Тёмный
Chadema Media TV
Chadema Media TV
Chadema Media TV
Подписаться
Democracy and Political Media
Комментарии
@reginamlay5263
@reginamlay5263 5 минут назад
Yaqni hawa viumbe wakupanda magari meusi Mungu awapondeponde barabarani na kumbukumbu Lao liondolewe ktk ulimwengu wa walio hai Tanzania tumechoka eee Mungu tusaidie
@EuniceSamson-d8d
@EuniceSamson-d8d Час назад
Hoja ni kutokea familia masikin au kuhama kwa msigwa?
@mudymudy-ki7ie
@mudymudy-ki7ie 3 часа назад
police yupo vizuri ajatibua kikao cha chama wakiwa police kama hawa sidhani kama kutakuwa nashida nimefurahi
@aloismbuya7833
@aloismbuya7833 3 часа назад
Namwombea Tundulisu kila wakati
@rogersiddy
@rogersiddy 9 часов назад
Hapa sasa nimeelewa vzr sasa Kuna wale mambumbuu wanapishana kisa wenyekiti je ccm wanapiga kula upande wenu kumpata mwenyekiti?
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 10 часов назад
Hapo sasa ndo mmejua, mngeteseka sana, hapa hapa hyo ibada inamatokeo hv punde kwa afande awadhi
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 11 часов назад
Kweli kabisa kuna wizi hapo kwa msajili wa vyama vya siasa ñi mwizi
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 11 часов назад
Kweli kabisa kuna wizi hapo kwa msajili wa vyama vya siasa
@Elisha-zr8ms
@Elisha-zr8ms 15 часов назад
Safi sana nchi yetu Tanzania 🇹🇿 niyawote siyo ya police wapumbavu wanapambana nawema
@aloycejames4862
@aloycejames4862 День назад
vema sana
@user-hw1fp6mb4s
@user-hw1fp6mb4s День назад
Wachene hao mafara 2 ccm yamama hakuna kitu
@kambalekambale541
@kambalekambale541 День назад
Huna lolote mnataka mfanye ngono tu hapo
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 День назад
Msigwa anafurahia sasa hivi wanavyopigwa kugungwa kutekwa ..wakati ule ile clip ya mkuu wa wilaya na msigwa sipati picha leo eti limehama na kukashifu
@lucaslyaruu8244
@lucaslyaruu8244 День назад
Pole zangu nyingi kwa mdogo wangu SUGU.
@happynkya9770
@happynkya9770 День назад
Mmesema tukitoka mnatukamata sasa ww na akili zako unadhani tutatoka kweli😂😂😂😂
@happynkya9770
@happynkya9770 День назад
Jamani jamani
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 День назад
siku chadema ikianza kuwatumia waimbaji vizuri siasa ni sawa na dabi ya simba na yanga ,mkate mkavu haulambwii chadema mnapiga sana kelele police wapeleekeeni michele na maji muone kama hawajaikana ccm
@ZahraBadri-k9q
@ZahraBadri-k9q День назад
Hoja mwelekeo uchaguzi unakuja ....majibu blabla blaaaa😅😅😅😅
@user-qv4jb7mt5q
@user-qv4jb7mt5q День назад
Kweli ndugu, ujumbe wako ni sahihi na umefika.
@ernestmbago848
@ernestmbago848 День назад
Nchi inaraha sana jamani maana natokwa na machozi kwa kinachoendelea nchini
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 День назад
Anastahili Sifa, Heshima na Utukufu Bwana wa Majeshi wa Israeli
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 День назад
Mungu ni mwema
@goodlucksniper2247
@goodlucksniper2247 День назад
Hawa askari wa ncchi gani.!??
@Johansenjoshua1271
@Johansenjoshua1271 День назад
💪💪💪💪
@user-qb1jv2dy2d
@user-qb1jv2dy2d День назад
Msigwa ni fisi tu wala hana ukweli na hoja zake niza kipumbavu.
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 День назад
Stand up with Justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Qur'an 4:135)
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 День назад
Stay blessed Mh. Sugu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 День назад
Amen 🙏
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 День назад
Kamanda halali Nyassa
@mkadammkadam
@mkadammkadam День назад
Msigwa haisemei Chadema bali anaisema Chadema.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 День назад
Ibada hii ni sehemu ya shukrani kwa Mungu tusiyemuona lakini wote tulioko chini ya mbingu hii tuko chini yake bila kujali ukuu wowote wa dunia hii wajue kuwa shukrani ni pamoja na kupannda laana mbaya dhidi ya vizazi vi4 vya wanaotenda haya! Wajiulize kuna faida gani kumiliki fahari za dunia tukaacha laana ya kuuana wenyewe kwa wenyewr ndani uzao wetu vizazi vinne baadae?!!
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn День назад
Police ndio tegemeo la wananchi la Ulinzi Lkn Sasa limegeuka Kuwa adui Mimi SIo Mtu Wa siasa Lkn namuomba MUNGU aingilie kati Tanzania hii SIo Ile ya Nyerere imebadirika mno
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn День назад
Sasa police Huwa wanatumwa kweli? au wanajifanyia wenyewe TU Jibu Hata sipati
@kiberitistartv8887
@kiberitistartv8887 День назад
MUNGU atutangulie daima
@EphraimMwasonya-s1w
@EphraimMwasonya-s1w День назад
Mmhhhh
@danielkipchumba2075
@danielkipchumba2075 День назад
Kumbe polisi Tanzania na Kenya wote sawa tu, vichwa maji kabisa!
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 дня назад
Kiongozi Bawacha kata ya kawe,Kanda ya mikocheni,anatumia nafasi yake kutapeli pesa za wanachama wachanga,MFANO halisi Mimi,Naomba uongozi uchukue hatua Kali kwafaida ya chama vinginevyo,anaharibu picha na taswira halisi ya chama,Joy Bawacha mikocheni nitapele
@rithaurassa
@rithaurassa 2 дня назад
Pole sana kamanda wetu Mungu akuongezee miaka 200 mtetez wawanyonge. Ubarikiwe sn.
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 дня назад
Sambamba na Hilo,Kuna changamoto kwa baazi ya viongozi kata ya kawe,Kanda ya mikocheni,Wana miss use nafasi zao zauongozi kunyanyasa,nakunyanyapaa wanachama wageni,sambamba nakuzurumu wanachama wachanga,sijui viongozi mtalikemeaje hili/hiki kitendo
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 дня назад
Mungu awe na viongozi wetu wote wachadema,awalinde nakuwatunza,awapatie maisha marefu yenye afya tele, INSHALLAH,AMINA
@MursalJuma
@MursalJuma 2 дня назад
Tarime mnajembe naomben murudishen bungen
@user-gc7ft9do4e
@user-gc7ft9do4e 2 дня назад
🙏🙏🙏
@andersonnyahove2867
@andersonnyahove2867 2 дня назад
Hongera sana mwenyekiti wangu wa Kanda ZOC Kanda ya kati Mh. Ole Sosopi nakuelewa na kukukubali sana karibu sana Jimbo la Mlimba pia ukishakuja ziara za kikazi Mkoa wa Morogoro. Tulifurahi ulipokuja Mlimba mwaka huu kutukanidhi JOC bwana Ngwalanje jembe la kazi.
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 дня назад
Safi sana mama ukovizuli
@AnnaFelix-p1z
@AnnaFelix-p1z 2 дня назад
Safi mama ukovizuli
@user-xi9bh1dn4x
@user-xi9bh1dn4x 2 дня назад
hivi ulionawapi upinza ukitetea serikali tawala halafu ni upumbavu kuongelea vyombo vya kimataifa kwasababu kazi yao nikutuonyesha sisi ni wabaya
@user-en8bb3ly8t
@user-en8bb3ly8t 2 дня назад
Hongereni sana watu wa familia ya lisu mungu andeleze mshikamano wenu ni jambo jema lakuigwa na wale wote wenye akili
@ElfasAkede-y6w
@ElfasAkede-y6w 2 дня назад
Lisu tunakukubali usikate tamaa
@kandorohussein6890
@kandorohussein6890 2 дня назад
Hakuna cha ajabu ndio siasa za Bongo. Wanasiasa wote karibu wana Njaa kali ukiona kahama Chama ameona hayuko ndani ya mtandao wa kula Ruzuku na akihamia Chama kingine anakuwa mtaji kwa kutoa siri za adui na kuponda sera na siyo yote ya uwongo mengi yana ukweli, ajibiwe kwa hoja tu
@user-gc7ft9do4e
@user-gc7ft9do4e 2 дня назад
✌️✌️
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 2 дня назад
Hacha wewe
@JosefuSwai
@JosefuSwai 2 дня назад
Kwelikweli