Тёмный
Top Ten Kali
Top Ten Kali
Top Ten Kali
Подписаться
TOP TEN KALI CHANEL IS FOR YOU.EVERYTHING YOU NEED IS HERE.SUBSCRIBERS OF THIS CHANNEL ARE FROM ALL COUNTRY ACROSS THE WORLD.KWA TANZANIA TUNATOA KILA UPENDACHO KAMA DAWA ZA TIBA,MAPISHI,VICHEKESHO,SIASA NA YOTE UPENDAYO
Комментарии
@ramadhanichombo4605
@ramadhanichombo4605 12 часов назад
good
@JamilaHussein-i7l
@JamilaHussein-i7l 9 дней назад
Ulikuweko pind wanaingia freemason
@jastinmkoba
@jastinmkoba 14 дней назад
Ata mimi nataka dar kilimanjaro
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 17 дней назад
mkapa sio wa kwanza kaka, hilo jengo lilikuepo tangu nyerere kawa rais
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 17 дней назад
na lilitumika kama bunge kipnd tumepata uhuru, do research kwanza kabla ya kutoa jumbe
@glorysungura3180
@glorysungura3180 21 день назад
Nauli mara nyingi hazieleweki. Kuna wakati Dar to Kgm kwenda na kurudi unalipa tsh 600,000/= muda mwingine tsh 540,000/= kwenda na kurudi. Kipindi kingine tsh 430,000/= kwenga na kurudi. Kwanini nauli haieleweki? Kila unaposafiri nauli inabadirikabadirika, tatizo nini?
@KudraIman
@KudraIman 27 дней назад
Nitapata ticket ya kesho dar to mwz?
@xahorshabsaliim897
@xahorshabsaliim897 28 дней назад
ah wapi unataka kuuwa watu ww
@kaduboii3397
@kaduboii3397 28 дней назад
Habar naipataje DELL
@happydismas2991
@happydismas2991 29 дней назад
Mi Huwa na vidonda vya tumbo vinasumbua Sana pia Huwa sipati choo ata siku 5 nkasema ngoja ninywe maji ya bamia e bana wee nimepata choo Cha kawaida kabisa mana nilikuwa napata maumivu makali lkn sijapata maumivu na tumboni nasikia vizuri nipo kwenye dozi nimalize mwezi 1
@idrisabakari688
@idrisabakari688 Месяц назад
Allah awaongoe hiyo ndio bora kwangu na kwao hakuna mkamilifu
@EmanuelLymo
@EmanuelLymo Месяц назад
Naomba namba zenu
@ANITHASHONYELA-hh8yn
@ANITHASHONYELA-hh8yn Месяц назад
Tupatieni mawasiliano yenu tafadhali
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n Месяц назад
Asante Sana Dr
@regnaldkessy1853
@regnaldkessy1853 Месяц назад
Brek upande wa kushoto😂😂😂
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga Месяц назад
Ipo wapi grada
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga Месяц назад
Ipowa T262 BDN cherser ipowapi
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga Месяц назад
Mark nataka
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga Месяц назад
Naomba namba zacm
@lokolerdctv4121
@lokolerdctv4121 Месяц назад
Le classement n'est pas objectif.
@ibrahimlameck9479
@ibrahimlameck9479 Месяц назад
Nimekukubalika peleka moyo konde kumwomba Mungu akuongeze.
@sifaelmugitu8018
@sifaelmugitu8018 Месяц назад
Volvo, Scania, Benz, MAN, TATA nk ... Hayo siyo aina ya mabus, hizo ni kampuni ambazo engine zake zimefungwa kwenye mabus, mfano bus la Irizar linaweza kutumia engine ya Scania au Benz nk, hivyo hivyo na Marcopolo, ni mabus ya kichina tu ndiyo huwa yanatengenezwa na engine zake ambazo nyingi ni Dong Feng au FAW
@CAN.164
@CAN.164 2 месяца назад
Ko itoshe kusema wanao zitengeneza hawatutakii mema
@ElizaGilbart
@ElizaGilbart 2 месяца назад
Noma xana jamani tuta fute hela
@petersaitotilaizar9176
@petersaitotilaizar9176 2 месяца назад
Muongo wewe
@SaraNgere-b1d
@SaraNgere-b1d 2 месяца назад
Na air tanzania ni shingapi plz
@EricaFrancis-kb5el
@EricaFrancis-kb5el 2 месяца назад
Sio kweli uongo mtupu hata mabas ya kichina hayauzwi pesa hio scania bei kubwa sana wewe
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 2 месяца назад
Hujui kutengeneza content.... Naenda shule😂😂
@axleymbuya761
@axleymbuya761 2 месяца назад
Ni mwanaume amepambana akapata hizo mali wewe baki na pumbu zako na kumchafua Makonda,,
@nickoemily8267
@nickoemily8267 2 месяца назад
Acha kumchafua Makonda wewe umekosa hoja!
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Anadawa8wa na mak7fuli pesa za serikali alikua nakapewa mura arudishe za dodoma mpaka leo hakurudisha alishukuru makufuli kufa
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Utajiri wote wakupora haya na huko moshi ajaribu upgrading wake alone wachaga watavyomfanya kama mchicha
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Huyo makufuli hana mali hizo pesa za serikali tu aliagiza hata fanicha akasema za shule kumbe ni zake zakuuuza na hiyo gari Benz al8mpora tajiri ambaye anaishi tanga akamtishia wakati madawa ili achukue kijanja
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 2 месяца назад
Zote zuluma tu alikuwa anawapora matajiri
@maryurassa1307
@maryurassa1307 2 месяца назад
Asante
@joantesha6607
@joantesha6607 2 месяца назад
Nataka namba zenu
@EliaMdingi
@EliaMdingi 2 месяца назад
Spasio mpya bei gani?
@JohnNasari
@JohnNasari 29 дней назад
Mbwana amweki no za cm
@JohnNasari
@JohnNasari 29 дней назад
Mbwana amweki no za cm
@NyakatoSaidi
@NyakatoSaidi 3 месяца назад
Bona dodoma mwanza akunadege
@priscaaugustino5803
@priscaaugustino5803 3 месяца назад
Ubarikiwe sanaaa
@MohamedSalumMtumwene
@MohamedSalumMtumwene 3 месяца назад
Glanza million 9
@MohamedSalumMtumwene
@MohamedSalumMtumwene 3 месяца назад
Muongo kinega sio mpya
@charleslezile
@charleslezile 3 месяца назад
Ahsante sana dr umeeleweka sanaaaaaa ahsante kwa somo
@tanzaniaunforgettable4401
@tanzaniaunforgettable4401 3 месяца назад
Hamna kitu
@SabraMzuri
@SabraMzuri 3 месяца назад
Unapatikana wap
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 месяца назад
Mwache awe tajiri. Chapa kazi mkuu wa mkoa. Huyu siyo mkuu wa mkoa tu. Ana kazi nyingi wa wakuu wa nchi. Kuanzia kwa magu mpaka kwa samia. Makonda anatumwa na viongozi kufanya kazi maalumu. Mwacheni
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg 3 месяца назад
Mpo wap
@saeedally268
@saeedally268 4 месяца назад
Muongo ya kwanza marekani usidanganye watu
@bryson0772
@bryson0772 4 месяца назад
Na wewe unawajua na unajua ishara zao bac na ww n mmoja wao
@bryson0772
@bryson0772 4 месяца назад
Na wewe unawajua na unajua ishara zao bac na ww n mmoja wao
@AMOS-yj3og
@AMOS-yj3og 4 месяца назад
Namba zenu
@AMOS-yj3og
@AMOS-yj3og 4 месяца назад
Mnapatikana wapi?