Muziki wa Injili ni faraja halisi ya moyo. Muziki mzuri ni dawa ya upweke. Karibu katika channel hii kwa kusikiliza na kuona video za muziki wa injili utakaokupa farijiko na amani. Mungu akubariki unaposhiriki pamoja nami.
...Gospel music is a real comfort to the heart. Good music is a cure for loneliness. Welcome to this channel for listening to and watching videos of gospel music that will give you comfort and peace. God bless you as you share with me.....
Nini kinakwamisha kuzipandisha nyimbo zote za album hii kwenye you tube😢😢😢. Naomba watazamaji tusikilizwe na maoni yetu yazingatiwe. Naomba nyimbo zote za album ya Nyota Njema na album hii.🙏🙏🙏🙏