Тёмный
Luhobe Fashion
Luhobe Fashion
Luhobe Fashion
Подписаться
LUHOBE FASHION, Ni channel ambayo inatoa video mbalimbali za MISHONO YA MAGAUNI YA VITENGE, MAGAUNI YA VITAMBAA, MAGUBERI na MADELA. Pia NGUO za KIUME kama Mishono ya kisasa ya KAUNDA SUTI, MISHONO YA SUTI ZA KISASA Na aina mbalimbali ya nguo za kiume. Pia tunatoa Video za mafunzo ya kusuka mitindo mbalimbali ya nywele na Video za Mafunzo ya kupamba Ukumbi na Kanisani. Tuna wakaribisha wateja wote ambao wanahitaji kufanya matangazo ya biashara zao kwenye channel yetu. Tunafanya matangazo kwa bei nafuu sana.

Email: kamiliussboniface@gmail.com
Комментарии
@ZablonErnest-ib8zg
@ZablonErnest-ib8zg День назад
Awesome
@JafariAthuman
@JafariAthuman День назад
Kushona shingapi na kitambaa bei gan?
@JanethKibuga
@JanethKibuga 2 дня назад
Unawz kazn
@Magabe-yn9dg
@Magabe-yn9dg 2 дня назад
Naomba nisaidiwe maelekezo ya kukata na kushona
@MsafiliGalus
@MsafiliGalus 5 дней назад
Nikihitaji napata kwa shilingingapi
@LoyceJohnmashaur
@LoyceJohnmashaur 5 дней назад
Nimezipenda sana
@erickbucga600
@erickbucga600 5 дней назад
Nahitaji vizibao, za aina au ufumo huuu....lakini aina ya Vizibao, sweta bila mikono.
@musicsobe5921
@musicsobe5921 6 дней назад
❤❤❤
@AugostinoChipeza
@AugostinoChipeza 6 дней назад
Shngp hii
@FashionEthereal
@FashionEthereal 8 дней назад
Asante sana
@EasterleonardShirima
@EasterleonardShirima 8 дней назад
Nimependa sana
@JohnWilliam-jw9pp
@JohnWilliam-jw9pp 6 дней назад
❤❤ 1:41 1:41 1:41 1:42 1:42
@Claudiahmuthoki
@Claudiahmuthoki 9 дней назад
Hio mishono iko smart
@Claudiahmuthoki
@Claudiahmuthoki 9 дней назад
Hio mishono iko art
@GeraldBandah-u2e
@GeraldBandah-u2e 10 дней назад
Very interesting 👗
@FrolaWangwe-xi1js
@FrolaWangwe-xi1js 11 дней назад
Hongera sana
@user-co7zc6mr4p
@user-co7zc6mr4p 11 дней назад
Uko wp
@BlandinaKiyawike
@BlandinaKiyawike 12 дней назад
Nimependa dada ongera
@EastherMsina
@EastherMsina 13 дней назад
Iko fitty❤
@YulithaErick-i1q
@YulithaErick-i1q 14 дней назад
tutumie na sketi na brauz tuone fashen zake
@user-zq1bn8zs2v
@user-zq1bn8zs2v 15 дней назад
Mbona amjatoa namba za cm mnapatikana wapi naitaji nguo please mwezi uu
@GraceGwambuga
@GraceGwambuga 16 дней назад
Hongera sana una mishono mizuri
@kwizeraelyse7572
@kwizeraelyse7572 16 дней назад
Mishono hii ni mizuri sana
@brysongipson-uf2me
@brysongipson-uf2me 16 дней назад
Bei yake
@user-mn6hj7xi1o
@user-mn6hj7xi1o 17 дней назад
Mishono yangu
@user-yl3qt5ou6d
@user-yl3qt5ou6d 17 дней назад
@MailaCastory-y9h
@MailaCastory-y9h 19 дней назад
Njisi
@VailethHango
@VailethHango 20 дней назад
Mishono mizur ongera jitahidini kutoa mi vaileth
@DanielKisara
@DanielKisara 21 день назад
Uko wap naomba namba ya mawasiliano nahitaji
@Fadhiliathumani-p5j
@Fadhiliathumani-p5j 21 день назад
unapatikana wap mm na hiitaji
@Fadhiliathumani-p5j
@Fadhiliathumani-p5j 21 день назад
unapati kana wa mm na hiitaji
@rehemachidzao5296
@rehemachidzao5296 22 дня назад
Wow ni nice ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
@FloridaSamba
@FloridaSamba 22 дня назад
naomba mishono ya gauni ya taiti
@kwizeraelyse7572
@kwizeraelyse7572 22 дня назад
Mishono hii ni mizuri sana, inavutia kabisa
@IssaAbdallah-h3p
@IssaAbdallah-h3p 24 дня назад
𝑵𝒂𝒘𝒂𝒑𝒂𝒕𝒂𝒋𝒆 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒏𝒂𝒕𝒂𝒌𝒂 𝒈𝒂𝒖𝒏
@MaSTIDAJOHN
@MaSTIDAJOHN 26 дней назад
Iko.vizur
@LydiaMhomi-i2q
@LydiaMhomi-i2q 27 дней назад
Hakika unamishono mizuli
@Esterjohnkimario-i9c
@Esterjohnkimario-i9c 28 дней назад
Nawapataje
@Esterjohnkimario-i9c
@Esterjohnkimario-i9c 28 дней назад
Nataka kushonewa
@MathiasNdabanolubeja
@MathiasNdabanolubeja Месяц назад
Mnapatkana wapi makao makuu yenu
@TALIKIboyJamali
@TALIKIboyJamali Месяц назад
Mishono ya kisasa 2:42
@JeniferGerady
@JeniferGerady Месяц назад
Io mishono nmeipenda
@JohnyFedrick
@JohnyFedrick Месяц назад
Nzuri sana
@MagretEmily
@MagretEmily Месяц назад
Nataka kujifunza njinc ya kukata mikon ya fashion
@MaximillahMafura
@MaximillahMafura Месяц назад
🎉Kazi nzuri naomba no yako
@Nezia-y5c
@Nezia-y5c Месяц назад
Tufundishe njinsi yakukata
@seniordallarzluhunga7857
@seniordallarzluhunga7857 Месяц назад
Nimependa jaman mizur mnoo hyo mishon mko wao
@NeemaKasebele-g6q
@NeemaKasebele-g6q Месяц назад
Yaan mnaweka video sijui ndo Sasa weka picha inatosha bhana
@mutaraJeanpierre
@mutaraJeanpierre Месяц назад
Fhasho
@SebastianLugola
@SebastianLugola Месяц назад
Nawezajje kuwapata ? Nammi nifundi nahotaji niwe napata sempo
@SwalehIddy
@SwalehIddy Месяц назад
Nzuri