Тёмный
Manyanya Zakaria
Manyanya Zakaria
Manyanya Zakaria
Подписаться
Cont:+255752684041
Program Manager at Adonai Fm Radio 101.7 Mbeya Green City.
Channel hii inahusika na kusambaza matukio,simulizi na makala mbalimbali.Kama una simulizi au mikasa iliyokutokea katika maisha yako ya kusisimua tafadhali nipigie.
Комментарии
@LameckGreyGospel
@LameckGreyGospel 16 дней назад
Barikiwa sana goodluck kaka yangu
@ZakariaWachira-g9z
@ZakariaWachira-g9z 24 дня назад
Mteure wa Mungu anaposifu mbinguni roho ya Mungu unatembea kwa wateure wengine hapa duniani
@markemekwi9297
@markemekwi9297 Месяц назад
I like your wonderful gospel songs,iam one of your fans from Kenya
@DobroHenry3442
@DobroHenry3442 Месяц назад
Hongera manyanya kwa interview yenye ushahid mzr🎉🎉🎉
@ruthmwamburi756
@ruthmwamburi756 Месяц назад
May your soul continue resting in peace,you are such a blessing,I really love your songs to date.
@rachelgeorge-y1t
@rachelgeorge-y1t 2 месяца назад
😢😢 poleni mliompoteza ndugu zenu
@jessiejessilynmandebvu
@jessiejessilynmandebvu 2 месяца назад
English please please
@martinerichard5827
@martinerichard5827 2 месяца назад
Aiseee,sisi sote ni wa mwenyezi na kwake tutarejea,pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu
@kandiejemutai8610
@kandiejemutai8610 3 месяца назад
So sad,I didn’t know he is no more 😭😭😭😭.He must be in God’s chest.
@TingaMedia
@TingaMedia 3 месяца назад
Aiseee 😢
@michaelkagoro9785
@michaelkagoro9785 3 месяца назад
Daaaah Mwenyezi MUNGU amsamehe Kwa makosa roho yake ailaze mahala pema pepon Amina
@evasavai956
@evasavai956 3 месяца назад
Ananitia moyo sana na nyimbo zake mungu amubatiki sana
@Geoffrey-x7m
@Geoffrey-x7m 3 месяца назад
NAsikia mkewe wa sedekia aliolewa na mtu fulani wadini msilamu nikuli ni geoffrey kutoka mombasani kenya 🇰🇪
@BarakaKidava
@BarakaKidava 3 месяца назад
Atakumbukwa sana Kwa huduma za nyimbo
@MuragiziAlex
@MuragiziAlex 3 месяца назад
Unatujenga Sana lafikiyangu mungu akubaliki sana
@lucypaulo-t9r
@lucypaulo-t9r 3 месяца назад
Nitumie no za goodluck
@tabithamawia8830
@tabithamawia8830 3 месяца назад
Mungu aendelee kukubariki
@Usizoeedhambi
@Usizoeedhambi 4 месяца назад
Nyamaza kabisa hujui lolote kichwa chako kimejaa NYANYA tena zilizooza.Huna hata uhakika ya unachosimulia. ETI kazaliwa kati ya mwaka 1977 na 1978. Huna uhakika.WAKATI Alizaliwa 1974WEWE FUTA HARAKA UONGO WAKO. ETI WAMEANZISHA KANISA LA TAG. MWANDISHI UCHWARA.MLEVI WEWE . USIDANGANYE UMA .WATU WENGINE MNAISHI KATIKA LAANA KWA SABABU YA KUSEMA SEMA UWONGO JUU YA MAISHA YA WATU MISHI WA MUNGU. ETI NILIOJIANA NAYE ASILIMIA 100. FUTA HARAKA MWONGO MKUBWA UNADANGANYA UMA.
@Usizoeedhambi
@Usizoeedhambi 4 месяца назад
Mwongo mkubwa wewe . Eti anatuzo zaidi ya 50 wakati mwak huu ndio ametimiza umri wa miaka 50. Ina maana alipozaliwa tu akaanza kupata tuzo. ???? Umelaaniwa wewe zezeta. Nenda ukauze Nyanya soko la Tandika
@EstherOmosa-bx1kt
@EstherOmosa-bx1kt 4 месяца назад
Mungu akutie nguvu
@AWARDMWASHILINDI-bp2ze
@AWARDMWASHILINDI-bp2ze 5 месяцев назад
Mungu akuinue zaidi mtumishi
@AnisaMwende
@AnisaMwende 5 месяцев назад
Israel mungu aedelee kukubariki Nyimbo zako zanibariki sana,
@margaretwangwe937
@margaretwangwe937 5 месяцев назад
Asanti sana Mungu kwa Mtoto wako Mboyi. He singing from his heart very powerful songs .
@MarydorothyMukhwana
@MarydorothyMukhwana 5 месяцев назад
Oh no! Your music was so inspiring! May your soul rest in peace.
@margaretkarambu936
@margaretkarambu936 5 месяцев назад
Nampenda tu sana❤
@AtilioSanga
@AtilioSanga 6 месяцев назад
Safiiii
@Estella122-m1v
@Estella122-m1v 6 месяцев назад
Nipo omani ila akija tanzania nitafulahi sana maana napenda sana nyimbo zake haswa za kinyarwanda
@EuniceBukokhe
@EuniceBukokhe 6 месяцев назад
Nilikuw na kupenda kw nyimbo zako dada kumbe wewe ni wa kua budu mashetani? Dada umelaaniwa wewe rudi ulikotoka wewe uta gongwa na gari wewe
@lawrencengwada1139
@lawrencengwada1139 6 месяцев назад
Mungu amuinue zaidi huyu mana nyimbo zake zinabariki sana
@samsonsimeon9944
@samsonsimeon9944 6 месяцев назад
RIP RAFIKI YANGU SEDEKIA
@Teaching356
@Teaching356 6 месяцев назад
Kwa nini waimbaji wengi hutokea kigoma Y!,pumzika kwa Amani bado tunakukumbuka❤
@OpenessIsrael
@OpenessIsrael 6 месяцев назад
❤❤❤
@JaneMdahe
@JaneMdahe 6 месяцев назад
Namkubali sana sana
@JofreyDamson-nm6ec
@JofreyDamson-nm6ec 6 месяцев назад
Nilimpenda sana anje! alikuwa ananibariki sana kwanyimbo zake Haina jinsi mungu alimpenda zaidi
@paskalnakiru
@paskalnakiru 6 месяцев назад
Natamani sana kukutana na yeye
@ZawadiMwashambwa
@ZawadiMwashambwa 6 месяцев назад
Barikiwa sana
@helenamakala4108
@helenamakala4108 7 месяцев назад
Amen sana mtumishi wa mungu umenikumbusha mbalii sana
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 7 месяцев назад
Queen from 🇨🇩 east
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 7 месяцев назад
Rest in power mama wonder
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 7 месяцев назад
Naamin sasa anaimba mbingun na malaika🙏🙏
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 7 месяцев назад
Naamin sasa anaimba mbingun na malaika🙏🙏
@RocheroSifa
@RocheroSifa 7 месяцев назад
Mungu aiweke roho yake Mahala Pema peponi alikuwa mtumishi wamungu.❤❤ Sitaaca kupenda nyimbo yake
@joskyshams4758
@joskyshams4758 7 месяцев назад
Mungu alinde familia iliyobaki.
@HamisEmmanuel-cn1kq
@HamisEmmanuel-cn1kq 7 месяцев назад
Nyimbo zake hadi sasa zinaishi Huwa zina nipa nguvu ya kusonga mbele kumpenda Yesu maana kwangu ni ngao yangu
@patiekivai2166
@patiekivai2166 7 месяцев назад
Halleluya
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 7 месяцев назад
Kweri mungu ukimjilia hukuinua kwelikweli
@VicentMwabenga
@VicentMwabenga 7 месяцев назад
Nimependa sauti ya kusimulia manyanya ubarikiwe Sana nakuombea ufike mbali zaidi nashangaa kwanini watu hawajasabribe na kutazama Kwa wingi I'm from Rwanda Manyanya karibu rwanda
@Maryhawi9592
@Maryhawi9592 8 месяцев назад
Manyanya nataka muendelezo wa simulizi hii
@exavelymwashilindy5916
@exavelymwashilindy5916 8 месяцев назад
Mungu amuinue zaidi
@AffectionateJukebox-tj9iz
@AffectionateJukebox-tj9iz 8 месяцев назад
Amen hua nabarikiwa sana na nyimbo zake kwa kweli ubarikiwe mnoo
@FloraMnyua
@FloraMnyua 8 месяцев назад
Alf huwa anafanana na anastacia mkabwa jamani wa 🇰🇪 Kama ndugu vilee.