John 12:43 for they loved human praise more than praise from God. Yohana 12:43 Kwa maana Walipenda utukufu wa wanadamu kiloki utukufu wa Mungu. Yohana 5:41 Mimi siupokei utukufu kwa wadanamu. Mungu amsaidia Paulo A fahamu Neno Vizuri lakini tungoje wakati wa mungu kila mtu Ataubeba mzigo yake mbele yake.