Тёмный
Ngwale Sports HD
Ngwale Sports HD
Ngwale Sports HD
Подписаться
Tuko hapa kukupa kile unachokipenda, Habari za michezo kutoka Tanzania lakini pia nje ya mipaka ya Tanzania

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia
E_mail

ngwalesportshd@gmail.com
Комментарии
@ibrahimselemani4306
@ibrahimselemani4306 56 минут назад
Hamna kitu hpo nyie
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h Час назад
Gb64 kawa inawezekana tuongee na Tff waturuhusu sisi kama simba tuache kusajili wachezaji wa ndani watuoñgezee tusajili wachezaji wa nje zaidi ya 12.ili ikiwezekana tuwe na wachezaji wa kigeni tu! Maana naona kabisa hii inatokana na huyu GSM.
@user-sb3bp9yz5v
@user-sb3bp9yz5v 2 часа назад
Tatizo yanga wana laana kwasababu wachawi ni wao fitna ni wao wivu ni wao husda wao na wanga pia ni wao wanaroho mbaya hao co mchezo kazi kunyong,,onyeza wenzao miguu kwa uchawi pumbavu sna
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h 2 часа назад
Tutapambana nao hawa nyuma mwiko hata kwa mapanga lazima wakae hawatuwezi uto hawa
@AdvellaBoniphace
@AdvellaBoniphace 2 часа назад
Wanae kataza hao wachezaji wakaliwe namakampuni yao
@yunusmhenga1397
@yunusmhenga1397 3 часа назад
Gb64 ana hoja asikilizwe
@AbubakariKunenge
@AbubakariKunenge 4 часа назад
❤wAnaa simba aiseeee niyaa 6 caf imesogea simbani club kubwa barani Afrika
@user-qy2me3yv9j
@user-qy2me3yv9j 4 часа назад
Serikali yote. Yanga kuanzia mama yao yanga mawazili wake yanga mchezaji wa yanga anataka kutoka utasikia amekaa na wazili furan amepewa hela waziri anatumia kodi ya serikali kulipia yanga kweli harafu wanasimba kilaleo mama nyie lini mmepewa ndege lin mmepewa mabas na posho lin mmeitwa ikuru serikali inatimu yake achanen nao
@AlexGwambie-xr2hm
@AlexGwambie-xr2hm 4 часа назад
Ukweli mtup Gb 64
@hajiseleman-un8so
@hajiseleman-un8so 5 часов назад
Yani hiilo swala la GSM nilishaliona kipindi kile cha babraa alivyo kataa hiii tff sio watu wa zuri kabisa na wanajua hilo nitatizo lakin wameliacha tu liendelee
@DanielChaula
@DanielChaula 5 часов назад
Wakae kufanya nn sasa
@HassanKassim-ei8ko
@HassanKassim-ei8ko 6 часов назад
Simba awana ulimbukeni na wachezaji kama wale utopolo. Wachezaji wapo kibao mazuri ata kuliko awesu. Mchezaji akitakiwa simba utopolo nao wanamtaka uyo uyo. acheni wivu uchoko nyie utopolo😂😂😂😂
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 6 часов назад
Fitina za yanga hizo
@KakeSimba
@KakeSimba 7 часов назад
Tunajuwa tiffwamenunuliwana GSM Tanga nimaaduwiwakubwasana wasimba
@JumaKiegezo
@JumaKiegezo 8 часов назад
Hapa mnchini kwetu kunaupendeleo kwani yaliotokea simba basi ingetokea kwawengine sema wanatuchafua nakukubali broo GB 64
@user-hy8qr2zh4p
@user-hy8qr2zh4p 10 часов назад
Tushajua tff na Wales karia na bodi yake wote yanga ila Dunia Ina mwisho mtakufa na hizi timu zipo mungu atajua chakuwsfanya kama haki kweli
@IvanSaid-ef8tb
@IvanSaid-ef8tb 11 часов назад
Sisi wananchi mda wa kubishana hatuna tena
@victuskimario5586
@victuskimario5586 11 часов назад
unachoongea ndugu yangu ni Cha ukweli kama vip waachane nae tu Hana maana yanga wanaturubuni kila njia
@DaudiMdaha
@DaudiMdaha 11 часов назад
Yaani Simba haitakiwi kusajili mchezaji aliyevunja mkataba ila yang'a,Azam...Mpango wa wa Awesu tusiuache,Kuna vitajiri vyeusi vinataka umasurufu wa Simba Kwa visenti vyao.Wanahonga Hadi timu pinzani za Simba.
@Stevenmwanisawa-dt5vb
@Stevenmwanisawa-dt5vb 11 часов назад
TFF haijitambui. Kalia ameshatekwa na viongozi wa yanga. GSM ni mlezi wa TFF nao ni ujinga mtupu
@SimonSaguda
@SimonSaguda 12 часов назад
Kaka uko sawa Dude fei toto kuzamini timu sita ni shindaaa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 12 часов назад
Kweli kuna mchezo unafanywa na kikundi cha Gsm, yanga walimrubuni Dube na akaonekana Avic town anapga tizi kabla ya kusajiliwa, baadae kweli alisajiliwa na Yanga. Hawakusema mambo ya kisenge kama haya
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 12 часов назад
Gsm wasenge
@danielnshela9339
@danielnshela9339 13 часов назад
Tunajua utopolo wanataka kuichafua simba tu
@EliasKishomai
@EliasKishomai 14 часов назад
None-sense
@jumaaomary-u8c
@jumaaomary-u8c 14 часов назад
Kweli bro
@denishaule6314
@denishaule6314 14 часов назад
Cmba kamzid yanga rank tu ya caf ambayo ifikapo mwakani mwaka kesho kutwa yangaatkuwa juu kuliko simba
@maggiehd1
@maggiehd1 13 часов назад
naona hata AFL mnacheza hongereni matopolo supu
@DaudiMdaha
@DaudiMdaha 11 часов назад
Huko yang'a hamupawezi mna Hela gani za kuhonga kimataifa?Nyie malizieni viutajiri vyenu vya kijinga huku bongo wadanganyeni wajinga wenzenu!
@user-kn7bo6iz4n
@user-kn7bo6iz4n 14 часов назад
Simba ni ya saba barani Africa ayo mautopolo sijui ni yangapi
@user-sb3bp9yz5v
@user-sb3bp9yz5v 2 часа назад
Yanga ni ya 13
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 14 часов назад
Namkumbuka Barbra Gonzales aiseeeee😢
@ramadhaniddi1104
@ramadhaniddi1104 14 часов назад
Mme mrudisha asajili analeta uhuni wake wa zamani afanikiwi kwa sas
@NassorNassor-do2bb
@NassorNassor-do2bb 15 часов назад
Twamtaka awesu awesu simba
@DavisRuiz-ut4wr
@DavisRuiz-ut4wr 15 часов назад
GB64👌👌👌👌💪💪💪
@AndrewLikiti-yb2ws
@AndrewLikiti-yb2ws 15 часов назад
Asiyekutaka akuambii toka,hiyo ni kampeni ya kutaka kuiondoa SIMBA isiwepo kwenye tasnia ya michezo Tanzania. Maana Simba ni tishio kwa timu za hapa ndani.
@EliasKishomai
@EliasKishomai 14 часов назад
Huyu nae katoka wap
@NassorNassor-do2bb
@NassorNassor-do2bb 15 часов назад
TFF, na andazi nachagua andazi
@IsackMwagisa-km2mm
@IsackMwagisa-km2mm 15 часов назад
Uyu jamaa hakuna anachojua ila kuchukia 2
@amanisebastiani2827
@amanisebastiani2827 15 часов назад
We ni mjinga huna unachojua, we unashtakiwa kwasababu ulimtambulisha mchezaji wa mtu
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 15 часов назад
F f ndo Kila kitu
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 15 часов назад
T f f
@user-fo9zi6qf4h
@user-fo9zi6qf4h 15 часов назад
Changamoto ni TFF wanamakubaliano na GSM pamoja na yanga kwa ujumra. Kwa lengo ya kuibomoa simba ili isiendelee
@masensethethird
@masensethethird 15 часов назад
awesu awesu sio mchezaj mdg
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 15 часов назад
Mda wa fitina viishe gsm utawala kwenye mpira wa nn selekali acha na mpira acha Mario watawa furaha iwe kwenye mpira Kuna mwisho wa zama
@raulencomarkesh5848
@raulencomarkesh5848 15 часов назад
Mtambo ww ni Bora ukae kinya
@FabianiNguvumali
@FabianiNguvumali 15 часов назад
Kichwa kibov unakumbuka ya Fei toto
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 15 часов назад
Fifa ndo kilakitu yanga awajawai kufungiwa na watafuniwa hatakama walio juu wananguvu liende t ff
@amosalfred418
@amosalfred418 15 часов назад
Unatukana chama cha mpira kama nani utakamatwa tena wewe
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 5 часов назад
Tulia ww utopolo 🐸🐸
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 15 часов назад
Simba inapigwa kila kona, viongozi wa Simba angalieni kinachoendelea Haiwezekani kila mchezaji anaesajiliwa na Simba ndani ya ligi yetu awe na migogoro, Mbona kwa wengine hakuna tatizo hili? Huu udhamini wa timu sita kwa huyu Bwana itaivuruga ligi yetu
@mchelumohamed2976
@mchelumohamed2976 15 часов назад
Ndg yangu GB 64 Nimekuli kuwa unaona mbali sanaaa. Kwani TFF yetu ina mapungufu
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope 15 часов назад
Wewe mbona umezariwa bure
@mahonanjile6007
@mahonanjile6007 15 часов назад
Kundi la wahuni limenunua vilabu vingi na kujidai wadhamini wa vilabu vingi na kuamua kuikandamiza simba
@saidingumbo-is2oe
@saidingumbo-is2oe 15 часов назад
Ili ujuwe Simba hawajuwi Sheria Bado Wana kesi Nyingine Kwa Kagoma , Lawi na Mashakamashaka
@benjaminnelson4834
@benjaminnelson4834 15 часов назад
Simba ana kesi na kagoma Wala lawi , kama mfatiliaji kweli lawi alimalizama na Simba tatizo ela itoke tarehe 30 Simba katoa tarehe 10 shida Iko wapi, kagoma kauzwa Simba wanaoweka pingamizi ni yanga
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 15 часов назад
We kilaza Sheria Gani hapo hujiulizi kwa nn wa ndani ndo shida itokee hapa za nje hakuna tena timu kubwa haswa Acha ushabiki kunya mnaua ubora wa nchi