Тёмный
Ustadh Shafii Online Tv
Ustadh Shafii Online Tv
Ustadh Shafii Online Tv
Подписаться
Karibu Katika Chanel Maalum kwaajili ya Maudhui ya Dini ya Kiislam Kama Vile Mihadhara, Mawaidha, Maulidu, Quran Tukufu, Qaswida, Darsa NK. Usisahau KU Subscriber Chanel hii Ili usipitwe kila tunapoweka Video Mpya Mashallah
mauti
18:16
День назад
Комментарии
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Час назад
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Час назад
Gombea ubunge sheikh shafii
@Muhindojamaldin-r1r
@Muhindojamaldin-r1r 4 часа назад
❤❤❤ shukran kwa kazi mnayo ifanya masheikh wetu Allah awalipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 4 часа назад
Shukran
@makkawi4294
@makkawi4294 5 часов назад
Subhannah Allah Allah akbar 😭😭😭😭true yarabbi tujaalie mwisho mwema amin amin yarabbi inshallah 🙏
@akimzeli5030
@akimzeli5030 5 часов назад
Kiongozi wa dini anatakiwa kuongea haya. Kero kama hizi sababu ndio mambo ya kijamii ya msingi. Dini ni siasa. Wajinga wanataka kulazimisha kutenganisha siasa na dini wakati dini inahusu maisha ya watu, siasa inahusu maisha ya watu pia. Huwezi kitenganisha dini na siasa. Shukrani kwa kumleta mzungumzaji huyu leo.
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 4 часа назад
Shukran
@OmaryBendera
@OmaryBendera 5 часов назад
Mashalah nakupenda kwaajili ya alah mungu akuzidishie kill la kher natamani nami mwanangu are kuwa kama wewe mashalaah
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 5 часов назад
MUNGU akufungue fikra na uamke toka usingizi mzito uliolala. Yani wewe ndio umevamiwa na shetani live.unasema utatu ni mafundisho ya shetani. Sijui kama uko sawa kifikra na BWANA akukemee
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 5 часов назад
Ww ndacha alokuroga kafa na kaburi lake hulijuwa
@MohammedIslam-t2n
@MohammedIslam-t2n 5 часов назад
Mashallah mashallah mashallah masheik watu Allah awahifathi awape umrimrefu wenye manufa AMIN AMIN AMIN
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 4 часа назад
Shukran
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 5 часов назад
Nakubali sana sheikh Kadogoo
@falouheart4329
@falouheart4329 6 часов назад
Na penda sana ku watch video zako sana ina nifidisha mengi sana mengi Nili kuwa sijuwi 😢 na ishi England na kila siku kuwa na tizama video zako. May Allah azidi kuku jaliya.
@moodshabani
@moodshabani 6 часов назад
Sheikh shafi wewe ni mwamba nataman ndacha asilimu siku Moja kupitia wewe Ishaallah
@kondomiraji2834
@kondomiraji2834 7 часов назад
Inalillah wainaillah rajoon, Allah Awahurumie waadhir wetu Ammin yarab
@abughaneem9220
@abughaneem9220 9 часов назад
Allahuma ghifirillahu warihamahu waasikinuhu filijana
@HaliaKheri
@HaliaKheri 9 часов назад
🥰🥰❤❤🤲🏼🤲🏼🙏🏼🙏🏼
@mohamedhusssen2781
@mohamedhusssen2781 9 часов назад
Mungu akukuze uwe mtu wa kueneza dini .ila mimi naomba kuonana na wewe unapatikana wapi
@omarchuo2178
@omarchuo2178 9 часов назад
Mmafia mwezangu.. nakufatilia kila siku walah
@shafiishomari2328
@shafiishomari2328 8 часов назад
Pamoja
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Час назад
​@@shafiishomari2328mimi pia
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Час назад
Pamoja
@propKibali
@propKibali 10 часов назад
Ndacha unajichanganya, ni wewe huyu huyu ambaye unapambana na waislam ukitetea mwana wa Mungu ni Mungu, kumbe ni ukweli ambao hauko ndani yako?
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 10 часов назад
Naam JazakaALLAHU khaira
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 10 часов назад
Gombea ubunge
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 10 часов назад
Hizo mc vp
@AdmiringGlassRose-iv3ul
@AdmiringGlassRose-iv3ul 11 часов назад
Maneno kuntu masha ALLAH
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 13 часов назад
Shafi njoo kwa Yesu , hao wanasubiri hukumu na usijidanganye kua kunamuislam anaweza kuiweka biblia kichwani kwa hizo za kimsikitisikiti 😂😂😂 nawapa pole
@AliAwadh-qc8wk
@AliAwadh-qc8wk 13 часов назад
MASHA ALLAH
@faiqaanwar7268
@faiqaanwar7268 14 часов назад
Simu ikiita muwe mukipokea sababu ya kusema hivyo huwa yaumiza masikio
@Muhindojamaldin-r1r
@Muhindojamaldin-r1r 14 часов назад
❤❤❤ Allah aqbar shukran kwa kazi ya sheikh hongera sana Allah awalipe kilalaheri barakallaw fikum alhamdulillah ya rabbiy
@HamadMbark
@HamadMbark 14 часов назад
Sawa shekh shafii maneno mazuri
@eksielo
@eksielo 14 часов назад
Waafrika achaneni na hizo dini za mzungu na mwarabu zinawachonganisha bure tu
@mobutu3884
@mobutu3884 14 часов назад
Mbona sheikh mwaipopo anaisifia sana serikali, vp wewe sio kada?😂
@JosephGhapi
@JosephGhapi 14 часов назад
Ongea kiswahili
@bibisuleman5158
@bibisuleman5158 14 часов назад
MASHAALLAH SHEIKH unaongea kwli kabisaa TABARAKALLAH ❤❤
@samuelkombo3559
@samuelkombo3559 15 часов назад
Staffi hakuna usamehe wa zambi kabla ya kifu fundisheni kweli
@allymuhammad325
@allymuhammad325 16 часов назад
Toka enzi hizoo
@salimMohammed-v5m
@salimMohammed-v5m 17 часов назад
shekh Shafiii tupo pamoja nawe
@LeticiaLet-hj4ts
@LeticiaLet-hj4ts 17 часов назад
Pambana na haliyako toka
@selemanichanzi3200
@selemanichanzi3200 17 часов назад
Shekhe shafi Assalam aleykum warhamatullah wabarakatuh Nami napenda kufanya hii kazi niko mkoani Shinyanga kikazi Itakuwa vizur kama nitakuwa mwanafunzi wako
@ustadhshafiionlinetv
@ustadhshafiionlinetv 6 часов назад
Walykum salm warahmatullahi wabarakatuh
@abduliashiru9394
@abduliashiru9394 17 часов назад
Daaaaa yaaani mpk machozi yananitoka! Allah awahurumie uko waliko na awingize peponi Aamiin 😢😢😢
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 18 часов назад
Mtihani sana shekh Shafiii ujumbe wko umeshawafikia
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 19 часов назад
Hii Content ulokuja nayo leo Mwl. Shafy ni muhimu sana.. .. ALLAH ATUWAFIQISHE
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 19 часов назад
Allaahumma ghufirlahuu warhamhu
@PeterSegire
@PeterSegire 20 часов назад
Hakuna mungu watatu
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 21 час назад
Mashallah
@muliamadi859
@muliamadi859 21 час назад
Innalillahi wa Inna ilahi raji'un
@JamesKabodo
@JamesKabodo 23 часа назад
Ndacha usichanganywe nakuchanganyikiwa Yesu alisema kwa jina la Baba na mwana na Roho mtakatifu
@januarymassawe1945
@januarymassawe1945 День назад
Mimi ni mkristo nampa hongera sana mtoto huyo abarikiwe sana
@yusufsong7993
@yusufsong7993 День назад
Msomaji wetu Muhdin Inna lilahi wa inna ilhyi rajiun
@yusufsong7993
@yusufsong7993 День назад
Muhdin na Yahya kabla ajaambiwa mpe kashatoa andiko
@JuniorTz-s7x
@JuniorTz-s7x День назад
Sllah akuifadhi kwa kila jambo
@LuluMeru-u8h
@LuluMeru-u8h День назад
Inshaallah
@ElsieMunezero
@ElsieMunezero День назад
Sheikh shafii tunashukur kwakutukumbush manshallah mungu atusamee n'a atuongoze naatupe mwisho mwma amiin amiin yarabi