Тёмный
Jugo Media
Jugo Media
Jugo Media
Подписаться
JUGO MEDIA NETWORK ni chombo cha uinjishaji kupitia mtandao kilichoanzishwa miaka
minne (4) iliyopita (19/02/2019) katika chumba kidogo cha kontena la Kwaya ya Familia
Takatifu Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Malengo makubwa
ya Jugo Media Network ni kuwalisha kiroho waamini wa Kanisa Katoliki na wakirstu wote
kwa vipindi mbalimbali vya kiroho, Misa Takatifu na homilia za maaskofu na mapadre kwa
kutumia mitandao ya kijamii ambayo kwa dunia ya sasa imeonekana kuwa na upotovu
mkubwa wa maadili hasa kwa vijana lakini pia ndio tasnia inayokuwa kwa kasi Zaidi
ulimwenguni, hivyo mwanzilishi, Ndugu Ibrahim Gores akajikita Zaidi na kundi kubwa la
vijana na watu wa rika zote walioko mitandaoni kuwawezesha kuweza kupata neno la
Mungu katika Mazingira yao walipo, muda wowote ule.
Channel Hii inaongozwa na kauli Mbiu Jugo Media - Injili Kiganjani Mwako
Комментарии
@MeshackAudax-bv5xu
@MeshackAudax-bv5xu 9 часов назад
@EuphrasiaMashobe
@EuphrasiaMashobe 10 часов назад
Hongera sana pendeza wanautoto Mtakatifu❤
@fransisdindiri476
@fransisdindiri476 12 часов назад
Mmmh
@PatriciaYula-mg1js
@PatriciaYula-mg1js 20 часов назад
Very interesting live performance,,,,responding accordingly,,metronome attained ,,blading is very nice mostly in all voices,,congrats
@TonnyMwenga
@TonnyMwenga 21 час назад
Going forward don't tell the history while the Mass is going on we need Mass not story's!. Politely kindly
@TonnyMwenga
@TonnyMwenga 22 часа назад
I wish i knew swahili
@donatusalfred582
@donatusalfred582 23 часа назад
Ukijitoa sadaka,jitoe kweli na mtumikie Mungu kweli
@wischmananthony8858
@wischmananthony8858 День назад
Unavopiga hii nyimbo na ninavopiga mm tofauti najiona 😢 siwezi tuu ,,
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 День назад
Mungu akubariki sana baba Mwarabu maana ulitugusa sana kipindi cha ukuaji wetu
@aframichael2372
@aframichael2372 День назад
Wooow ❤🥰 Stay blessed Papaa✨💫🙏
@elizabethojina
@elizabethojina День назад
Baraka tele kwa kipindi cha Maisha na Muziki. Je mnaweja kufanya mahojiano na mwana muziki Beatrice Gregory Gwitaba
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si День назад
Amen mtoto umejaa karama uinjilishaji KWA sauti ya kwaya
@monicamabella4659
@monicamabella4659 День назад
Well done Kwaya ya Mt.Cecilia Ukonga 🎉🎉🎉
@enockponera8387
@enockponera8387 День назад
Music unaongea
@johnalexandermushi6720
@johnalexandermushi6720 День назад
Hongera Sista kwa utume.
@edwardedwardbuberwa3701
@edwardedwardbuberwa3701 День назад
Hongera na kwa kukumbuka mzee wangu mzee Bernardo Buberwa kupitia wimbo wake wa Yesu Nyamugobwa
@tempochoir
@tempochoir День назад
Wow 👏👏👏 mlm katika vazi la Kihaya 👏👏👏
@tempochoir
@tempochoir День назад
Hongereni sana Hongera Conductor hujawahi kuniangusha ❤
@Julius-d2h
@Julius-d2h День назад
Wekeni mitambo yenu Sawa inakoroma Sana
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 дня назад
Hongera sana
@lajarakimaay7399
@lajarakimaay7399 2 дня назад
Mzee Mwarabu n Tunu.. Hakika azidi kubarikiwa
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 дня назад
Mungu akujalie maisha marefu mchezanji wetu wa alaa za muziki🙏🏼🙏🏼
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 дня назад
Mpigaji kayamba mwezangu mwalimu mkuu
@lilianalara8007
@lilianalara8007 2 дня назад
❤❤❤❤❤ Am blessed
@kiookimolo
@kiookimolo 2 дня назад
Enzi zan̈gu duu
@ChristopherKayera
@ChristopherKayera 2 дня назад
Siku nyingine mpelekeeni Hata ICT aende mbali zaidi kuubili neno la Mungu
@gregorykalokole859
@gregorykalokole859 2 дня назад
Wimbo safi sana.
@gradientlife
@gradientlife 2 дня назад
Hii inagusa sana, mmefanya jambo la kiungwana na matoleo yenu. Mwenyezi Mungu awabariki
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 дня назад
Hongera kwa kuunga mkono shughuli za uinjilishaji. Mungu awabariki sana.
@HaruniLufyagile
@HaruniLufyagile 2 дня назад
Inapendez
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 2 дня назад
RIP MH JPM
@davidwandavusi7542
@davidwandavusi7542 2 дня назад
Hawa mkienda nao music festival,just rehearsal itawafanya msipande stage
@davidwandavusi7542
@davidwandavusi7542 2 дня назад
I can attest,makuburi is the best choir in the whole world,,organist🔥🔥 Voices 🔥
@ElizabethWangui-c8w
@ElizabethWangui-c8w 2 дня назад
Kwaya master, wornderful kazi nzuri.
@ryanndungu8485
@ryanndungu8485 3 дня назад
Sauti tamuu sana
@BarakaMarandu-d5t
@BarakaMarandu-d5t 3 дня назад
🎉❤
@salhamembe
@salhamembe 3 дня назад
Naupenda sana huu wimbo😢
@dainessdamas7230
@dainessdamas7230 3 дня назад
nimependa historia yako sana🙏🥰 barikiwa sana
@AlexKAudax
@AlexKAudax 3 дня назад
Telents
@Lucianaludovickmaro
@Lucianaludovickmaro 4 дня назад
Wao imependeza hiyo proud to be catholic
@janemwangi605
@janemwangi605 4 дня назад
Waaoo wonderful, hongera sana MTOTO wetu kwa saburi mungu akuzidishie guvu ya kumtumikia maishani wako Amina ❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ZamiraAkinyi-om8cf
@ZamiraAkinyi-om8cf 4 дня назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jebace
@jebace 4 дня назад
speechless wow
@theresiarenatus7946
@theresiarenatus7946 4 дня назад
❤❤❤😊😊
@MechtildaNshange-ye8zy
@MechtildaNshange-ye8zy 4 дня назад
Hongereni Mkasa na wanakwaya wenzio.Bwana awainue muendelee kuinjilisha🙏🙏🙏
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 4 дня назад
Atukuzwe Mungu milele
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 5 дней назад
Hongereni sana maharusi MUNGU awazidishie siku za maisha
@Mr.Rweikiza1991
@Mr.Rweikiza1991 5 дней назад
These guys are living in their own world. What a brilliant performance....May God keep blessing them
@nemilakiangela5153
@nemilakiangela5153 5 дней назад
Hongera sana Despina kwa unyenyekevu wako. Mungu yupo pamoja nawe