Тёмный
Chumvi Ya Dunia
Chumvi Ya Dunia
Chumvi Ya Dunia
Подписаться
NDOA NI TAMU
0:15
3 года назад
NORA BERNAD - NAPENDWA NA YESU LIVE
2:02
3 года назад
Комментарии
@user-ql9wh9hd1p
@user-ql9wh9hd1p День назад
Ameni
@user-bc8hg3vg2s
@user-bc8hg3vg2s День назад
Barikiwa mtumishi
@JacquelineJanuary-ll8oz
@JacquelineJanuary-ll8oz 3 дня назад
🤣🤣Ambwene umetisha sanaa. Big up.👍Mungu akuongoze.
@JacquelineJanuary-ll8oz
@JacquelineJanuary-ll8oz 3 дня назад
🤣🤣nimecheka hy nailoni🤣daah maisha ni safari ndefu hakika. Mungu hajawahi kumuacha mtu.
@Deborahkimaro
@Deborahkimaro 7 дней назад
Dr . ipiyana ubarikiwe kwa huduma ya utumishi unayo Fanya for sure tuna barikiwa
@MusaNosigwe
@MusaNosigwe 9 дней назад
Mungu akutie nguvu
@barakastephano8889
@barakastephano8889 16 дней назад
2024 Mtumishi mmoja aliwahi kwamba yale yote unayotamani watu wasisikie kuhusu wewe, ndio ambayo Mungu anahitaji uyaseme ili wengine wapone kupitia wewe. Ushuhuda mkubwa sana. Ni ushuhuda unaoonesha upendo wa Mungu kwa watu wake. Mungu ashukuriwe kwa wingi wa rehema zake kwetu.
@AnordKinyanda
@AnordKinyanda 17 дней назад
Armani itawale maisha yako yakiroho
@uswegemwasanjala1465
@uswegemwasanjala1465 24 дня назад
Nakubari
@uswegemwasanjala1465
@uswegemwasanjala1465 24 дня назад
Amina ipyana
@dadahope5414
@dadahope5414 27 дней назад
Nice my sister appreciated
@RehemaSeme-i6q
@RehemaSeme-i6q Месяц назад
Amen
@NEEMASULLE-o3j
@NEEMASULLE-o3j Месяц назад
Ahsantee mamangu nahitaji maombi yako niwe na familia nzuri kama wewe
@nicebeautyfragrance6575
@nicebeautyfragrance6575 Месяц назад
dady me nakufuatilia sana na nakupenda na nakuombea Neema kubwa ya Mungu
@mrmartinipaul2464
@mrmartinipaul2464 Месяц назад
Very smart Ambwene yaan kama ningekuwaga naamua mimi IQ aliyonayo Ambwene anafaa kuwa hata Raisi wa hii nchi
@mrmartinipaul2464
@mrmartinipaul2464 Месяц назад
Waaaao imenivutia sana
@saulomathayo
@saulomathayo 2 месяца назад
Mimi nimezifuta nyimbo za Christina kwenye vifaa vyangu. Siwezi sikiliza nyimbo za yule Shetani
@MamaDieudonne-mq2sq
@MamaDieudonne-mq2sq 2 месяца назад
Wapendwa huyu mwanamke Christina ni mama ambaye alikuwa na komesha shetani kila leo sasa huyo shetani yeye kaolewa naye Mungu akurudishe mapema maana utaaibika.
@Allenurioh
@Allenurioh 2 месяца назад
Dahhh 😂😂😅🤣😅🤣
@NaomiMwampondele
@NaomiMwampondele 2 месяца назад
Duu wengi tunapitia
@NaomiMwampondele
@NaomiMwampondele 2 месяца назад
Haya hakua mdogo wengi tumezaa umri huo
@mamapraise9382
@mamapraise9382 2 месяца назад
Thanks for this informative interview. God bless you so much 🙏
@marjoriechebetaganyanya
@marjoriechebetaganyanya 2 месяца назад
I hope Nyashinski was Kenya was given credit..😮😮😮😮😮
@user-jl9ip5fp3c
@user-jl9ip5fp3c 2 месяца назад
Shusho wacha Tamara, Tamara ili uwa fisi mkubwa
@Bellareeh6449
@Bellareeh6449 3 месяца назад
My siz Christina nakuomba umrudie mume wako Kuna wengi hawana waume na wa natamani kuwa na waume so plz rudi Kwa ndoa yako ili uheshimike sana
@AbbyWatson-uk9ut
@AbbyWatson-uk9ut 3 месяца назад
Yamenikuta haya naumia mimi😭😭😭
@SheMndagala
@SheMndagala 3 месяца назад
Sijui umelogwa
@SheMndagala
@SheMndagala 3 месяца назад
Ila kwa Sasa unachafua ukirsto
@juliannjunwa7857
@juliannjunwa7857 3 месяца назад
Ni kupoteza mwelekeo wa kiafrika kiroho.
@zefaniaShoo
@zefaniaShoo 3 месяца назад
Ukweli ukuweka huru mandiko yanasema
@FunnyBeetle-gd3ko
@FunnyBeetle-gd3ko 3 месяца назад
Kaka zuravo nampenda sana kwa huduma yake nzuri
@user-xl9vi5vq8d
@user-xl9vi5vq8d 3 месяца назад
Mungu akubariki sana Mchungaji
@user-xl9vi5vq8d
@user-xl9vi5vq8d 3 месяца назад
Nice pastor
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 3 месяца назад
My brother shusho is living in self denial, ati mke wake anamtumikia Mungu,laiti angelijua upande wa pili ulivyo kwamba Kawa kunguru badala ya njiwa wa Mungu,angemuombea arudi kundini kwake haraka sana maana tamaa ya dhambi hakika ni mauti. Christina kwa maoni yangu hamtafuti Wala kumtumikia Mungu that is secondary to her primary anatafuta utajiri sana by any means available on the table. Ni mwanamke hatari na naona anapotea. Pole pastor shusho,usimwamshe aliyelala, Zetu duua lakini
@user-pu6tf6ft6i
@user-pu6tf6ft6i 3 месяца назад
Christian tamaa inamsumbua nahakijiangalia alivo mlembo anaona kama mwanaume huyo ana faida hila mbeleni atajuta anajifanya mtumishi hila hipo siku atamkumbuka mmewe maana ukiwa na yesu moyoni auwezi kuachika kwakupenda mwenyewe bila kuwa na mtu pembenj kuna kitu hila dunia hii mmmh
@yetromtambulo3452
@yetromtambulo3452 3 месяца назад
Be blessed bro poul. Najua ipo siku moja tu tutakutana
@yetromtambulo3452
@yetromtambulo3452 3 месяца назад
Well done bro Joel lwaga. Be blessed much. One day tutakutana tuu katika huduma
@FurahaTarimo-jt5in
@FurahaTarimo-jt5in 3 месяца назад
Hongera
@Miss_ada
@Miss_ada 3 месяца назад
Too bad you can’t save shorts on RU-vid 🥹
@mariamandambike5013
@mariamandambike5013 3 месяца назад
Huyu baba ana hekima za hali ya juu.... Barikiwa baba🙏🙏
@IrenMushi-vg7bu
@IrenMushi-vg7bu 3 месяца назад
Kaka mungu akubariki sana huwa na barikiwa sana nyimbo zako
@innocentcv6112
@innocentcv6112 3 месяца назад
nice
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 3 месяца назад
Sasa analiwa na Diamond.Amekua Malaya.
@josephkostans9128
@josephkostans9128 3 месяца назад
Hata shetani alianza na hawa christina shusho shetani hajakuacha salama rudi kwa mumeo ngombe wa maziwa wewe jinga jinga jinga kabisa
@thomaschagula3508
@thomaschagula3508 2 месяца назад
Hivi wewe unavyotukana. Huyo unayemtukana ni mzazi wa mtu ati. unahukumu ilhali haujui ukweli umenikwaza sana Mungu akusamehe sio makosa yako. Huu ni upuuzi unaandika jamani.
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 3 месяца назад
Karuka steg sasa ndio ameona utamu wa mb.. uzeeni hovyoooo🙄🙄🙄😏😏😏😏
@rachelraphael1355
@rachelraphael1355 3 месяца назад
Mungu akubariki lakini wewe Christina nakuombea urudi kwa mume wako
@KafilaBulimwengu
@KafilaBulimwengu 3 месяца назад
Baraka za Mwenyezi Mungu zitaambatana nawe na nakutakiya mafanikio maradufu.
@apostelgodwin
@apostelgodwin 3 месяца назад
Shusho amepotea kwa diamond na nyimbo za duniani .mzee msamehe arudi kwa Yesu ..ataangukia pabaya ujue mpaka sasa anapotea kabisa❤
@rosekwasi3824
@rosekwasi3824 3 месяца назад
Hongera kwa shusho kutimiza ahadi ya ndoa jinsi alivyoimba
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 3 месяца назад
Wow baba