Hey i’m Mariyam from a little Paradise Island of the coast of Tanzania called ZANZIBAR. Yes i am a Zanzibari Vlogger living on this beautifull island. 🌴🏖🇹 🇿 🇹🇿 Still finding my place but support me by Subscribing and and hit that like button and you can share my videos with anyone.
Asante kwa somo lakini hiyo sio recipe sahihi ya mtori wala haupikwi hivyo kabisa. Toka mahitaji hadi upishi. Ni vizuri vyakula vya asili vikafundishwa kwa usahihi maana ni sifa yetu watanzania/waafrika.
Ungeongea kiswahili kitupu ingekuwa poa sana alafu video nyingine ongea kizungu kitupu maana hapa kwa ofisi nipo na mzungu hajui kiswahili na kizungu shida ndo tunatafuta wakalimani hapa watusaidie ila hongera sana maana somo la mafuta umetoa zuri sana nimevutiwa kwa kweli ila tutapataje sasa tukihitaji
Dada, u rock! 🙌 hats off to you! Achana na negativities za wa2. Achana nao, people do talk a looooooot when it has nothing to do with them🙄. Seeking ur knowledge and yet commenting bs. And hey lady, u speak and sound good in English, I loved it.💃😇