Тёмный
Godfrey Kalinga
Godfrey Kalinga
Godfrey Kalinga
Подписаться
HEKIMA YA MDOMO- JOHN MTUI
9:48
8 месяцев назад
DUNIA SHANGWE
1:12
Год назад
YESU NI MWEMA NA SFAT CHOIR
5:51
Год назад
NAOMBA BARAKA NA SFAT CHOIR
4:37
2 года назад
Комментарии
@agustaimaculata900
@agustaimaculata900 20 дней назад
Selamat merayakan pesta kaul pertama Dan kaul kekal untuk para suster SMI DI TANZANIA 🎉🎉🎉🎉🥳 TUHAN YESUS MEBERKATI ..SALAM DARI INDONESIA FLORES..😊
@marzenacur7912
@marzenacur7912 21 день назад
Brawo. Gratulacje
@priscahokororo9468
@priscahokororo9468 21 день назад
Hongereni sana masista kwa kuitikia wito wa Mungu, tunawaombea mdumu katika safari ya kumfuasa Kristu
@fransiscakimario9736
@fransiscakimario9736 21 день назад
Hongereni sana masista,Mungu awaongoze na kuwaimarisha katika wito na utume wenu
@stevenmwacha7617
@stevenmwacha7617 28 дней назад
❤❤❤❤❤ sanaa
@AloyceAndrew-y5w
@AloyceAndrew-y5w Месяц назад
LIYE PIGA Nimkude au nauliza
@godfreykalinga9322
@godfreykalinga9322 23 дня назад
Hapana Ayubu Myonga
@IradukundaHonore-f7r
@IradukundaHonore-f7r Месяц назад
Ongereni sanaaaaaa❤
@immaculateakumu2285
@immaculateakumu2285 2 месяца назад
Tafadhali tuwekee pia SEMA NA MOYO WANGU kwa ytube it's a very nice song.
@LeodigardGabrieli-hy2sw
@LeodigardGabrieli-hy2sw 2 месяца назад
❤ nyimbo nzr sana hongeren sanaaa
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc 2 месяца назад
Nimebarikiwa sana na uwimbo
@merinachalinze-rn2cc
@merinachalinze-rn2cc 2 месяца назад
Mungu awabariki vijana wakatholiki tunawapenda sana
@FelisterFabian-qz3qq
@FelisterFabian-qz3qq 3 месяца назад
Mung awabark san
@fidelismuema2183
@fidelismuema2183 4 месяца назад
I have listened to this song for years. I really love the message, and today I am seeing the video for the first time.
@GetrudaMnyalu-tt1sy
@GetrudaMnyalu-tt1sy 4 месяца назад
Mungu atusamehe juu ya midomo yetu
@GeorgeMaika
@GeorgeMaika 3 месяца назад
Amen
@GetrudaMnyalu-tt1sy
@GetrudaMnyalu-tt1sy 4 месяца назад
Mungu atusaidiee sana 🙏
@ambroseomeyo4739
@ambroseomeyo4739 5 месяцев назад
Hekima ya mdomo, funzo ambalo kila MTU anastahili kuliishi katika jumuiya, fadhila ya msingi Ni Upendo. Hongera sana .. Good song ❤❤
@brightonpeter1034
@brightonpeter1034 5 месяцев назад
Nice song 🎉🎉🎉🎉
@HannibalBC52
@HannibalBC52 5 месяцев назад
Mungu akubariki Tanzania!
@Oman-z7j
@Oman-z7j 6 месяцев назад
Nipo oman Kila sku nawaskiliza naijoy sana
@Oman-z7j
@Oman-z7j 6 месяцев назад
Nawapenda sana
@Oman-z7j
@Oman-z7j 6 месяцев назад
Nyimbo nzur sana yaan mnaimba vizur sana nai njoy sana mungu awabarki sana
@gradientlife
@gradientlife 6 месяцев назад
Anajua sana. Hii familia more love 💖
@CarolineMuindi-zv7kl
@CarolineMuindi-zv7kl 6 месяцев назад
good song
@AdolpheSiyaleo-t5r
@AdolpheSiyaleo-t5r 7 месяцев назад
Vizuri sana
@DolphinMT
@DolphinMT 8 месяцев назад
Nimeupenda wimbo
@franklaurent-o5p
@franklaurent-o5p 8 месяцев назад
safi sana
@JacksonMungai-l1l
@JacksonMungai-l1l 8 месяцев назад
Good song
@rancetv8978
@rancetv8978 5 месяцев назад
Mungu awabariki sana
@gilbertmchenya
@gilbertmchenya 8 месяцев назад
maneno mabaya, yanachafua moyo 🙏
@RenatusMbassa
@RenatusMbassa 9 месяцев назад
(Rais wa wapogoro tz) Asante kwa nyimbo nzuri kwaya master mbona mrefu sana
@zachariagerald
@zachariagerald 4 месяца назад
😂😂
@peninahmutindi1556
@peninahmutindi1556 9 месяцев назад
Barikiweni sana wana makuburi.wimbo mzuri sana❤
@anthonymwendwa5702
@anthonymwendwa5702 11 месяцев назад
Nice Talent... Mungu akuzidishie
@wanyonyirobert2735
@wanyonyirobert2735 Год назад
Wimbo mtamu sana....kwaya hii iko pande zipi za Tanzania.? Ningependa kutembelea kwaya hii siku moja.
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 Год назад
I always try to find energy performing this song in the church but sijui mbona huwa siipati.
@Simonconasmasele-wq7zr
@Simonconasmasele-wq7zr Год назад
Kazi nzuri sana kwako mr Ray
@prosperkimaro4660
@prosperkimaro4660 Год назад
Nafurai sana mnapoitumia talanta yenu Kwa kutuubiria NENO la Mungu,Kwaya master namkubali ongera yake
@livinusgrenus2759
@livinusgrenus2759 Год назад
Irudiwe nasemaje irudiwe
@livinusgrenus2759
@livinusgrenus2759 Год назад
Hii siku ilinoga aise
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 Год назад
Mhhh
@bonithajohn3709
@bonithajohn3709 Год назад
Nzr sanaa
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o Год назад
Mmenigusa sana cesilia. Na hamna mpinzani
@florencechalo
@florencechalo Год назад
Organist umri bado mdogo ni Vema arudi darasani kuongeza maarifa zaidi. Atafika mbali.
@peteraugustine3082
@peteraugustine3082 Год назад
Huyu ashaivaaa yuwaungua for your information, mtunzi pia kachipuka, mfuatilie kwa utaratibu ukirudi nyuma
@florencechalo
@florencechalo Год назад
@@peteraugustine3082 bado anaitajika Shule hapo Alipo bado anapika kienyeji. Akipata Darasa la zaidi kumvusha hapo atakua vizuri
@sherrif6549
@sherrif6549 Год назад
Hujui unachokisema.Huyu ni mbaya sana...huyu ashaiva kila kitu
@kasakealex5444
@kasakealex5444 11 месяцев назад
Huyu bwana pamoja na karama aliyojaliwa lakini amesoma muziki kabisa kwahiyo anajua sio wa kujifunza saiv
@deniswolfganglyimo
@deniswolfganglyimo 28 дней назад
Amemaanisha akasome masomo ya dunia,ila yupo shule mpaka leo,mziki anafanya akiwa shuleni na kanisani,mziki haujamtenganisha na masomo.
@stevenmwacha7617
@stevenmwacha7617 Год назад
Oyooooooo
@theresiarenatus7946
@theresiarenatus7946 Год назад
😍😍💥🙌 hamjawahi angusha
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o Год назад
Mmetuwakilisha vema mkuburi mbarikiwe sana cesilia makubururi hongera sana balnabas majige. Nakuaminia mzee wa mziki😂
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o Год назад
Cecilia kiukweli mnatisha. Ninawaombea.
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o Год назад
Hongereni saana sana. Mmeupiga mwingi.
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o Год назад
Ijayo na Mimi nipo. Niikosaje Hii!?
@ancilangowi9358
@ancilangowi9358 Год назад
Mungu fundi, kipaji cha hali yajuu
@darlykimariyo9291
@darlykimariyo9291 Год назад
Waoooo💝💝💝 nawapenda sanaa mbarikiwe mnoo mnatuwakilisha vemaa Parokia yetu BMC kigambonii💓
@sophychawala1886
@sophychawala1886 Год назад
Najivunia kuwa mroman katoliki