Тёмный
CONGO 🇨🇩YETU NEWS TV
CONGO 🇨🇩YETU NEWS TV
CONGO 🇨🇩YETU NEWS TV
Подписаться
HIYI NI CHANNEL AMBAYO INA KU LETEA HABALI ZOTE MPYA,
Комментарии
@mbokasakasai5850
@mbokasakasai5850 День назад
Tu nous as découragé,votre youtube n'est pas vrai
@CONGOYETUNEWSTV
@CONGOYETUNEWSTV День назад
Nita waletea habari kulingana na mapenzi yenu
@NyamwizaNyamasoso
@NyamwizaNyamasoso 2 дня назад
Tunatangaza yenye yako siyo maitaji yako tuambiye kwenye wa mekamata tutañgaze
@Kopa-u7n
@Kopa-u7n 2 дня назад
❤ DRC wazalendo mungu emisaijiye I'm mumba evans uku zambia pole ote kwanini lete ishituke kuwawa kwanini basituke kifu Kya rejyomaliya watu wanauwawa niwengi sana mukyukuwe atuwa yakifo kyamu Congo Mani..... ote okay ❤❤❤❤
@GodfreyMauna
@GodfreyMauna 3 дня назад
Ukweli ni wapi kwa matangazo yenu ya usaliti
@chrisking5589
@chrisking5589 3 дня назад
Tupehabari mzee wakazi 🏋️‍♀️
@JumaHamisi-y7f
@JumaHamisi-y7f 3 дня назад
Habari zenu tumezichoka kwa sababu kila siku zinafanana masisi mapambano hakuna kwenye wamekamata kisha kila siku usalama mdogo unaripotiwa hapo Goma hakuna maendeleo.toweni habari sahihi siyo kutafuta ma vision
@JumaHamisi-y7f
@JumaHamisi-y7f 3 дня назад
Kila siku habari zina fanana vita masisi wazalendo wanapiga alakini hamisi kama wazalendo wamekamata fasi Fulani .na Kisha maneno ya usalama mdogo huko Goma kila siku inatusha Gaza.
@ALISEMWANGAZA
@ALISEMWANGAZA 3 дня назад
Naipenda
@JosenlyBaraka
@JosenlyBaraka 5 дней назад
Nord Kivu tunateseka
@HenriPosho
@HenriPosho 5 дней назад
Jambo ndungu mtangazaji,kama Rwanda imekanusha akuna majeshi yake katika Arzi ya kongo sawa sasa wazalendo nao waingiye pya Rwanda na kongo iseme pya ni vita ya wao kwa wao
@davidmagambo3001
@davidmagambo3001 5 дней назад
Mbona ulipotea wewe mtangazaji ulikuwa wapi?
@elishabagalwa9859
@elishabagalwa9859 7 дней назад
Uko rwade
@tshamapetenga5055
@tshamapetenga5055 8 дней назад
Concernant la libération des prisonniers, il fallait une coordination de Constant mutamba avec d'autres ministères ( intérieur, plan, santé....) pour une bonne prise en charge au lieu de jeter les prisonniers libérer dans la nature pour se débrouiller..... L'inccoordination est totale
@bagumajustin2528
@bagumajustin2528 8 дней назад
Ushindi ni wetu
@dddgggg2544
@dddgggg2544 8 дней назад
Watu hawana huruma
@mwizaaline9320
@mwizaaline9320 8 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@Queenbeby-j6q
@Queenbeby-j6q 9 дней назад
Watu walishakuwa na roho ya unyama hawana huruma 😢😢😢
@gtskogs4148
@gtskogs4148 9 дней назад
@JosenlyBaraka
@JosenlyBaraka 9 дней назад
❤❤❤
@RenéBalole
@RenéBalole 9 дней назад
Ndosho niya mingi
@RenéBalole
@RenéBalole 9 дней назад
Jambo ndugu mutangazaji,mukisha sema ndosho muna tu précise Q, commune, na Avenue
@CONGOYETUNEWSTV
@CONGOYETUNEWSTV 9 дней назад
Sawa
@AyambaAshibojoseph
@AyambaAshibojoseph 9 дней назад
Les bantous contre les nilothiques , l'objectif des inilothiques est de forme' leur ampile au pays de bantous (hima) les bantous des defandes leurs patries qui est raison Entre les deux ?
@elishabagalwa9859
@elishabagalwa9859 9 дней назад
Ulishaka kuwa m23 nawewe
@simbabochancegbedabo874
@simbabochancegbedabo874 10 дней назад
Vita iendeleye tu hadi tumalize kundi YA adui.
@esdrabaruti4176
@esdrabaruti4176 10 дней назад
Ata Kama m23 ni wa Congomani tatizo ni kwamba wana shirikiana na inchi za jarani
@MuhindoEttiene-x1e
@MuhindoEttiene-x1e 10 дней назад
Hakuna wazo laku kaa kwa mazungmuzo sisi tuta jiunga na wazalendo tupige m23
@kibukilasongolo2358
@kibukilasongolo2358 10 дней назад
Wewe kila Zaharia zako hadi utowe mwayu uwaga uko mugonjwa?.
@AmaniMutoka
@AmaniMutoka 10 дней назад
Hutatufundisha Nini chakufanya wewe tulia wapate moto
@AmaniMutoka
@AmaniMutoka 10 дней назад
Ambiya ndugu yako kagame afanye dialogue na fdlr.mbona huongeyi habari za kwenu rwanda.chungu yenu iko jikoni
@DelphinDelphin-t7d
@DelphinDelphin-t7d 10 дней назад
Suluhu ni kupiga m23 ila hakuja kuwa ordres ya kupiga m23
@KambambuKayisirirya
@KambambuKayisirirya 10 дней назад
Uko traître tena uko munyarwanda sababu anasema gouvernement iongee na m23 .
@JackTshongo
@JackTshongo 10 дней назад
Solution yangu , nikuzoofisha m23 kwa vita itaisha na Amani itarudi
@davidmagambo3001
@davidmagambo3001 10 дней назад
Leo umeongea vizuri sana ndugu mtangazaji
@StevenBazibuhe
@StevenBazibuhe 10 дней назад
mimi Olivier kutoka burhale walungu miye kama mu Congo ngomani siyezi itika kuongea n'a m23 Congo niya kambambi naiko nawana jeshi yanguvu lakini wangozi wetu njo wana tiya m23 gunvu mamadu alipinga m23 myezigampi juu alikatalaka rushwa wakubwa wajeshi yetu yaleo wana kula rushwa ya m23 sana jomana iyi vita IKO guvu baciye wazalendo bopeke bapange ivita
@amissinzeyimanatresjoliefi3095
@amissinzeyimanatresjoliefi3095 10 дней назад
weye Rwanda yetu TV aca uhongo
@amissinzeyimanatresjoliefi3095
@amissinzeyimanatresjoliefi3095 10 дней назад
yani wewe Congo ijahe izungumze n'a wavamizi wa kinyarwanda meza moja nyinyi kwa nyinyi amuhelewani.vipi Congo njoo ihelewane na munya Rwanda.
@ChristopheMuela-g2v
@ChristopheMuela-g2v 10 дней назад
Kama toto hayapikiwa atajuwa kenye nilifanya ni kibaya tufike ku mwisho jo tuta eshimiyane apana ku sikilizana ju chuvi inapita mu chakula ayitakuliwa
@ChristopheMuela-g2v
@ChristopheMuela-g2v 10 дней назад
dawa ya moto ni moto ache moto akuse moto jo atajuwa
@BaumaSamantha
@BaumaSamantha 10 дней назад
Bjr.ufunge.kinywa.chako..hatuwezi.kufanya.ndiyalonge.namunyaRwanda.hakuna.siku.moja...unandefandere.ndugu.yako..munyeRwanda.mufunge.Randio.yaongo
@kambalekaswahili9667
@kambalekaswahili9667 10 дней назад
Kabisa nikupiganamupakamwisho
@deogratiasmulumeoderhwa
@deogratiasmulumeoderhwa 10 дней назад
Rwanda inajuwa kama mukongomani anaogopaka vita nanjomana Biko nasema dialogue chesekedi akimaliza vita yaeste atabakikumadaraka mupaka mwicho.
@deogratiasmulumeoderhwa
@deogratiasmulumeoderhwa 10 дней назад
Jambon mwariri tumechoka achatupigane Rwanda ulichakuwa tuoneya mwatakufa tuko tayari mwatakufa atagenga inchi deo Bukavu.
@nkulusawa1479
@nkulusawa1479 10 дней назад
Funga munyarwanda mu na kuya tu impose vita amuna haya
@TibinganaMoses
@TibinganaMoses 10 дней назад
Juya nini hawa ache vita wasikilizane
@JeanAYONGO-he1nh
@JeanAYONGO-he1nh 10 дней назад
Nakufata tangia ituri.mimi namona misemo Yako inaoneshaka wazi uko ngambo ya rwanda.na kweli uko munyarwanda.
@theroomofrighteousnganireaimab
@theroomofrighteousnganireaimab 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤
@AdnanMohammed-e5s
@AdnanMohammed-e5s 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@JosephNeemaBahati-nv1ec
@JosephNeemaBahati-nv1ec 11 дней назад
Umetangaza uongo kwa uvira Uyo mwana jesi alitoka mizungouko tu , hakuna hâta raiya moja aliye umiya
@ValentinMbotole
@ValentinMbotole 11 дней назад
Wanyarwanda wanadai haki gani kwenye arzi ya Congo? Wanyarwanda ni wauwaji. Walikuja kuvamia inchi yetu.
@KamiliKapeta-yr3uc
@KamiliKapeta-yr3uc 11 дней назад
Ikitaka Kongo ikaesawa ikiwaflusha waingie adi rwanda