Pastor Rose shaboka naomba usinyoe nyusi utapendeza sana na utakaa kitakatifu zaidi naomba ujumbe huu umfikie jamani mtumishi mzuri kasoro kuchonga nyusi, haibariki
Wazir mkuu ajihuzuru wazir wa fedha ajihuzuru wazir wa mipango ajihuzuru wazir viwanda na biashara ajihuzuru mgomo wa mwaka Jana wametutanganya wakamdanganya na rais ndio maana mgomo umerudia tena wakae pemben waje wengne wachapakaz
Usiogope Mzee hao chawa wa mama siyo watu kinana wasila wako kimya uzuli ccm mungu amewakata siyo tunduma walio gama ni maraika wanaotoa ishara Kwa ccm