Ahsante Sana Baba Yangu kwa Kunifanya Nipende Kazi, Huu wimbo unanikumbusha nilipokuwa naamshwa ASUBUHI na MAPEMA nikalime shambani.... KUNA DADA ALIKUWA anapita kila siku karibu na shambani ANAUSIKILIZA... nimekuwa najitegemea SASA... Thank You Dady
the way i love this song is unbelievable... im from SA i heard it from Tanzanians while i was walking in the street buying weed n i asked them who was the artist. n they told me. the song was on repeat
Hii ngoma inanikumbusha kwa bamdogo Kulikuwa na mpangaji ameoa kabinti kadogo nq mm nina geto langu pale halafu yule shemeji akanipenda na ndan kwetu ndo kuna TV full kukabinukia kashemeji mchana kutwa had kaz nikasahau ila kaliondokaga na mimba yangu hata cjui yupo wapi had leo machozi tu yananitoka hata mwaka sikumbuki ila ni kama 2012