What Pastor is explaining about his life is what we hear in his preaching his desire for people to know Jesus waooow very powerful testimony be blessed Man Of God I pray for you May your ministry go further ili watu wa Dunia hii wamjue huyu Yesu.🔥🔥
Please dear God as this year going to end please God change my life am real tried of everything i have passed throw plz change my life am ready to change am ready to follow ur rules please 🙏🙏 help me dr God change my life so as nikutumikie watu wakuone kupitia mm
Hapana kusudi la Mungu lazima liwe na sababu na sababu ikaanzia kwenye kijana kusogezwa mbavu na jamaa akapelekwa Mbeya huko akutana na Mwamba Yesu 😄😄😄😄
Ila ufalme wa mbinguni si kama wa dunia hii, kwamba we need security and financial systems sjui nini za dunia hii, unguvu unaoongelewa ni wa kuukubali huo udhaifu katika dunia hii, The word says alie mdogo ndie mkubwa mbinguni, heri walio maskini wa roho..heri wanaolia sasa maana ufalme wa mbinguni ni wao..kuikubali aibu kama Bwana wetu Yesu..kwa kifupi bro Tony angalia vzuri the root ya wito wako na Mungu akajifunue zaidi katika huduma yako..Peace and one love pastor.
Mungu anatoa kitu chema ndani ya waovu maoni ya yohana ndani ya biblia anasema nliona mishumaa sana ndani yake nikamuona mwana kondoo aliye chinjwa yesu kristo In God nothing impossible 🙏🏽🙏🏽
Nakukumbuka pastor ukiwa SUA tuliabudu wote kwa the late pastor Lyoba, ulikuwa unaonyesha kweli umeamua kumtmikia Yesu. Ubarikiwe sana endelea kwa nguvu hizo hizo kama ulivyosema ufalme wa Mungu hutekwa na kwenye nguvu.