Dully Sykes was born Abdul Sykes is a Tanzanian musician who sings within the Bongo Flava genre. He's additionally referred to as mister Misifa. Many of Dully Sykes's songs have become very popular and trendy online with many streaming
Sykes is acknowledged for his hits like, "Leah", "Julieta", and "History of Truth". Most of his songs square measure supported true stories.
His song, "Handsome", was welcome all right and created him become common within the industry. excluding singing, Dully additionally writes. Dully has provided “hooks” to several artists together with P-Funks and Man X’s. He continues to figure out his songs and has created it high within the industry. Dully has sung songs with Harmonize, that embody, "Kadamshi" and "Nikomeshe".
Basi huu wimbo miaka hiyo ulitoka nilikuwa mafinga/iringa sasa kuna jiran zangu ndo waliniambia nicky dully mwaka 2006 nahisi katoa nyimbo mpya basi wakanichukua hadi kwao hapo mmoja alikuwa dany mahenge na steven mahenga ...tukaenda kwenye chumba cha kaka yao anaitwa dorat mahenge jamaa alikuwa ana tv so alikuwa na tabia ya kurecord nyimbo zinazopigwa east africa then anatupa mikanda tuangalie maana tv enzi hizo issue sana hasa nyimbo zikiwa zinapigwa zinarecordiwa kuangaliwa baadae basi wakaniwekea hii nyimbo nikaipenda hadi leo naipenda Ila bahati mbaya mwaka 2020 kipindi cha corona huyu steven mahenge alifariki alikuwa class mate wangu pia... Na dany yupo znz nahisi wimbo huu umenikumbusha mbali mno