Тёмный
THE CAREN SHOW
THE CAREN SHOW
THE CAREN SHOW
Подписаться
Hello, Karibu kakita kipindi cha THE CAREN SHOW, ambacho kinagusa maisha ya watu na historia zao zilizojaa majonzi na huzuni, karibu tujifunze namna yakukumbatia utu wetu na kuyagusa maisha ya wengine kwa namna ya pekee, na tujenge jamii zinazotambua Utu na thamani za watu wake, kuheshimiana, kujaliana na kubebeana matatizo yetu kama nyakati zile ambapo pesa ilikuwa ni uchaguzi baada ya utu, kwa wewe ambae unaitaji kushare story yako karibu sana, na kwa mawazo, ushauri na msaada usisite kutufikia kupitia kurass zetu na mawasiliano yetu, 0717969661. instagram.com/carenmihayo?igsh=ZGV0aTdnMXRzdWJt
Комментарии
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 9 дней назад
ok good
@upendosamwel2705
@upendosamwel2705 9 дней назад
Huyu mama anataka vitu vya bei ghali
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 11 дней назад
Dada malipo ni kwamungu a chana nae usipoteze muda hapo
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 11 дней назад
Nimeipenda sana kipindi chako mungu akuwezeshe
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 11 дней назад
Asante sana Oman,
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 12 дней назад
Mtangazaji unakili kamayangu yani dalili aliziona lakini akajipa upofu
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 12 дней назад
Wakenya wanasema simu ipo mteja ndio hapatikani akijtena mpe
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 12 дней назад
Unamaanisha nini?
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 11 дней назад
@@carenmihayo7991 ndugu nisha yapitia hayo mimtanga yani asitowe pesa kuwapa wanaume ajifunze kwa hayo anayo pitia
@husseinkanyama73
@husseinkanyama73 17 дней назад
Biashara hawez yoyote ? Maan anacho kiomba ni vtu viwili tofaut
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 17 дней назад
Anachoka ni pesa ya mtaji na hata kama kuna mtu atakuwa anahitaji mfanya kazi yupo tayari
@user-sn2bg9mq7d
@user-sn2bg9mq7d 18 дней назад
Jamani nyie wanaume muwe na huruma acheni dhulma angalieni hata watoto mliozaa, yani hamuoni vibaya 😮na wanawake wenzangu kueni makini kwa kuzaa watoto wengi km mwanaume mkorofi, naamini kipigo cha mungu kitampiga tu huyo baba, mungu akupe nguvu na uwezo upambane na watoto wako
@omanoman2044
@omanoman2044 22 дня назад
Wamam punguzen roho mbaya achen wajukuu wakae duuh mwanza watuy wamekaa kam mashetan
@user-ty1tp8ly8q
@user-ty1tp8ly8q 23 дня назад
Pole Sana BDO mdg Sana usikate tamaa .ila uzazi Tena basi Lea watoto ❤
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 24 дня назад
😢
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 24 дня назад
😢
@BohkeVictor-qs9hn
@BohkeVictor-qs9hn 24 дня назад
Yaani upangiwe nyumba ya 250000😂
@user-sn5zb2zb1z
@user-sn5zb2zb1z 27 дней назад
😢😢😢😢ah
@omansalalah4247
@omansalalah4247 27 дней назад
Mungu atakulipa nae yatamkuta maliopo ni hapa dunian
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 21 день назад
kwa kweli sote tunasubiri hadithi ya maisha yako na tafadhali weka moyo wako ndani yake
@mpefu_4936
@mpefu_4936 28 дней назад
Wewe mm naona umelogwa unaama kwenda wapi banana nao mpka watoto wako wajitegemee ndio uondoke acha uoga wewe
@mpefu_4936
@mpefu_4936 28 дней назад
Akae hapo ili km wanamtoa waende serikali za mtaa baada ya hapo ataludi kuteseka nyumba za kupanga azifai
@christaoman8890
@christaoman8890 Месяц назад
Sasa dada unaomba usaidiwe halafu unataka kufungua biashara ya duka la bei kubwa kiasi hicho duka la vifaa vya ujenzi bora uanze na biashara ya sokoni kuuza vitunguu,nyanya na mboga mboga utafanikiwa kusaidiwa na nyumba ya kupanga tafuta ya bei ndogo pia ili kwa baadae uweze kulipa kodi wew mwenyew
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Ushauri mzuri asante sana
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Месяц назад
Mama mpambanaji hongera sana, Mungu akufanyie wepesi Mume ni dhalimu huzuni kubwa! Kosa la Mama huyu ni kujisahau afya yake na kusahau kuwahi kuiona nyota ya kijani! Yani uzazi wa mpango
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Kweli kabisa, mungu ni mwema,
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 Месяц назад
​Mungu ni mwema kwa wale wanaostahili kweli na tunajua kwamba ni wachache hapa
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u Месяц назад
Cha msingi hapo usihame kamwe mpk wanao wajenge nyumba yao usihame hapo awezi toa wajukuu wake
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Kweli kabisa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Месяц назад
Mnyoshee Mungu mikono,na choxi la nguvu Mungu atamkalisha kiuno chini,atatambaa km nyoka.
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Kweli kabisa😊
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 Месяц назад
​@@carenmihayo7991Mnamzungumzia mungu wakati ninyi nyote ni wasaliti na watu mliofanya mambo ya kutisha...na mnajua kabisa ninachokizungumza.
@user-sn5zb2zb1z
@user-sn5zb2zb1z Месяц назад
🤦
@BontownMzigu
@BontownMzigu Месяц назад
kwel mama umepitia magum Sana Ila ndo Dunia ilivo
@didamanyanya595
@didamanyanya595 Месяц назад
Watoto wadogo mmepitia magumu sana Pole mdogo wangu
@didamanyanya595
@didamanyanya595 Месяц назад
Ila shoga angu unamoyo wa chuma mimi siwwzi walahi sikuiyo aliokukaba ilibidi uwachane nae kabisa kwanza hana adabu anamtukana adi shangazi ako loo misiwezi kwakweli
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Inaitaji moyo sana
@user-sn5zb2zb1z
@user-sn5zb2zb1z Месяц назад
😢
@sebastianjoseph2682
@sebastianjoseph2682 Месяц назад
Conglaturation Caren for providing us with a very good show...keep it up please
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 Месяц назад
Thank you so much, for your comment, I will🙏
@TeddyjosephTeddy-jp7ls
@TeddyjosephTeddy-jp7ls 3 месяца назад
pole sana
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
❤❤
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 2 месяца назад
Caren why don't you tell us more about yourself ....
@rashenry3436
@rashenry3436 3 месяца назад
Beautiful dear
@brotherf
@brotherf 3 месяца назад
Congratulations
@ruphinblack9878
@ruphinblack9878 3 месяца назад
Duuuh shida kweli 😢
@ruphinblack9878
@ruphinblack9878 3 месяца назад
Pole sana
@ruphinblack9878
@ruphinblack9878 3 месяца назад
Duuuh
@DonChild-eo9xt
@DonChild-eo9xt 3 месяца назад
Good work
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
Thank you
@TeddyjosephTeddy-jp7ls
@TeddyjosephTeddy-jp7ls 3 месяца назад
❤❤❤
@TeddyjosephTeddy-jp7ls
@TeddyjosephTeddy-jp7ls 3 месяца назад
pole sana mdada
@josephsejoh6156
@josephsejoh6156 3 месяца назад
Wah
@Kifumbenews255
@Kifumbenews255 3 месяца назад
Hongeleni sana mnaweza mungu awazidishishie malifa❤❤❤❤
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
Asante sana
@Kifumbenews255
@Kifumbenews255 3 месяца назад
Nomaaaaaa❤❤❤
@user-sn5zb2zb1z
@user-sn5zb2zb1z 3 месяца назад
God bless you
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
Thank you so much
@oliverbrunoakonaay6748
@oliverbrunoakonaay6748 3 месяца назад
Hongera Sana Caren kwa kazi nzuri kuwasaidia watanzania wenzio Mungu akubariki. Huyo Aisha namfahamu jamani kama sijakosea
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
Asante sana dear tunaendelea kupambana, kumbe unamfahamu basi ni jambo jema ❤
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 3 месяца назад
Why don't you tell us your story and your work in Macedonia .....
@oliverbrunoakonaay6748
@oliverbrunoakonaay6748 3 месяца назад
Oh pole sana mdogo wangu aisha. Mungu akufanyie wepesi.
@samybirongo1
@samybirongo1 3 месяца назад
Iyi kali
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 3 месяца назад
Dunia Ina mambo
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 3 месяца назад
Sanaa tuombe mungu tu,
@AnifaJuma-uu7ir
@AnifaJuma-uu7ir 4 месяца назад
Daaah ni hatari