Munapumuzisha ,ziwa wanainchi wa kigoma tunategetea na njaa Kwa sababu kigoma hatuna kiwanda chochote munatuletea vizimba na wakati mumeshafunga ziwa kwann hamukuletea mapema nashangaa viongozi wa kigoma wanakazi gani serekarin maana wanajuwa kuwa kigoma tunategemea ziwa
Sumbawanga is so beautiful sema miundombinu ya hizi master plan za serikali ya ccm sio mzuri na wanaharibu mazingira mazuri ya sehemu husika kwamfano barabara za town ship unakuta misingi yakupitisha maji machafu ipo wazi bado barabara ndogo office za uma hazina finishing nzuri yani hazina visiter paking utakuta office au clinic au hospital nje vumbi tupu sasa ndani lazima kuwe kuchafu pia