Тёмный
HABARI POPOTE
HABARI POPOTE
HABARI POPOTE
Подписаться
MTOTO WA MZINDAKAYA RUKWA AJA KIVINGINE
2:34
3 месяца назад
UGONJWA WA FIGO HATARI NYANDA ZA JUU KUSINI
0:58
3 месяца назад
KILIO KIZITO CHA WAKULIMA WA ULEZI
2:32
3 месяца назад
JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI YARINDIMA MBEYA
3:36
7 месяцев назад
CCM RUKWA YATOA TAMKO ZITO
2:02
Год назад
WALIMU RUKWA WAKUMBUKWA NA NMB
2:04
Год назад
IGNAS KAZOLE HATUNAYE DUNIANI
1:23
Год назад
Комментарии
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 Месяц назад
Mbona maji yana vumbi ?
@StanleyKitika-dd7lz
@StanleyKitika-dd7lz Месяц назад
Wemze unapatafeza alafuunaisumbua serekali wy waovyo
@FelixMwacha
@FelixMwacha 2 месяца назад
Mzee naomba namba yake ya simu niweze kufika kwake nikaelimike
@SubiranTimo
@SubiranTimo 2 месяца назад
Hongereni makamanda mungu atuongoze
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 месяца назад
Kwetu uko uwiiiiiii sumbuwanga
@rukwaonlinetv
@rukwaonlinetv 3 месяца назад
Sante kalesa
@johnrizi5978
@johnrizi5978 4 месяца назад
Kazi hii ni nzuri million 100!!!!
@Evetasoka
@Evetasoka 4 месяца назад
Safi sanaaaa ila mbona sijapata namba ya simu
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 4 месяца назад
Chama hiki ni kikubwa alafu kinaeleweka
@luciusnchimbi3850
@luciusnchimbi3850 4 месяца назад
Wengi wameomba namba za Mzee Tenganamba,mbona hamtoi inufaishe wengi?Weka namba kwa faida ya wengi
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 4 месяца назад
kama samaki wanalipa unaangaika na gest ya nini? Rekebisha biashara ongeza masoko
@DeusiMorisi
@DeusiMorisi 5 месяцев назад
Ukumwitu awe nazanga
@shegiahuseinshegia9008
@shegiahuseinshegia9008 5 месяцев назад
Huhitaji saport ya ya fedha,unahitaji ushauri wa jinsi ya kutumia mtaji ulionao,
@rehemakomba5816
@rehemakomba5816 9 месяцев назад
Bwana moja linaukubwa gani?
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 месяцев назад
Ukubwa wa bwawa sio lazima ufanane , kila mtu huchimba bwawa kutokana na eneo , na uwezo wa kuwalisha hao samaki i .
@luciusnchimbi3850
@luciusnchimbi3850 4 месяца назад
​@@chayogasperi9783 tunaomba namba ya simu
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho 11 месяцев назад
Tumain letu
@MwananjelaJuvenarypt-sz5wv
@MwananjelaJuvenarypt-sz5wv Год назад
Hongera sana cde Vitus tenganamba
@MwananjelaJuvenarypt-sz5wv
@MwananjelaJuvenarypt-sz5wv Год назад
Hii nayo ni tatizo
@allymtawa-dy4km
@allymtawa-dy4km Год назад
Sasa unataka sapoti ya nini ikiwa utapata hiyo milioni 100 ujenge fence sio gesti.
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 Год назад
Nitapataje namba. Ya Mzee Vitusi Tenga Nataka namba Ya simu ya Mzee Huyu
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 Год назад
Salaam za pongezi toka mwanza 🐟 Hapa kazi tu, kazi iendelee... Baba napenda kujua ukubwa wa hilo bwawa kubwa au hilo dogo kwa kipimo chake! pongezi pia kwako ndugu mtangazaji leo nimekuona ana, siku nying nakskia Tbc.
@estershoka4494
@estershoka4494 Год назад
Ccm oyeeeeee,kazi iendelee,barabara,airport 👍
@borisadventuresandsafari7149
Unatarajia kuoata milioni mia moja halafu unaomba msaada wa kujengewa uzio?!!!!!
@christinakatega2012
@christinakatega2012 Год назад
Boris Adventures mbavu zangu hahaaaaaaaaaaa
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 11 месяцев назад
Sindohapo 😂😂😂😂
@christinakatega2012
@christinakatega2012 Год назад
Naomba namba zake jmn nataka nikajifunze .
@GETRUDEAFRAELI
@GETRUDEAFRAELI Год назад
Tunawezaje kushiriki kama wataalam wa kilimo cha viumbe maji
@MISHIONARYSHUKURU
@MISHIONARYSHUKURU Год назад
Unaishi wapi?
@linuskhamsonda9206
@linuskhamsonda9206 Год назад
Hongera sana Mwanakwetu. Endelea zaidi na zaidi.
@mustafananji3469
@mustafananji3469 Год назад
Vizuri Sana.
@MISHIONARYSHUKURU
@MISHIONARYSHUKURU Год назад
Namba namba za huyu mzehe
@jofreychaunga6676
@jofreychaunga6676 Год назад
Unafaa kuigwa na jamii nzima. Mzee umebun shughul nzur sana 💪🙌🙌
@MISHIONARYSHUKURU
@MISHIONARYSHUKURU Год назад
Nipe namba zake tafadhali
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 Год назад
Mzee Vitus Gerard Hongera Sana Nitapataje namba zako Mimi Niko mkoa wa pwani Chalinze Mzee wangu Nahitaji Elimu yaufugaji Mzee wangu Sekta ya Uvuvi Iko vizuri
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 5 месяцев назад
Kama uko Chalinze nenda pale RUVU KJT , wanakukaribisha wanakutembeza kwenye mabwawa yao , wanauza vifaranga , nenda hapo .
@rukwaonlinetv
@rukwaonlinetv Год назад
Safi
@rukwaonlinetv
@rukwaonlinetv Год назад
Nice