Тёмный
NJB TV NEWS
NJB TV NEWS
NJB TV NEWS
Подписаться
Njombe tv( NJB TV) ni chaneli inayomilikiwa na wananjombe ambapo ilianzishwa Kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali Kwa kutoa taarifa Sahiii Kwa umma ikiwemo kutambua fursa mbalimbali za ajira husasani Kwa vijana na akina mama
Kwa Sasa chenelli hii imejikita katika kuelimisha jamii juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi ambapo ina angazia shughuli za kilimo zinazofanywa na wana njombe zinazosaidia utunzaji wa mazingira kama kilimo Cha MITI matunda na mbogamboga.

Njombe tv ilianzishwa tangu desemba 2019 baada vijana watano kutoa wazo la kuwa chombo Cha kutoa taarifa SAHIHI Kwa umma Kwa lengo kutambulisha fursa kupitia habari mtandao.

Pia njombe tv kama taasisi ndogo tunaandaa vitalu vya MITI ya mbao na MITI rafiki na Maji kwaajili ya kupanda kwenye vyanzo vya maji pamoja na kuhamasisha jamii kuacha kulima kwenye vyanzo vya maji Kwa kutoa Elimu ya kilimo Cha mboga mboga bunstani za nyumbani
www.youtube.com/@njbtv2982
ETI MAZIWA YA NYUKI YANAONGEZA UMRI
9:14
2 часа назад
WANANCHI MAKETE WAPATIWA MISAADA NA NMB
3:25
14 дней назад
Комментарии
@neemakamtawa3230
@neemakamtawa3230 День назад
Hongera sana Mario workshop, naomba Mawasiliano yako ya simu. Ili niweze kupata mizinga ya nyuki
@njbtv2982
@njbtv2982 День назад
Tupe no yako
@EPHRAIMLWOGA
@EPHRAIMLWOGA 2 дня назад
Pole sana Mungu ni mwema sana
@Mahirwazanzibar
@Mahirwazanzibar 2 дня назад
Kwel hatujawh kuskia kiongz w ccm ametekw
@johnsonrenatus7772
@johnsonrenatus7772 2 дня назад
Mh waziri mkuu Kassim Majaliwa yamemshinda na kaamua kususa 😅
@Jescandunguru-b4f
@Jescandunguru-b4f 3 дня назад
Kunakitu kimejificha hapo mwanamke ajasema
@JohnS.mwafubo
@JohnS.mwafubo 4 дня назад
Zito ni msomi lkn tatizo lake kigeugeu hata hotuba zake haziaminiki
@muhojadamaris
@muhojadamaris 4 дня назад
Mimi niko katika chanzo cha maji ziwaninimelima vitunguu maji nikafanikiwa saaana sasa nataka nijaribu kulima vitunguu Swaumu niko Sengerema kata ya Buyagu Mwl nisaidie je natakiwa nipime udongo au nifanyeje???
@nashonmwagito4873
@nashonmwagito4873 5 дней назад
Mimi naomba unifundishe kuwachinja
@ErickChaula-j5w
@ErickChaula-j5w 5 дней назад
Nimekuelewa kaka manala
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 7 дней назад
Nyie mnajiteka mnajiu Sasa mnataka madaraka Kwa garama yoyote ile...kwanza wewe n muoga baba levo alishasema
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 дня назад
haupo sawa
@JosephNyagawa-q4x
@JosephNyagawa-q4x 7 дней назад
home land
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 9 дней назад
Kwa kweli mpige kelele hongera Zitto hxli hii ni ngumu na kwa nini kuchukuwa maisha ya watu. Polisi wanemsikia mama yao anayeita wanainchi mbwa, na waliota mikia. Kwahiyo binadamu ni polisi, CCM. Samia ba wachawa wake.
@BarackntabindiEmoro-bo1xp
@BarackntabindiEmoro-bo1xp 9 дней назад
Wewe nae hueleweki mara umuunge mkono mama yako uyo tatukuelew elewi
@emmanuelmahenge-z7u
@emmanuelmahenge-z7u 9 дней назад
Ni kweli mwenyekit mama mzuri sana mie nipo tayari kufa kwa ajiri yake
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 9 дней назад
😂😂
@AkramIbrahim-m6x
@AkramIbrahim-m6x 10 дней назад
Mnatekana Wenyewe Kwa Wenyrwe Wacheni Kimchafua Mama Wapimbavu Nyie
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 9 дней назад
Shoga la mashoga ww
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 10 дней назад
Isiwe ndiyo sababu ya kupata pa kutokea ? Maana utasema nini kama hakuna sababu ya kuongea kwenye mikutano. Barabara mtaongea hapana mazuri yanayofanya mtasifia hapana ni lazima ubuni mambo ili muongee ziwe ajenda zenu ni hiyo mshaipata kwa nini Chadema tu ? Zitto hebu muogope Mungu na uwafahamishe watu wa Wazalendo wa ACT waliyo tekwa au kuuwawa ? Kwa nini Chadema tu hebu tafakari hilo
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 10 дней назад
😂😂😂😂😂😂😅😅😅
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 10 дней назад
Hongera kijana ,sizani km unamda wakupoteza kuuzurura
@malupex6299
@malupex6299 11 дней назад
Hongereni sn@ njmbe kuchele
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz 12 дней назад
Kiukweli kwa haya yanayoendelea cha cha yamekichafua chama cha CCM vibaya sana.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 12 дней назад
ZITO LEO UMEFUNGUKA MUDA WOTE UMEKUWA KIMYA ACHA KUMUUNGA MKONO SAMIA MPAKA AKOMESHE MAUAJI
@IssaMsalama-k6x
@IssaMsalama-k6x 7 дней назад
Hao ndio chawa wenyewe wakihambiwa kuhandamana wanapinga Leo anacho kiongea ni uzushi tu hili tuone nae ameongea,majinga tu huyo
@MagrethAndrew-p5o
@MagrethAndrew-p5o 13 дней назад
Hongera sana sana kijana Mwenyezi Mungu Akutunze
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 13 дней назад
Sasa kama mnatekana kwa sababu ya kuzulumiana
@HoratioBoyce
@HoratioBoyce 13 дней назад
Wilson Charles Perez Melissa Jackson Sarah
@josephmturi6936
@josephmturi6936 14 дней назад
Achani kuongelea humu mnasikika misauti yenu
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 14 дней назад
Zitto huna akili kumbe .Wewe ulikimbia chadema kwanini ? Huna lolote
@neemanziku5403
@neemanziku5403 12 дней назад
Ww ndo huna akili kirobotowe
@deogratiusprosper4796
@deogratiusprosper4796 12 дней назад
Hilo halihusiani na anachozungumza
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s 10 дней назад
Wewe ndio chz kip uscho juwa
@FransiscoNgailo
@FransiscoNgailo 10 дней назад
Fala wewe
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 14 дней назад
Unachosema nikweli mh. Zitto upinzani ndio waonatekwa
@bakermusa9033
@bakermusa9033 14 дней назад
Zito njoo kwenye maandamano si kwenye mic tu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 14 дней назад
On this zito kabwe has voice vary loud tanzania citizens have to walking without fear ok they national responsibility of tanzanian police is to protect every single tanzania citizens
@DavidKagulu
@DavidKagulu 14 дней назад
Tuungane kwenye maandamano
@GoodTeck90
@GoodTeck90 14 дней назад
Wenzenu Chadema wakati wanakwenda front, nyie mnaishia kulaani tuuu .....Kwa nini hamtaki coliation kama vile muasisi wenu Maalim Seif alivyokuwa
@GoodTeck90
@GoodTeck90 14 дней назад
Zitto kwanini wapinzani mnapanganyika linapokuja suala la kudai haki za msingi kama hizo. Kama Chadema wamekwenda mbali zaidi kushinikiza uchunguzi ufanyike kwa maandamano. Lakini vyama vingine vinaishia kulaani tuuu, jambo ambalo halijawahi kufanya serikali kuchukuwa hatua !!?? ......Mtaendelea kutoa kauli za kulaani mpaka lini !!?? .....Kwanini msiwe na coliation hasa kwenye haki za msingi kama hizo !!??
@mahirmauly3664
@mahirmauly3664 14 дней назад
Unajizima data wewe kumbuka KW ye uchaguzi 2020
@geraldntalondo8048
@geraldntalondo8048 15 дней назад
Namimi ni kjana mwenzio nimeshaanza kufuga uko wapi ndugu yangu. Naomba contact zako
@njbtv2982
@njbtv2982 15 дней назад
Chukua namba kwenye hii video
@geraldntalondo8048
@geraldntalondo8048 14 дней назад
@@njbtv2982 nimeshachukua ntakuchek kesho ndugu yangu
@EstherBao-z8y
@EstherBao-z8y 15 дней назад
Hongera sàna kijana Mungu akusaidie kutimiza ndiyo zako
@njbtv2982
@njbtv2982 15 дней назад
Asant sana kaka
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 15 дней назад
Daaah hawa raia wanatutisha saana aisee tutashindwa kumiliki hela kama wamefikia hatua hii
@FridaMbuna
@FridaMbuna 16 дней назад
Matokeo kidato Cha nne
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 19 дней назад
Makamanda wetu mpo vizui mnastahirii tuzo. Tunapenda Njombe yetu iwe salama
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 20 дней назад
Taarifa zote zipo lakini kwenye pesa taarifa hakuna
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 20 дней назад
Safi sana police kwa kaz nzuri. maana majambaz wanapenda vya mteremko.
@EmanuelAmuravu
@EmanuelAmuravu 20 дней назад
Mimi.ni.kenya.napenda.kazi.mnayo.fanya.
@kulwahtwin5638
@kulwahtwin5638 20 дней назад
Nilijua tu Polisi kwa mafunzo yao hizi kesi kwao zlkua ndogo ilikua ni chap tu si unaona 🎉
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 20 дней назад
watoto wa 2000 wakuogopwa miak 22 mwizi kazaliwa 2002 duh😂😂
@stevensoso7506
@stevensoso7506 21 день назад
Ua hao
@PendoMakundi-xv6nh
@PendoMakundi-xv6nh 21 день назад
Msituchoshe kamaten na hao wasiojulikana
@rithaurassa
@rithaurassa 22 дня назад
Tunataka viongozi wenye hofu mungu kama hawa waongezeke nchi nzima. Wengine wanaona watt wa wengine wakipotea ni sw.
@eliasantemhonjwa6256
@eliasantemhonjwa6256 22 дня назад
Asante kwa maarifa
@Gsamir694
@Gsamir694 23 дня назад
Wapewe HEla zao