Тёмный
Tanzania Kilimo digital Tv
Tanzania Kilimo digital Tv
Tanzania Kilimo digital Tv
Подписаться
TANZANIA KILIMO DIGITAL LIMITED

ni kampuni iliyosajiliwa na makao yake makuu Dar es salaam, tunajihusisha na shughuli za masoko ya bidhaa za kilimo pamoja na ufugaji, ikiwemo Biashara ya mazao pamoja na nyama ndani ya Tanzania pamoja na nje ya Tanzania

MOTTO : KILIMO BIASHARA NI FURSA

DIRA : kutatua changamoto zote zinazowakumba wakulima hasa masoko ya mazao Yao ili waweze kuzalisha katika ubora na Kwa wingi kupitia njia za kisasa

MALENGO
Baadhi ya Malengo yetu ni kama yafuatavyo
1:Kuleta suluhu dhidi ya changamoto zinazowakumba wakulima
2:kuuza vifaa vya kisasa na pembejeo vyenye tija katika uzalishaji wa kisasa
3.Kutoa elimu Kwa njia ya semina Kwa kutumia maafisa Ugani juu ya kilimo cha kisasa
4.Tunafanya Exportation na importation ya mazao na Mazao ya wanyama
5.Tunafanya Farm security ili kuhakikisha uzalishaji wenye faida
6.Tunafanya huduma zote za mifumo ya umwagiliaji
FUGA KUKU KISASA, UPATE FAIDA NYINGI ZAIDI
3:46
2 месяца назад
WAKULIMA WA NDIZI NA SOKO LA NDIZI
2:49
2 месяца назад
ANZA BIASHARA YA JUICE YA MIWA LEO
3:20
2 месяца назад
KILIMO CHA NDIZI NA UHAKIKA WA MASOKO
1:40
2 месяца назад
WAKULIMA WA MIGOMBA, SOKO LA NDIZI TUNALO
1:16
2 месяца назад
MASHINE BORA ZA JUICE YA MIWA
2:39
3 месяца назад
ZIFAHAMU AINA ZA KUKU KWAAJILI YA BIASHARA
3:15
3 месяца назад
FUGA KUKU KWA KUTUMIA CAGE BORA NA IMARA
5:01
4 месяца назад
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU
6:27
4 месяца назад
WAFUGAJI WA KUKU ZANZIBAR
1:50
4 месяца назад
Комментарии
@SamsonMeliki-s5b
@SamsonMeliki-s5b 13 часов назад
Bei
@WamburaThobias
@WamburaThobias 7 дней назад
Inapatikana mkoa gani?
@mwisabimkurya4830
@mwisabimkurya4830 8 дней назад
nyie ni wahuni sasa biashara gan unatangaza na husem bei tunakuulizia unasema karbu ofcn, mara tuwasiliane. si useme mnauza bei gan watu tuko mbali mikoan kwan uksema bei dada shida ikowap
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 8 дней назад
@@mwisabimkurya4830 Ukiwa mtu mzima ni vyema ukawa na busara hii itakusaidia, Huwezi ukaweka bei katika tangazo ambalo linaweza kuishi zaidi ya miaka 20 bei zinapanda na kushuka. Uhuni uko wapi umekaribushwa oficin ama tupigie mawasiliano Yako hapo
@chizylove9290
@chizylove9290 9 дней назад
Sasa bei hamsemi
@ibrahimmnenegwa-t6l
@ibrahimmnenegwa-t6l 12 дней назад
Mtaalam bwana dap ina nitrogen tena
@friendsofallah5039
@friendsofallah5039 14 дней назад
How can I invest any information
@friendsofallah5039
@friendsofallah5039 14 дней назад
is there market demand
@friendsofallah5039
@friendsofallah5039 14 дней назад
How profitable is it
@HappyEdward-l6o
@HappyEdward-l6o 15 дней назад
Bei ipoje
@RoseGabriel-re6xi
@RoseGabriel-re6xi 18 дней назад
Namba yako
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 19 дней назад
Sasa, labda sijasikia ila sijasikia ukubwa wa kitalu, miche inayoingia kwa kitalu kimoja, upandaji kwa nafasi ama kipimo nk,
@malikimanga221
@malikimanga221 21 день назад
hamna kitu hapa matangazo tu !!😢 muteja anapiga simu hamupokei sasa hiyo ni biashara u?!
@LazaroChigera
@LazaroChigera 26 дней назад
Bei yake shingapi?
@FaricevitusiNkane
@FaricevitusiNkane 28 дней назад
inazwa bei gan
@ematenbusinesssolution9949
@ematenbusinesssolution9949 28 дней назад
naomba mniunge kwenye kampuni yenu
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 28 дней назад
Big up
@petronyereresaliboko4047
@petronyereresaliboko4047 Месяц назад
Hiyo ni bei gani
@Abdallahibn-hd4ju
@Abdallahibn-hd4ju Месяц назад
Nimepend san hii ,,tatzo haujasema bei kak
@nooralwy1771
@nooralwy1771 Месяц назад
Gharama za mafunzo zikoje na munapatikana wapi
@MahamuduSalimu-w3u
@MahamuduSalimu-w3u Месяц назад
Bei ya hiyo mashine ni shiling ngapi
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Месяц назад
Bei
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Месяц назад
Mutupe na bei
@clemencekululinda4858
@clemencekululinda4858 Месяц назад
Bei gani
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp Месяц назад
Bei gani
@sweetberthawilliam6587
@sweetberthawilliam6587 Месяц назад
Kwa nini amuweki bei ili tuchukue hatu, wafanyabihashara ukitaja bei kuna shida
@AgenesisLaurent
@AgenesisLaurent Месяц назад
Sh ngapi mashine za miwa
@AgenesisLaurent
@AgenesisLaurent Месяц назад
Sh ngapi ya umeme na ya betrii sh ngapi?
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 2 месяца назад
Mko wapi, na je mnaweza kufika shambani ni kufanya demonstration
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 28 дней назад
@@lydiathomas2905 tuko Dsm ilala jengo Machinga Complex ghorofa 3
@user-oh5qx7on6q
@user-oh5qx7on6q 2 месяца назад
Bei ya mashine hiyo ni sh. ngapi?
@greatcharles2192
@greatcharles2192 2 месяца назад
Bei zipoje
@SamweliPonela-mj1cu
@SamweliPonela-mj1cu 2 месяца назад
Machine ya maindi ikivuna
@user-et3id5tr3c
@user-et3id5tr3c 2 месяца назад
Bei
@mrfavour9996
@mrfavour9996 2 месяца назад
Nawakubali jamani waniuwe tu
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 2 месяца назад
Bei tafhadhari
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 2 месяца назад
tuwasiliane 0714569056
@KazunguLaurent
@KazunguLaurent 2 месяца назад
Amazing 👌
@user-hu3oj7ig1h
@user-hu3oj7ig1h 2 месяца назад
Dah swabra umela wp tupe dili na sisi
@rabanstephano
@rabanstephano 2 месяца назад
Jalibu kutowa hizo bati za kinyesi tuone
@abumussabnassor6141
@abumussabnassor6141 2 месяца назад
Bey
@KhatibuKilumba
@KhatibuKilumba 2 месяца назад
Bei
@NinaTayarii-be9ij
@NinaTayarii-be9ij 2 месяца назад
Bei gani?
@veilasam6597
@veilasam6597 2 месяца назад
Mnapatikana wapi Mimi nipo Arusha.
@castromhilu6491
@castromhilu6491 2 месяца назад
Shi ngap
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 2 месяца назад
Ziko za aina tofauti njoo WhatsApp tufowadie picha Kila moja na bei yake 0714569056
@MshanaJames
@MshanaJames 2 месяца назад
How much
@JumaJamalsunday
@JumaJamalsunday 2 месяца назад
Wakulima wakowapi sasa tunataka kuwaonaaaaa waziri wa kilimo awaoneee
@antonianyingo
@antonianyingo 2 месяца назад
Hongera kwa kazi nzuri, mnapatikana wapi
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 2 месяца назад
Tuko Dsm ilala jengo Machinga Complex ghorofa 3 karibu boss
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 2 месяца назад
Mawasiliano zaidi 0714569056
@mashaainsuranceagency5925
@mashaainsuranceagency5925 3 месяца назад
MNAPATIKANA WAPI ?
@castromhilu6491
@castromhilu6491 3 месяца назад
Shingapi hiyo mashine
@zitashio7920
@zitashio7920 3 месяца назад
Sh ngap
@ReginaMasalu-hk8ho
@ReginaMasalu-hk8ho 3 месяца назад
Naomba kujua gharama za kilimo cha pilipili ya mwendokasi kwa heka moja na faida yake.
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt
@TanzaniaKilimodigitalTv-yj2bt 3 месяца назад
Tuwasiliane Kwa 0714569056
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 3 месяца назад
Kwa kuanza mmelima eka ngapi? Ni gharama kasi gani kulima shamba la ukubwa huo?