KMK is a catholic Church Choir established on 1988 for the aim of Conducting Mass in The Blessed Anuarite Parish Makuburi Dar Es Salaam.
Since then they have released their singing works about 16 Albums with more than 100 Songs like, Chozi la Damu, Yesu Ni wema, Mimina Neema and many other songs.
Jamani wimbo unanikumbusha mwaka 2005 nilikua darasa la kwanza enzi hizo unapigwa radio tumaini kipindi cha nyimbo za dini, aise mbarikiwe sana mmenifanya nikumbuke utotoni kabisa
Haitotoakea makiburi mnatuwakilishi vema kanisa katoliki chini ya mwanga kwa mwanga Mungu kweli kwa Mungu kweli heko kwenu nawaombea mdumu ktk kumtangaza Mungu kristo na mama maria chini ya roho mtakatifu
nice voices ....salimia huyo mzee wa kucheza kayamba,,, he really inspires tangu mje humu kenya, haswa pale matia mulumba makongeni....naomba siku moja nipate nafasi ya kuwajoin ata nicheze kayamba angalau wimbo moja