Тёмный
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Kwaya ya Mt.Karoli Lwanga Chuo cha Ufundi Arusha
Подписаться
Комментарии
@frolaedimundi9993
@frolaedimundi9993 4 дня назад
Vizur🎉
@frolaedimundi9993
@frolaedimundi9993 4 дня назад
Nzuri🎉
@frolaedimundi9993
@frolaedimundi9993 4 дня назад
Nzuri🎉
@GodfreyKewe
@GodfreyKewe 12 дней назад
Hongereni sana
@Fanji-e7
@Fanji-e7 Месяц назад
🔥🔥🔥
@sarafinamapuga810
@sarafinamapuga810 Месяц назад
Tunachowakubali ni kwamba hamjawai kutuangusha big up sana kwenu🙌 Mungu awazidishie mzidi kutupa nyimbo Bomba za Kikatoliki
@LETICIATALANGE
@LETICIATALANGE Месяц назад
Kazi nzr hongereni sana❤😂🎉🎉
@PreizyJoseph-sr2hy
@PreizyJoseph-sr2hy Месяц назад
Mungu awabariki na hongereni kwa kazi nzuri endeleeni kufanya kazi ya Bwana
@AtanasiDotto-bk7hk
@AtanasiDotto-bk7hk Месяц назад
Hongereni sana ATC kweli mmeimba vizuri sana Mungu awainue zaidi na zaidi mzidi kumtumikia yeye siku zote za ujana wenu ❤️❤️💓📌
@josephmunduvuyira2723
@josephmunduvuyira2723 Месяц назад
Hongereni kwa kazi njuri na ya thamani kubwa. Ahsante kwa watunzi na wachezaji kinanda. Kila jema katika utume wenu.
@AnnastaciaSafarin
@AnnastaciaSafarin Месяц назад
Kazisafi
@DianaRonjino
@DianaRonjino Месяц назад
𝕞𝕟𝕒𝕚𝕞𝕓𝕒 𝕧𝕚𝕫𝕦𝕣𝕚 𝕞𝕟𝕠 𝕞𝕟𝕠 𝕛𝕒𝕞𝕒𝕟𝕚 𝕄𝕌ℕ𝔾𝕌 𝕒𝕨𝕒𝕓𝕒𝕣𝕚𝕜𝕚 𝕟𝕒𝕨𝕒𝕡𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕤𝕒𝕟𝕒 .❤🎉❤🎉❤🎉
@paskalinaleopold3251
@paskalinaleopold3251 Месяц назад
ninawafuatilia mno na hongereni
@jannethshayo1367
@jannethshayo1367 Месяц назад
Me mependa
@Apollinarisclaudius-kl4ly
@Apollinarisclaudius-kl4ly Месяц назад
Hongereni sana vijana wa kazi
@frankmhoja2460
@frankmhoja2460 Месяц назад
mziki wa kikatoliki ...afu mziki wa kichuo chuo asee aloooo🙌🙌🙌🙌mungu awabariki kusali mara mbili karbuni pia chuo cha NIT tunakwaya nzuri mnooooooo🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@omarychaula
@omarychaula Месяц назад
😂 karibu kijana Arusha from Israel katibu wako
@bupechulla8121
@bupechulla8121 Месяц назад
good song
@SospeterBaumba-d3b
@SospeterBaumba-d3b Месяц назад
Wimbo umetulia sanaaa
@dominicakimbe
@dominicakimbe Месяц назад
Wooow kazi nzuriii,,,mmetishaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZakariaElias-g2w
@ZakariaElias-g2w Месяц назад
Good song👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@AnthoniaKadoyi
@AnthoniaKadoyi Месяц назад
Nyimbo nzuri, tunajifunia kuwa mkatoliki kila siku ❤❤
@augustmboe216
@augustmboe216 Месяц назад
hongeni sana mnaimba vizuri sana
@jenipherrwezaula7084
@jenipherrwezaula7084 Месяц назад
Mmeweza Mungu yupo, tumtukuze yeye milele❤
@chep2019
@chep2019 Месяц назад
❤❤safi sana Wana karoli lwanga ARUSHA 😊😊😊❤❤❤ TEC
@waromokello
@waromokello Месяц назад
Fantastic song❤❤
@tempochoir
@tempochoir Месяц назад
Hongereni sana mmeimba vizuri sauti zimetulia wimbo mzuri sana ❤
@godffreyonyango1049
@godffreyonyango1049 Месяц назад
Nice one❤
@youngmantz838
@youngmantz838 Месяц назад
Vocals and overtone frequencies zote zimezingatiwa.
@Das-71-v3g
@Das-71-v3g Месяц назад
Kazi nzuri sana... Mungu awabariki🙏🙏
@HoseaOsward
@HoseaOsward Месяц назад
Wimbo wa kufungia mwaka kabisaa🎉😂🔥🔥
@yasintaissala7613
@yasintaissala7613 Месяц назад
Hongera kwenu wote mlioshiriki kazi nzurii sana 🎉❤
@juliusmganyizi6261
@juliusmganyizi6261 Месяц назад
mambo ni yapendayo huu mziki mtakatifu nimeupiga jana toka saa 9 mpaka usiku na leo tena nimeamka nao unanipa nguvu ya kupambana na kutokata tamaa licha ya magumu ninayopitia hongera sana MUNGU atubariki kwa utume
@kwayayamt.karolilwangaATC6471
@kwayayamt.karolilwangaATC6471 Месяц назад
Asante sana. Mungu aendelee kuwa nawe hasa wakati huu mgumu unaopitia
@phibianchepmngetich6140
@phibianchepmngetich6140 Месяц назад
Wimbo mtamu kweli, pacha wenzetu tumezindua siku Moja lakini kutoka Mombasa -Kenya 🇰🇪 na Tanzania. Kazi Safi sana Director Mdete 🎉🎉🎉 #SifaKwaMungu
@rahabmacharia5020
@rahabmacharia5020 Месяц назад
I salute you my good people.. Ray a very touching song. Asante
@busheshawilbroad
@busheshawilbroad Месяц назад
Hongereni sana wakuu
@ocestalmgao3678
@ocestalmgao3678 Месяц назад
Kazi nzuri mno heko kwenu ❤❤❤❤
@godsonjackson
@godsonjackson Месяц назад
Congratulations to you, kazi njema. Pokeeni maua yenu 🎉
@EmmanuelWambwe
@EmmanuelWambwe Месяц назад
Big up sana wakuu chuma imekaaa🎉🎉🎉🎉
@SilvesterIlanda-eb7oj
@SilvesterIlanda-eb7oj Месяц назад
Pia nitakuwa ni mchoyo kweli wa fadhila nisipo wasifia kwa TABASAMU kutoka kwa waimbaji wote, asilimia zaidi ya 90 % za Tabasamu, keep it up!!!!!
@SilvesterIlanda-eb7oj
@SilvesterIlanda-eb7oj Месяц назад
Duuh pongezi kwao watunzi wapiga vyombo na waimbaji wote kwa kazi nzuri ya UINNJILISHAJI kwa njia ya Uimbaji wa mziki Mtakatifu,, 👐👐
@BrysonMmari
@BrysonMmari Месяц назад
🎉❤❤ wafanyakazi pamoja shambani mwa Bwana, Mungu wa mbinguni abariki kazi nzuri ya uinjilishaji wenu...
@JosephLeonard-v3y
@JosephLeonard-v3y Месяц назад
So grateful my friend let's keep it up for the another work
@josephngowa9575
@josephngowa9575 Месяц назад
Hongereni wahandisi kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu
@mc_longino
@mc_longino Месяц назад
Ahsante sana Mhandisi🙏🙏
@GodifreyNyamori
@GodifreyNyamori Месяц назад
God bless 🙏 all , that's good song
@elinakindole6927
@elinakindole6927 Месяц назад
Nimebarikiwa sana hongeren vijana na mabint wa yesu.Kazi nzurii keep it up.
@MsisiOfficial
@MsisiOfficial Месяц назад
Favorite song 🤩❤️
@kanitangaze5309
@kanitangaze5309 Месяц назад
Hongereni sana wana Karoli hakika Mungu yupo tumtumainie yeye
@st.augustinemachakosuniversity
@st.augustinemachakosuniversity Месяц назад
Kazi safi sana....mziki mtamu uliotulia vyema🎉🎉❤hogera
@PrisillaRenatus
@PrisillaRenatus Месяц назад
Waoow my favorite choir ever❤
@AugustineOnit
@AugustineOnit Месяц назад
Hii ngoma hata Mama Mkwe achomoi Guys you did it