Тёмный
NYUNDO TV
NYUNDO TV
NYUNDO TV
Подписаться
ALL EXCLUSIVE ARE HERE...
Комментарии
@user-zo8jd6ph9v
@user-zo8jd6ph9v 2 часа назад
Mnajua wote ila dunia imewashika
@BajuAhmed-qb7mr
@BajuAhmed-qb7mr 4 часа назад
Huyo msouth ni Mzee haipo sawa chino tafuta vijana wenzako ili uzidi kua Bora zaidi
@OmanOman-lt8se
@OmanOman-lt8se 19 часов назад
Namba
@blankashayo4417
@blankashayo4417 23 часа назад
Kweli kabisa mtumishi anasingiziwa jamani afunguliwe kanisa watu wengi wanafunguliwa
@patrickJosse-t7h
@patrickJosse-t7h День назад
Mbuzi wewe
@kinuthiaotieno5171
@kinuthiaotieno5171 День назад
Msamaha ya nini wala wa ache zao bana aiii
@ChristinaGeorge-d1c
@ChristinaGeorge-d1c День назад
Pole
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w День назад
Diwani wewe hukusoma kauze dawa za nguvu za kiume
@sakinakwela3342
@sakinakwela3342 День назад
Kweli kabisa ❤❤
@mwanahawamchia7056
@mwanahawamchia7056 День назад
Asinge muweka hapo angempangishia sehemu ingine
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du День назад
Sababu dini, sio kisa dini.
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Rais tunakuomba mama
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Nina abaye ajafanya kosa
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Nina abaye hajawahi kufanya Kosa jamani
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Apinwe hata faini
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Ameomba msamaha jamani mapope yamerudi tena uw???? Mama yetu
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Jamaica kama Kuna mtu hajawahi kufanya Kosar au kukosea Nina tunaomba asamehewe wote tuna makosa jaman
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Apingwe hata finished basi jamaan
@HawaOman
@HawaOman 2 дня назад
Nimetoka marekani nikuja kwenye ibada mama tunakuomba
@RoidaMbemba
@RoidaMbemba 2 дня назад
Hiyo ni miongizo ya kanisa husika,na waumini ambao hawakubaliani na huduma,hawalazimishwi kwenda kusali au kupata huduma pale,waache kuchochezi.
@sidebraizoy2070
@sidebraizoy2070 2 дня назад
Mafia mnachagua mabondia, bondia hanaingia hata hahapigwa anasema mkono unamuuma 😂😂😂 hamna kazi hapo
@user-hn8wo7fw6d
@user-hn8wo7fw6d 2 дня назад
Yani inatakiwa upigwe
@user-hn8wo7fw6d
@user-hn8wo7fw6d 2 дня назад
We nitahira
@loserianfrankmoitha235
@loserianfrankmoitha235 2 дня назад
Kituko
@loserianfrankmoitha235
@loserianfrankmoitha235 2 дня назад
😂😂😂
@user-bg3nw7sl4m
@user-bg3nw7sl4m 2 дня назад
Naomba dada snula amtafute arafa wafanye kaswda alafu ukimchanganya na snura hakika itakua safi tumemmic arafa
@mokitaa8750
@mokitaa8750 2 дня назад
Mafia Bado hamna mabondia hao wototo wenu endeleeni kuwatafutia mabondia wabovu lakini siku mkijichanganya ndio mtajua hawajui
@magembesitta5657
@magembesitta5657 2 дня назад
Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 3 дня назад
Ibrahim Mafia Ni bondia mzuri, ananidhamu ya ukweli Ila promotion yake ya MAFIA unaweza kumharibu kwa kumtafutia washindani dhaifu. Bondia Prasitsak Phaprom alikuwa bondia mzuri enzi zake Ila kwasasa sio mzuri tena na ameshazeekani sawa na kua kapigana na baba yake! na anamiaka miwili hajapigana!!. Tuone utofauti wao: Prasitsak: Age - 42yrs, status - inactive since 17/08/22, Rank - nil (no star) Ibrahim Mafia: Age - 22yrs, status- active, Rank - *** Je, unadhani Kuna usawa wowote wa kuwakutanisha hawa baba na mtoto? Tutafutieni Bondia wa kupigana na Ibrahim Mafia ili tuthibitishe ubora wake. Mleteni yule Mmalawi Phiri au Osca Richard.
@godymastermind9534
@godymastermind9534 3 дня назад
Chid akiacha madawa ni bonge la msanii. Madawa hayajawahi kumuacha mtu salama
@iddsimba3849
@iddsimba3849 3 дня назад
🔥🔥
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 3 дня назад
Usiseme Julius Indongo sema mzee Indongo, heshimu wazee wako
@AWADHIHEMED-y1c
@AWADHIHEMED-y1c День назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nikweli kabisa asiseme julis be indongo aseme bondia mzeee indongo wetu
@TeddyTheresiamboya
@TeddyTheresiamboya 3 дня назад
Alisema maneno ya masikini hayapenyezi kwenye ile gari yake leo hii pandeni huko nyie mlikuwa wahuni mama samia oyeeeee