Тёмный
D'aawah Salafiyyah
D'aawah Salafiyyah
D'aawah Salafiyyah
Подписаться

Lengo la channel hii (D͟'a͟a͟w͟a͟h͟S͟a͟l͟a͟f͟i͟y͟y͟a͟h͟) ni kwa ajili ya kueneza Mawaidha ya walinganizi wa Da'awa ya kisalafy wa Afrika Mashariki kwa lengo la watu kufaidika na khutbah, Mihadhara, Nasaha, na Darsa mbalimbali na Short clips Na Tarjama Za Fatwa Za Maulamaa' Sunnah.

Tunamuomba Allaah atujaalie tufanye jambo hili la kuieneza da'awa hii yenye baraka kwa kutarajia radhi zake.

Nikitamatisha;
Kama kutakuwa na Maoni Ushauri na Nasaha kuhusu channeli hii usisite kuwasiliana nasi kwa ujumbe mfupi Whatsapp au Inbox kupitia nambari +254745231926

ALLAH AKUBARIKI
Комментарии
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Hawwa wanaowatetea shia ni wanafiki nao waandae majibu ya kumjibu allah, wwnawtetea watu walomdharirisha mtume wao,na kuwqtukana wake zake mtume,arafu wakija kwenye maulidi utawqkuta villemba vikubwa mabegani,wakidai wanampenda mtume,arafu wapo na wale maadui walomdharirisha mtume na wakezake wwnacheka nao na kula nao sahani moja wakijidai et masharifu wanampenda mtume, unampenda mtume humuami na wanaomtukana wamemtukana mama aysha sasa kama mtume katukaniwa mkewe kaitwa kafiri kaitwa mzinifu rassuluh llah aliechaguliwa na allah ndoa zake ni mipango kutoka kwa allah leo aambiwa aliishi na mwanamke mzinifu😢 😢 kweli leo wanakaa nao watu hawa kuwatetea subuhana llah arafu ndo wakwanza kusema sisi wapenzi wa mtume au kunamfikia mtume swahaba walimuhami mtume vitani asizulike leo hii watu wanashindwa mnusuru kwa matusi ya watu waovu shia wanakaa nao katika maulid zao wanafiki hawoo
@shabikiwasalimally1637
@shabikiwasalimally1637 Месяц назад
Sio kweli. Masufi hawaabudu nasheed bali wanamuabudu Allah SW.
@UsmanKhatibu
@UsmanKhatibu 4 месяца назад
Hafidhahullah
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Hamna Salafi kwa ummah. Nyinyi lengo lenu ni kupinga sunnah wakitumia neno bidaah. Tupe hadith kuzuru makqburi siku ya Eid imekatazwa. Yoyote ananejiita salafi ni mzushi na mvivu wa dini.
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Tabiina wamekataa kuitwa salafi ... Leo nyinyi mwajiita salafi. salafi ni walioishi na kufanya alivo Fanya Rasul. Ndio watoto wa maswahaba wakakataa kujiita salafi sabaabu hawakuishi na kufanya alivo tenda Mtume. Nijibu kama msomi
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Wazushi ni ma ustadhi waliozaliwa mwaka wa 2000 kuendelea. Hawana elimu ya wao kuitwa ma daai.
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Usidhalilishe uislamu kwa mawazo yako. Hatuja ona wala hatutaona wanaokula makaburini. Lqbda wachawi.
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Acha kuzusha mawazo yako mtandaoni. Hamna Anaekwenda kuka na jamvi wakala chakula makaburini.
@jamsakksajamsh4560
@jamsakksajamsh4560 4 месяца назад
Tupe hadith kuwa Rasul amekataza kuzuru makaburi siku ya Eid. Tupe hadith Rasul ameamrisha siku maalum.
@ibrahimmusa9518
@ibrahimmusa9518 5 месяцев назад
MashaAllah sheikh Abdallah humeid jazakaAllah kheri ni ukweli kabisa❤❤❤ mwalimu wetu Allah akuifadhi na kupea afya na kheri katika Elimu ya na Allah akusidisia sihindi Elimu MashaAllah upenda sadaqa njaria wewe na pamoja na masheikh wa Alhul Sunnah Allah abuifadhi nyinyi yote Amiin Amiin Amiin
@AliySalumAlawi-fn5rb
@AliySalumAlawi-fn5rb 6 месяцев назад
حفظك الله
@salahhddindasuvic6447
@salahhddindasuvic6447 8 месяцев назад
Mtihani
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 9 месяцев назад
MshaALLAH
@user-lo3sx4de5d
@user-lo3sx4de5d 9 месяцев назад
Naomba kuelekezwa namna ya kuosha maiti
@twalibsaid2614
@twalibsaid2614 10 месяцев назад
Yani wewe mpumbavu umekosa ya kusema machafu tele wewe unasema ushia madhehebu huwezi ya ondosha hata malik, hambal ,shafii wote wanatafauti lakini wakihishimiana mtu aliepiga shada ni muislam usimuingize people yako lakini Allah ndie anajua up wa pepo upi wa moto wewe pepo yako tia umtakae , ujinga mtupu ulama suui ndio nyinyi laana
@user-bp6fb6wo5u
@user-bp6fb6wo5u 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 your very stupid! Bora kaa kimya tusijue ujinga wako 😅😅😅😅😅😅😅 very very stupid.
@saydsultan9499
@saydsultan9499 11 месяцев назад
Allaah amuhifadhi sheikh wetu
@fikafikan8484
@fikafikan8484 Год назад
Yani bidaah zinazo fannywa makaburi mara kuosha maiti hamueleweki mutafedhrheka tu
@AbdulHalim-gc1ut
@AbdulHalim-gc1ut Год назад
jazaaka allahu kheyr
@hasanulbaswari6804
@hasanulbaswari6804 Год назад
Nakupenda pia.sheikh wang kwa maneno mazur❤️
@abdulrashidmugiira303
@abdulrashidmugiira303 Год назад
BarakaAllah fik
@zuhulahaluna110
@zuhulahaluna110 Год назад
Subhana llah nakupenda kwa ajir ya allah shekhe
@seifbolanissan1653
@seifbolanissan1653 Год назад
WaLLAH MUSTA'AN
@rayhannahilyas5203
@rayhannahilyas5203 Год назад
ما شاء الله
@abdallahhamis9583
@abdallahhamis9583 Год назад
mashaallah
@p1ngh
@p1ngh Год назад
I wanna know in which mosque he is reciting those beautiful verses of Quran
@issaally7928
@issaally7928 Год назад
Jazakarahu khayra
@issaally7928
@issaally7928 Год назад
Safi hiyo ndio fundisho na bidaa zao
@eshamohammed304
@eshamohammed304 Год назад
ممتاز ممتاز ممتاز.
@eshamohammed304
@eshamohammed304 Год назад
Allah akupe umri sheikh uendellee kutoa daawa.
@sunnimmongo3702
@sunnimmongo3702 Год назад
Maashaallah allaahumma amiiin
@mussafadhilmussa1673
@mussafadhilmussa1673 Год назад
Sawa ustadh tumrsikia
@ashaomary3397
@ashaomary3397 Год назад
Jazakallah khayran... Allah akupe umri mrefu na afya njema tuendelee kufaidika na mawaidha yenu
@abdallahamir9234
@abdallahamir9234 Год назад
Ni washirikina wa wazi wazi kabisa
@eshamohammed304
@eshamohammed304 Год назад
Mashaallah baarakaallah fikum
@qassimsothe7808
@qassimsothe7808 2 года назад
Riddisha Allah peke yake
@mayavicenti4123
@mayavicenti4123 2 года назад
ukweli jihad ipo acheni kuvunja dini nyie majajidah kwan mwaogopa kwenda peponi
@ybyb8657
@ybyb8657 Год назад
Nenda kapambane hiyo jihaad batwil basi kama unakubali alafu ufe tuone utaenda mwambia nn Allah azza wa jalla
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s День назад
Wewe ni KAAFIR.
@mayavicenti4123
@mayavicenti4123 2 года назад
mi nakukubali lakin apo nakupinga zipinge bidah ila ucpinge jihaad
@radiclezilch1529
@radiclezilch1529 2 года назад
Allah atusamehe kwa kukosa ilmu na Sasa tumejifunza shukran kwakutangazieni
@umuuhafswa9414
@umuuhafswa9414 2 года назад
Naam swdqt sheikh wangu hafidhu Allah
@abeidkhalid8405
@abeidkhalid8405 2 года назад
Allah atupe hakika ya maneno hayo
@mohamedanam9643
@mohamedanam9643 2 года назад
hahahaha Bado tarehe😂😂
@muhammadabdallah5304
@muhammadabdallah5304 2 года назад
Jazakallah kheyr
@hassankhamis6535
@hassankhamis6535 2 года назад
احبك لله يا اخي Nakupenda kwa ajili ya Allah akhi abdallah humeid
@AbuuYusfati
@AbuuYusfati 6 месяцев назад
@muhambal9185
@muhambal9185 2 года назад
Inshaallah ustadh mungu akuzidishie kutoa daawa
@akhyalkariim8877
@akhyalkariim8877 2 года назад
Hao mujahedeeni hayo Mnawathumu ni uongo tuu
@akhyalkariim8877
@akhyalkariim8877 2 года назад
Allan awaongezi nyie salafiya jadidah
@thesalafifoundationTz
@thesalafifoundationTz 2 года назад
Hamna haja ya kuweka picha ya mwanamke
@princejunior6950
@princejunior6950 2 года назад
inapoondoka au ondolewa sura basi hakuna picha
@khadijanurudini7973
@khadijanurudini7973 2 года назад
Subhannallah
@sarahahmad5180
@sarahahmad5180 Год назад
ALLAH akulipe kheri akh
@azizaj776
@azizaj776 2 года назад
Salafiya , Fittatul Islamiya , chimbuko NAJDI
@mwaduwamgeni6087
@mwaduwamgeni6087 2 года назад
Shukuran