Тёмный
Duma Tv
Duma Tv
Duma Tv
Подписаться
Duma Tv ni kituo cha Habari kinachomilikiwa na Kampuni ya uzalishaji wa films { DUMA FILMS } chini ya C E O DAUDI MICHAEL TAILO alimaarufu kama Duma Actor , Duma Tv ni chombo cha Habari kinachoendeshwa kwa weledi mkubwa na kufuata sheria zote na imesajiliwa na [TCRA] kupitia sheria ya huduma za Habari ,Sababu ya kuanzishwa chombo hichi cha habari ni kutoa Taarifa mbalimbali kuhusu matukio yote yanayotokea kwenye jamii yetu mfano BURUDANI ,MICHEZO na etc.

Asante kwa kuichagua Duma Tv
FURAHIA BURUDANI
KIAPO ( OFFICIAL TRAILER HD ) 2024
1:24
Месяц назад
Комментарии
@veronicarobert-qd7fy
@veronicarobert-qd7fy 23 часа назад
❤️❤️
@user-gc7rc7io6c
@user-gc7rc7io6c День назад
Yani unapua mby unastiriwa na mekap
@FatumakunemkaKunemka
@FatumakunemkaKunemka День назад
Kumbe nawewe unakumbukaga nyumbani
@jofumwakalambo1097
@jofumwakalambo1097 День назад
Jaman muwaishage bas vipande mbona mnakawia sana mdauu wenu hapa toka sumbawanga chombe
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 День назад
Old skùul🎉🎉🎉
@hutahuta1170
@hutahuta1170 2 дня назад
😂😂😂timu limeongezeka
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t 2 дня назад
Unyama mwingi😂😂😂
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 дня назад
Next 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-pf3zc6kv5q
@user-pf3zc6kv5q 2 дня назад
nmekuwa wa 3 like kwangu jaman😂😂😂
@user-lu1by6yp4t
@user-lu1by6yp4t 2 дня назад
😂😂
@hamisimussa14
@hamisimussa14 2 дня назад
Naombeni tu Like zangu Leo wakwanza #Timba
@FaridaSaid-pg5du
@FaridaSaid-pg5du 2 дня назад
Mikwara kwani uwongo dada wa beson Hana kazi mbovu
@amaningalla9420
@amaningalla9420 2 дня назад
Pole sana mwanangu Haji ,mungu akujalie moyo wa subira, yanamwisho hayo. Viongozi wanajisahau sana
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk 3 дня назад
Tatu mwenye T zk mjini 😅😅
@NailaMickey
@NailaMickey 3 дня назад
😂😂😂😂
@KimambweStephano
@KimambweStephano 3 дня назад
Pw
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk 4 дня назад
Sheby anawaza wanawake2...mimba nyengin yaja hiyo😅
@ZaynabadamZaymzur
@ZaynabadamZaymzur 4 дня назад
Aunt mwana nampenda ❤
@user-sp4jz1mz9d
@user-sp4jz1mz9d 4 дня назад
Mmmh🎉🎉🎉🎉
@JuliusNdamage
@JuliusNdamage 4 дня назад
Mumetisha Sana'a!!
@ZaynabadamZaymzur
@ZaynabadamZaymzur 5 дней назад
UYU GRACE APANA
@YasinSheikika
@YasinSheikika 5 дней назад
Karia acha roho mbaya cheo kina mwisho
@salamarashid3687
@salamarashid3687 5 дней назад
Uko n bikra wako
@YasinSheikika
@YasinSheikika 5 дней назад
Karia anachukia binafsi na haji
@YuliMabula
@YuliMabula 5 дней назад
Dad mukubwa naomba namba yako
@Faudida
@Faudida 6 дней назад
Brooo dum mbo kiapo.ya kum13 bd haijatoka jmn😊😊😊
@hamisisalim
@hamisisalim 6 дней назад
Ila Mungu hapendi ushirikina Duma hii iko na funzo
@user-mi9cg6dm6n
@user-mi9cg6dm6n 6 дней назад
Yammi mdada mzuri but still hujitambui ... Umemsahau Allah na kwenda kwa shetan 😅pole sana bint umekimbilia pabaya
@ZakiyaollerRadju
@ZakiyaollerRadju 6 дней назад
Ata wew hawushind zuch puwakam langurube
@fatumajuma9441
@fatumajuma9441 7 дней назад
Astakafiru huwo ushoga utawapeleka wapi jamani inaskitisha sanna hasa inamuumiza mwanamke aliyebeba mimba miez tisa na.akenda leba akanusurika kifo akakuzaa wewe wallah inaumiza mungu akuvueni huwo ufirauni mlonao wenye kuchukiza😢😢😢
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 7 дней назад
Namkubali dadangu zuchu❤😅😂😂😂
@MamySarah-lo8gg
@MamySarah-lo8gg 7 дней назад
🎉🎉
@GraceMbise-o4y
@GraceMbise-o4y 8 дней назад
Wao
@moisebahati8733
@moisebahati8733 8 дней назад
Kwa Grace tume pigwa
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 8 дней назад
Malkia mweusi mke kujiamini ni kweli🤣🤣🤣
@VailethChimais
@VailethChimais 9 дней назад
Huyu Shabby kiboko
@user-ut7fp8hq7v
@user-ut7fp8hq7v 9 дней назад
Mhhhhh uyo gracy
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 9 дней назад
Safi Sana
@floramapenzi3696
@floramapenzi3696 9 дней назад
Mama kanumba kingereza icho safii
@HajiAbdalla-vm2jr
@HajiAbdalla-vm2jr 9 дней назад
Riziki Yako haiko Kwa binaadamu mche m mugu hizo ndio sofa za bindamu mk mkorofi
@HajiAbdalla-vm2jr
@HajiAbdalla-vm2jr 9 дней назад
Sema alhamdulilah
@HajiAbdalla-vm2jr
@HajiAbdalla-vm2jr 9 дней назад
Dhalili yupo pamoja namungu
@HajiAbdalla-vm2jr
@HajiAbdalla-vm2jr 9 дней назад
Mwenye kudhulumiwa yupo pamoja namungu
@HajiAbdalla-vm2jr
@HajiAbdalla-vm2jr 9 дней назад
Ndugu yangu muachie mungu atakulipia
@Nasra-ch1ts
@Nasra-ch1ts 9 дней назад
Kichomi tuna taka jamani
@IslamPeto-fd6wr
@IslamPeto-fd6wr 9 дней назад
Malikia mweusi wee noma sanaa.. .
@mwakaathuman5637
@mwakaathuman5637 9 дней назад
Movie nzuri
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 10 дней назад
Lini hii kaka itakua kali sana
@SafinaRamadhani-eb8rf
@SafinaRamadhani-eb8rf 10 дней назад
Vizuri sana Duma
@NeemaJoseph-mm9zh
@NeemaJoseph-mm9zh 10 дней назад