Тёмный
HELU Recap
HELU Recap
HELU Recap
Подписаться
Karibu kwenye RU-vid channel yetu HELU Recap, kituo chako cha kwanza na cha kipekee kwa muhtasari wa kuvutia wa filamu ambao unaletwa kwako moja kwa moja youtube. Kituo chetu kimejitolea kufupisha kiini cha sinema maarufu, vito vilivyofichwa, na filamu za jadi zisizopitwa na wakati katika muhtasari wa kina na wa kuvutia. Iwe unatafuta kujua habari za hivi punde au kurudia filamu unazozipenda, HELU Recap inakupa muhtasari wa kupendeza na wa kufurahisha unaoangazia vipengele muhimu vya hadithi, nyakati za kukumbukwa, na uchanganuzi wa kina, kuhakikisha kuwa hupitwi na chochote katika ulimwengu wa sinema.


Jiunge na jamii yetu inayokua ya wapenzi wa filamu kwa ku-subscribe. Iwe wewe ni mpenzi wa sinema mwenye uzoefu au mgeni katika eneo la filamu, kituo chetu kimeundwa ili kuburudisha, kuelimisha, na kuhamasisha. Bonyeza kengele ya arifa ili upate masasisho ya video zetu mpya, na usisahau ku-like na ku-comment pamoja na ku-subscribe. Ahsante na karibu sana.
Комментарии
@jumamarere9790
@jumamarere9790 День назад
Umezingua sauti madam
@novatuscharles3156
@novatuscharles3156 4 дня назад
Dada unasaut nzur🎉
@SadaNusra-dt5tx
@SadaNusra-dt5tx 4 дня назад
Nzuri
@FinTechDOLLARS22
@FinTechDOLLARS22 5 дней назад
ila wanawake haya bana.......
@PauloMtalimbo
@PauloMtalimbo 5 дней назад
Wa kwanza mm
@user-yb5hh9mr5q
@user-yb5hh9mr5q 5 дней назад
Ila 😂😂😂😂 wanangu comment section 😅😅 mnazingua mnacho comment
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 5 дней назад
Yaani kama Huna moyo unaweza acha aseeee😂❤
@BiashaNyere
@BiashaNyere 5 дней назад
Uko poa dada endelea ivyo hivyo movie iko👍❤❤❤
@SalhiyyaJassam-fg1sw
@SalhiyyaJassam-fg1sw 6 дней назад
Unahadithia vizr ni mara yangu ya kwanz kukuckia maashaallah❤❤❤❤
@jamessospeter6847
@jamessospeter6847 7 дней назад
Dada unajua ila kaza zaidi
@jenniferzakaria3884
@jenniferzakaria3884 8 дней назад
Mtafisiriaji arud shule bd hajasema,ss hatupigi story nae ,haaaa yajayo yanafurahisha yaan bado
@user-vx1pw5dq7k
@user-vx1pw5dq7k 8 дней назад
Unaadisiaje Kama unasoma kamus
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 7 дней назад
Naongeza maarifa na jitihada pia❤
@user-vx1pw5dq7k
@user-vx1pw5dq7k 8 дней назад
Unaadisiaje Kama unasoma kamus
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 9 дней назад
Ni tamu sana
@ramayonline2281
@ramayonline2281 9 дней назад
Jina la movie
@tumainimalima8112
@tumainimalima8112 9 дней назад
sio kila lazima afanye recap dada 😅😅
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
Mi nafanya ukiweza na wewe join❤❤😂😂
@EsterMkoka
@EsterMkoka 10 дней назад
😅😅😅
@shedrackjoshua834
@shedrackjoshua834 10 дней назад
Dogo anataka dingi ale nyama dingi hajiongezi
@user-it1jn7us7l
@user-it1jn7us7l 10 дней назад
❤ nice
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
Many many thanks
@kelvinmgunda6156
@kelvinmgunda6156 10 дней назад
Jina la move
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
Hidden Feelings
@NOVATISIYAME
@NOVATISIYAME 10 дней назад
Sasa mbona usemi kama imeisha au kuna part2
@NOVATISIYAME
@NOVATISIYAME 10 дней назад
Kazaaaaaa
@Decute4074
@Decute4074 11 дней назад
Unaweza good voice dada, kaz nzuri
@NOVATISIYAME-iz9qw
@NOVATISIYAME-iz9qw 12 дней назад
One loveeeee
@noelmunuo4660
@noelmunuo4660 12 дней назад
Mmmh! Hv nyie mmemuelewa msimuliaji??
@user-fp2iq3hs6s
@user-fp2iq3hs6s 12 дней назад
We unaweza🤔
@UngwaGerard
@UngwaGerard 12 дней назад
❤❤❤
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
❤❤❤
@MerryFabian-eo1bu
@MerryFabian-eo1bu 12 дней назад
Sauti dada aivutiii
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
View video nyingine za channel yetu ili uipende❤❤
@RukiyaAmeir
@RukiyaAmeir 12 дней назад
❤❤❤
@kefangendwa3336
@kefangendwa3336 12 дней назад
❤🎉🎉 nice voice 🎉
@mohammedmeja6211
@mohammedmeja6211 13 дней назад
Dada unasauti nzuri ❤
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
❤ahsante sana 😊
@ramayonline2281
@ramayonline2281 9 дней назад
@@HELU-RECAPnisaidie jina la movie
@DinahNish-bm9sr
@DinahNish-bm9sr 13 дней назад
Mtoto mbaya sana
@mangimoney3577
@mangimoney3577 13 дней назад
Pmbn utaweza tu
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
❤ahsante sana
@user-zx1xs4zt7g
@user-zx1xs4zt7g 13 дней назад
Umeboa sn
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 9 дней назад
😢❤
@samuelmutua-j9l
@samuelmutua-j9l 13 дней назад
Mwanamke broo
@AbuuMzese
@AbuuMzese 13 дней назад
Muendelezo
@asdfhdv9230
@asdfhdv9230 13 дней назад
Katot kamalay utamupa bab yako anach kitak
@naimaislam552
@naimaislam552 8 дней назад
😂😂😂😂😂
@FinTechDOLLARS22
@FinTechDOLLARS22 13 дней назад
angemkubali tu umri ni namba tu afu mwamba kampenda kweli movie inaitwaje
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 13 дней назад
😂😂😂 BITTER, SWEET, SOUR
@user-cf8ei9px5j
@user-cf8ei9px5j 14 дней назад
❤❤❤❤
@HappinessNamajojo
@HappinessNamajojo 14 дней назад
Movie name
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
Hidden Feeling 📌
@Drelay14
@Drelay14 14 дней назад
Mxameheni anajifunza xiunaona hata lugha ajui
@NoorynMody
@NoorynMody 14 дней назад
Kwani mtangazaji mwanamke au mwanaume nauliza to maana sauti siielew
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
Jamani wewe😆
@WiskdyMugaya
@WiskdyMugaya 7 дней назад
Mhmmmm jamani😅😅😅😅😅😅😅
@MakayNgumby-b8f
@MakayNgumby-b8f 14 дней назад
Makay Ngumby
@davidpeter2398
@davidpeter2398 15 дней назад
Ndo imeisha au inapart 2
@MelinaKatikula
@MelinaKatikula 15 дней назад
😢
@UngwaGerard
@UngwaGerard 15 дней назад
❤❤❤
@UngwaGerard
@UngwaGerard 15 дней назад
❤❤❤
@BeatriceKimario-h7p
@BeatriceKimario-h7p 15 дней назад
Sauti mbayaa haina mshiko wa kusikiliza 1:32
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
Sorry nitajitahidi next time❤️
@Jennysolange8989
@Jennysolange8989 13 дней назад
Jaman simka funguwe studio zenu mbn anajuwa sana tu dada yang wasikushushe moyo bure just keep fighting sis❤❤❤
@BeatriceKimario-h7p
@BeatriceKimario-h7p 15 дней назад
Sauti mbayaa haina mshiko wa kusikiliza
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
Beatrice nitajitahidi next time Itoke vizuri so sorry kwa hizi video za mwanzo❤️
@BeatriceKimario-h7p
@BeatriceKimario-h7p 15 дней назад
Sauti mbayaa haina mshiko wa kusikiliza
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
❤samahani sana najitahidi za sasa zitoke vizuri sana 🙏
@Jennysolange8989
@Jennysolange8989 13 дней назад
Ukiona ivyo kafunguwe studio yako sijuwi watu mnakuwaga vip jaman😂😂 funguwa studio yako man mbn anasauti zuri tu jaman binadamu bhana daaah😂😂😂 big up sana sis unajuwa sana asikushushe moyo bure uyu mpumbavu unaweza sana tu keep fighting❤❤❤
@SamKoloto
@SamKoloto 11 дней назад
Sauti nzuri dada mtu asikushushe keep it up
@user-xt4pr8hr5m
@user-xt4pr8hr5m 10 дней назад
Towa yako tuone kusema sema tu kufanya ww aaaah
@user-xt4pr8hr5m
@user-xt4pr8hr5m 10 дней назад
​@@HELU-RECAPachana nae uyo
@ellahjonas4881
@ellahjonas4881 15 дней назад
Duh! Kazi nzuri ila hata ingekuwa mimi ningeondoka
@fellybrowntz177
@fellybrowntz177 15 дней назад
Jitahidi kuongeza sauti
@HELU-RECAP
@HELU-RECAP 14 дней назад
Ahsante sana nitajitahidi🙏❤️