Тёмный
MbeyaYetuOnlineTV
MbeyaYetuOnlineTV
MbeyaYetuOnlineTV
Подписаться
Комментарии
@user-zb5qz6fk1v
@user-zb5qz6fk1v 43 минуты назад
Kila siku lawama kwa madereva . Barbara zenu vinaviwango ???? Ubovunwa Barabara mbeya bado Anjali haziishi tengenezeni Barabara kwanza
@MusheheMohamed
@MusheheMohamed 2 часа назад
Poleni Sana nduguzetu
@PhilipoTitus
@PhilipoTitus 5 часов назад
Nimkuelewa kaka
@RamadhaniKiduba
@RamadhaniKiduba 10 часов назад
Hivi mtu anaiba mtoto anahukumiwa miaka nne tu kama vile kaiba kuku angefungwa miaka kumi ndo funsisho kwa wengine
@imanimahundi8293
@imanimahundi8293 18 часов назад
Na ule utarattibu wakubandika namba za makamanda kila mkoa uwepo
@rosekaricho4652
@rosekaricho4652 23 часа назад
East Africa who are endorsing chairman for au may God visit you for
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh День назад
Na watu ndio sisi asante sana
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 День назад
Jeshi la polisi ni shida sana katika nchi hii!!! Kiongozi mwenye nia ajifanye abiria Kwa Siri aone yanayotokea!!!
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 День назад
KUKAMATA WEZI NA KUWATEKA WATU NDO MNAKIWEZA TU
@elioimer8423
@elioimer8423 День назад
Mpaka watu wapoteze Maisha , ndio wahusika na wenye mamlaka hutoa maagizo ya nini cha kufanya. Inasaidia nini?? Mungu awaweke mahali pema waliofariki na waliojeruhiwa awaponeshe majeraha yao haraka . Mungu ndie mtoa yote tuzidi kumwomba atujalie Maisha sisi tuliobaki , Amin
@RumiSimkanga
@RumiSimkanga День назад
Hakika inauma sana jaman mungu atusaidie na tujitahid kuomba
@rodrickchonde
@rodrickchonde День назад
Inahuzunisha sana kwa matukio ya ajali kupelekea vifo, ulemavu, lakini kutokana na taarifa ya mkuu napenda kunukuu imebainika kidhibiti mwendo kimechezewa tangu July sasa swali ni kwamba wenye mamlaka baada ya kubaini walikuwa wapi kuchukuwa hatua leo wanatoa taarifa kujikosha baada ya tukio huu ni uzembe na wao wamechangia.
@DeboraIlomo
@DeboraIlomo День назад
Jamani kiukwel abilia tuwe makini.japo abilia nasisi tunakuwa hatuna uelewa.mm naweza kimwambie deleva kuwa apunguze mwendo.mwingine atatokea humo humo kwenye gari anasema endelea na mwendo huo huo.sasa hapo kitakach fuata ni makelele na si kupunguza mwendo.namadeleva punguzeni bangi unapo ona upo kwenye chombo cha moto.
@SharifaMako
@SharifaMako День назад
hiyo Barbara ya Chunya ni dume kweli kweli Ina hitjika udereva wakujihami sana
@TumainiLwila
@TumainiLwila День назад
Poleni
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo День назад
Kona mbaya dereva ndio mkodaji vubao vpo njia anapira kila sk just ajali haina kinga,, speed gavana zipo kabatini?
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 День назад
Tunamuomba Allah Awarehemu waja wake wote ambao tayari wamesharejea kwake,Amiin! Pili,Awaponye wale wote ambao wamepata majeraha,InSha Allah!
@SonsShop-m5x
@SonsShop-m5x День назад
😢😢😢
@AsedJames
@AsedJames День назад
Huo ni uzembe wa mdereva
@wilsonandlea8614
@wilsonandlea8614 День назад
Jaman watu wamechanganyikiwa maisha mangum mwisho wasiku tunajua wehu 😊
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy День назад
VPoleni sana😢😢
@moiseszacariasmoisesmoises
@moiseszacariasmoisesmoises День назад
😢ewe mwokozi wetu warehemu wapenda wetu ámen 😢
@menaurukivuyo6796
@menaurukivuyo6796 День назад
Mungu awaguse walio Pata pigo Hili pamoja na watanzania Kwa ujumla, poleni Sana,,,
@davidfelician2903
@davidfelician2903 День назад
utu dereva kwa nini alikuwa mwendokas ivoo achukuliwe hatua na leseni irudishwe
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 2 дня назад
Mkoa gani w bongo asee upi
@JeremiaMlay
@JeremiaMlay 2 дня назад
Kwakifupi Sheria zinaongelewa kwenye vyombo vya habari lakini kiuhalica akuna chochote kinachoendelea
@AsanteMsafiri-v7h
@AsanteMsafiri-v7h 2 дня назад
Babu nakwaminia lalanayo iyo,,,,,
@AsanteMsafiri-v7h
@AsanteMsafiri-v7h 2 дня назад
Babu nakwaminia lalanayo
@user-xx6pp8co4n
@user-xx6pp8co4n 2 дня назад
Hivi swala ni bango aj ni madereva kuwa makini kwa sababu huyo dereva sidhani kama ni mgeni kwenye hiyo barabara. Ni uzembe na wanafanya mashindano ya kwenda kasi. Wapumzike kwa amani na majeruhi nawapa pole.
@user-mb3wt1ep7d
@user-mb3wt1ep7d 2 дня назад
Ishu kubwa abiria Wenyewe tuwe watu wa kwanza kuwa makin na madereva wetu.haiwezekan kaka dereva atumwagie mizigo yetu mara ya kwanza.alafu tena arudie mwendo ule ule
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 2 дня назад
Shida askari watapewa rushwa. Sijui tuliombee vipi jeshi la polisi. Ipo shida sana
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 2 дня назад
Hivi madereva wa mabasi wana akili gani?
@ShedrackBishaza-qd4vq
@ShedrackBishaza-qd4vq 2 дня назад
Mama nae kitu kinajibu nyuma ,mungu awalaze mahala pema pepon
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u День назад
😂😂
@GodfreyMlay-n8p
@GodfreyMlay-n8p 23 часа назад
Wallay mm mwenyewe simjui huyo mama lakini huyu lazima ni wachuga tena ungalelo ni msela kiukweli et kona mbaya kitu kinajibu nyuma
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 2 дня назад
Ndo wanaosema kafara mabosi wanatoa ni udereva wa kindezi tu
@PauloMassawe-py6eb
@PauloMassawe-py6eb 2 дня назад
Jamanimbeyakunaninimbonakilakikuchaajaliyakutishanakuuwawatukunafremasonhuko
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 дня назад
We nae rudi shule ukajifunze kuandika
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 дня назад
​@@bintmrisho3526hata sijui amepanic
@MosesKaaya
@MosesKaaya 2 дня назад
Shida pia abiria wanakaaga kimya,ata pale wanaona dereva anaendesha kwa mwendo kasi,
@setrickhamasi9533
@setrickhamasi9533 20 часов назад
Mimi kiviangu magri kubwa kama trailer mabuse zitembe mjna
@MabulaVincent
@MabulaVincent 2 дня назад
Nikweri Baba tusaidie
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 2 дня назад
Viongonzi.hamjitambui.wakifa.watu.ndio.mnajitokeza.kuongea.ujinga
@childrenincrisisfoundation562
@childrenincrisisfoundation562 2 дня назад
KWA WENZETU DEREVA AKISABABISHA AJALI YA VIFO/KIFO LESENI INACHUKULIWA NA KUIPATA HADI AENDE TENA MAFUNZO ! SISI JE?
@happynesmakuru8371
@happynesmakuru8371 2 дня назад
😢😢
@SholeBigsaund
@SholeBigsaund 2 дня назад
Pole sana best
@Nyanimzee
@Nyanimzee 2 дня назад
Laki
@gasperandrew3719
@gasperandrew3719 2 дня назад
Kwa upande wangu mm naona sio sawa kufukua mwili uliozikwa tayari. Hata kama kuna utata lakini familia ya marehemu ingemwachia Mungu tu kwasababu kama ni mtu kufariki kashafariki. Ila kufukua mwili uliozikwa sio sawa kwa upande wangu. Kama nimeongea pointless naomba mnisamehe ni kwa maoni yangu2
@BesterSigalla
@BesterSigalla 2 дня назад
Mweee
@ZabibuZabibu-y8i
@ZabibuZabibu-y8i 2 дня назад
Innalillah wainnalillah rajuun
@EdwinMgaya-r3m
@EdwinMgaya-r3m 3 дня назад
Mchezo
@AfricanCriff
@AfricanCriff 4 дня назад
Kuusu bala bala ap tuzingatiwe
@IratubonaRahma
@IratubonaRahma 4 дня назад
Uyuni brayan daikon
@IratubonaRahma
@IratubonaRahma 4 дня назад
Non yesu
@EsterKumpuga-n6c
@EsterKumpuga-n6c 4 дня назад
Polen sana
@kalingaasukile8730
@kalingaasukile8730 4 дня назад
Duu,hakuna siku inapita bila ajali hapa Tanzania 😢😢