu wawapi
@emmanuelndotela9412
@emmanuelndotela9412 8 часов назад
Utavunjwa miguu bure.
@paulinekisanga1637
@paulinekisanga1637 8 часов назад
Chawa wee! Ngoja ushtakiwe!! Walikosa nini mpaka uwapige na kuwaumiza???
@fauzseif7344
@fauzseif7344 8 часов назад
Mwehu wewe
@JoyceGeremier
@JoyceGeremier 9 часов назад
Sijapendaa kuhusu kauli ya mapanga
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 9 часов назад
Watu kama halima wapo wapo tu,hawawezi kukuelewa.Mbwa ni mbwa tu wamezoea makombo.Mtu analalamika Mbowe amekaa muda mrefu madarakani.Swali,ccm wana muda gani madaraka di .Baba na mama yako wana muda gani kwenye ndoa?
@LwatikojohnHauza
@LwatikojohnHauza 9 часов назад
Uko ni kujishusha na kuonyesha mazaifu ya chama so fea bora uombe chama chako kikupe kunatisha tamaa wenzio
@user-sk6ly4oj9c
@user-sk6ly4oj9c 9 часов назад
Ila kwa kaka lisu hiyo hela aipokee ila Aite wandishi habari pesa hiyo ccm awape watoto yatima
@DanielNjonje
@DanielNjonje 9 часов назад
Mi naona lisu yupo sawa
@AminaKyungu
@AminaKyungu 9 часов назад
Hv nyie wawape nchi hii kweli sijuil
@ChristerKoku
@ChristerKoku 9 часов назад
Nini tena? Hiki
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k 9 часов назад
Huna akili ww unadhani hao wenzako mapanga hawayajui.
@shukraningetta2809
@shukraningetta2809 10 часов назад
Hakuna haja ya kulumbana hata kama mm nikipewa napokea lakin kwao siend kunashida gan
@dillonfoya
@dillonfoya 10 часов назад
CHADEMA tusifanye makosa tulimuomba Mh. Lissu asitumie gari lililotobolewa na risasi na kumuahidi kumnunulia gari mbadala jambo ambalo mpaka Leo hatujaweza kufanikisha kwa hiyo kama wakati wa ugonjwa alichangiwa na wote Leo tunakataa nini Mh.Lissu kupokea mchango uliotolewa na upande wa pili.
@mohamedimuhinga9064
@mohamedimuhinga9064 10 часов назад
Killa mmoja anamtafuta kwenye Kona mwenzake mimi yangu macho tu makonda oyeeee
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 10 часов назад
Ccm hawakuwa na nia ya kusainia ccm hana shida ya kuchangia ccm wanapesa za serekal za kutosha mm naungama na jamaa kweli ccm wamefanya kitu kuzalilisha kwamana lisu hana pesa ya kununuwa gari wala kutengeza.
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 10 часов назад
Chadema. Tumuangarie. Tundurisu. Kwa umakini. Sana. Tumuangarie. Kwa umakini. Sana. Atakubarije. Kupokea. Michango. Ya ccm. Eti. Atengeneze gari rake. Wakati. Hiyo michango. Niyamasimango. Ka. Chama. Chake. Tumuangarie vizuri.
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y 10 часов назад
Pumnavu wewd
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 10 часов назад
CCM kwisha
@epimackjohn461
@epimackjohn461 10 часов назад
Ila CCM ndo mmeisha zaidi wale mnawamaliza ninyi kwa VIPIGO tu
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 10 часов назад
Chadema hakuna haki yeyote. Mwenyekiti amekaa madarakani miaka nenda miaka rudi. Kwani hakuna wengine?
@mozesjoseph7630
@mozesjoseph7630 10 часов назад
Hivi jamani. Wanachadema. Niwaombe. Niwaombe. Jaribuni. Kumuangaria. Tundurisu. Atakubarije. Kupokea. Msaada. Wa masimango. Kwa chama. Chake. Yani. Risu. Anakubari. Kupokea. Michango. Ya masimango. Kwa chama chake. Chadema. Mangarieni. TU durisu.
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 10 часов назад
Watanzania wanaonekana wamechoka na siasa za udanganyifu. Sura zawo zinaonysha hawana wa kumuamini. Wanasiasa wanapigania matumbo yawo
@user-jd5ru7dr2r
@user-jd5ru7dr2r 10 часов назад
Upo sawa kamanda
@LuciaAgustino-pt5mg
@LuciaAgustino-pt5mg 8 часов назад
Nikweli
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 10 часов назад
Uchawa tuu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 10 часов назад
TUPO PAMOJA, KWA VITA AU KWA AMANI TUTAWAKABILI. TUNAJIAANDAA !
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z 7 часов назад
Nyie jiandaeni matokeo mtayaona
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 10 часов назад
Kwahiyo unataka kulia au ulitaka upewe ww
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 часов назад
Kwanini hamkufurahia kupokea pesa kutokana kachangiwa na Ccm Kumbe Msigwa mkweli
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 10 часов назад
migogoro, ugomvi, chuki, na mambo yote yasiyo maana hayana nafas kabisa CHADEMA
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 10 часов назад
moja ya jambo nasubir ni kuona Awadhi Juma anasimama mahakaman kujibu tuhuma kama mlivyosema, pls tubaki kwenye reli yetu chadema
@user-ii2vm5vv1b
@user-ii2vm5vv1b 10 часов назад
Elieshi...Ni mwananchi cna Ushabiki , Mungu huwa anaweka hadharani Siri zote za utendaji WA Siri!
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 10 часов назад
Mmeshikamana keel!!!
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 10 часов назад
moja ya mbinu ya kivita ni kumtumia mtu wenu kutengeneza migogoro ndan, tuwe watu kamili tusimame mikakati yetu
@user-wg9jl7bp6x
@user-wg9jl7bp6x 11 часов назад
Huelewwki
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 11 часов назад
Nape alisemaje?
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 11 часов назад
Tabia ya Msigwa
@yusufunguruko8080
@yusufunguruko8080 11 часов назад
Chama cha wachaga hoyeeee ! ukitaka uitwe msaliti ndani ya Chadema uguse kugombea nafasi ya uenyekiti.- Zito Kabwe alitaka kugombea uenyekiti Chadema subutu yake alitoka nduki mwenyewe, hakuna wanasiiasa Tanzania etii wanaotaka kugombea nafasi kwa ajili ya watu bali ni kwa ajili ya matumbo yao tu - hakuna cha Chadema wala CCM wote waziushi tu, jamani tufanyeni kazi kila mmoja ajittafutiei maisha yake ya kjla siku - tangu afe mzeee baba. 'JPM' sijaona mbadala wake, yule ndie alikuwa mzalendo wa kweli - RIP JPM !
@MsafiriMbwana
@MsafiriMbwana 11 часов назад
Hovyoo nyie CHADEMA wanahusikaje?
@josephmantago2837
@josephmantago2837 11 часов назад
Hakuna hiyo pesa ni ya kejeri dhidi ya mh Mbowe wao wanataka kumgombanisha mh Lisu na mh mbowe ili wakigawe chama ndo agenda yao na mh Lisu anaingia mtegoni achana na hyo pesa au kesho itoe pelekea watoto yatima au utoe msaada kwa jamii yenye uhitaji na uitangaze kwani 5m utanunua gari gani ndg acha kutudhalilisha ccm ndo walitaka ufe wakati tunakuombea wanatukamata na mapolisi wao kama sio mh mbowe na chadema mh Lisu leo ungekuwa umeoza hao ccm wangekuchangia kaburini emu fikiri mara mbili zaidi
@josephmantago2837
@josephmantago2837 11 часов назад
Hv 5m mh Lisu zitakufaa kwa lipi mbona kama unaondoka kwenye misingi yako unadhani ccm leo ndo wameona thamani yako walikushambulia wao walikupora ubunge walikunyima pesa ya matibabu walikunyima kiinua mgogo chako leo wanasimama kumnanga mh mbowe kisha wanakupa pesa na ww unapokea kuwa mkweli kama unaungana nao tujue ili tuishi kama yatima hatuwezi kukung:ng:ania maamuzi ni yako