Тёмный
Nyumba ya Tiba na Dua
Nyumba ya Tiba na Dua
Nyumba ya Tiba na Dua
Подписаться
Mawaidha Na Tiba
Комментарии
@elvisokondo3574
@elvisokondo3574 День назад
Nimeota nashuka kutoka Kwa basi lenye abiria nikaelekea Kwa mazishi ya msichana tulisoma naye,,,,je hii njozi tafsiri yake ni ipi??
@Anneekisa-jk7yg
@Anneekisa-jk7yg 3 дня назад
Inshalla mwenyezi Mungu anijalie
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 3 дня назад
Back ground music ina bore
@tanzaniayetuchannel2196
@tanzaniayetuchannel2196 3 дня назад
Shehe kama wachawi wanakuona na kukusikia hata ukiwa mbali tiba yake nin??
@MariaAgustinou
@MariaAgustinou 6 дней назад
Kuumbee
@MariaAgustinou
@MariaAgustinou 6 дней назад
Shee vazi jeusi mbona aujasema maana yake
@MalimiKwabi
@MalimiKwabi 7 дней назад
Je shambani inafaa 11:10
@XiwemaJuma
@XiwemaJuma 7 дней назад
Kuota nipo sehem nisiyoijua watu wanacheza ngoma na nipo na watu ninaowafaham vizur yan wakijijin kwetu
@fabiandanford3572
@fabiandanford3572 7 дней назад
Mm nimeota kundi la nyuki limemvamia mtu adi wamemuua baada ya hapo wakaamia kwangu inamaana gan ii
@fhet6618
@fhet6618 7 дней назад
Mtu akiota ame potea nina manisha nini
@HamisMdee-lg4tx
@HamisMdee-lg4tx 9 дней назад
Nimeota nyuki hawananifata Kwa kuningata nikawa nawafukuza maana Yake nn
@meshackmkandala6492
@meshackmkandala6492 11 дней назад
Shekhe Asalam aleykum naomba namba Yako ninashida
@AmCool_
@AmCool_ 11 дней назад
KIANZIO NI KIREFU SANA.
@ommykiss97
@ommykiss97 13 дней назад
🤲🤲Allahumma amiin 🥰 ikawe kheri kwangu insha Allah 🤲🤲🤲
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 15 дней назад
Na kama mwanamke ndo ameota hizi ndoto?
@MuasitiAboBakri-ew5mu
@MuasitiAboBakri-ew5mu 17 дней назад
Mimi nipo kikazi nje napitia manyanyasiko mala vitu vya ajabu ndani kwangu live ila allahu sw ananilinda na 🤲🤲nazidisha ibada kumuomba , Nimelala nikaota meli kubwa ila ile meli imetoka kwenye paki yake inaanza kutembea baharini kwa mwendo mzuriii je inamaana gani shekhe
@Mussajacobo
@Mussajacobo 19 дней назад
Shida yako unaongeaga sana hunyoki kwenye points
@BOBASMOOTHICH
@BOBASMOOTHICH 19 дней назад
Ukiota mume kaowe
@Dirawandesiymran
@Dirawandesiymran 20 дней назад
Sheikh nimeota nafungua milango ambao niyadhabu na mingi na nmeota nafunga mlango wa duka langu pia huku nmechukua mkate mtamu sana kutoka mle dukani inamaana Gani?
@JaclineJohn-v2e
@JaclineJohn-v2e 20 дней назад
Shekhe mm nimeota nimechinywa kisu mkononi mala tatu mume wangu akawa analia ina mana gani
@Fatma-g3o
@Fatma-g3o 21 день назад
❤❤❤
@Dirawandesiymran
@Dirawandesiymran 22 дня назад
Sheikh nmeota nmepewa chupi na mwanamke ambaye anataka nmuoe na tayari niko na mke sasa nmeiweka mahali sitaki mke wangu aione hii ndoto inamaana gani mana huyo mwanamke aliyenipea chupi yake nlimbeba na gari huku tunaongea akidai nmuoe
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 22 дня назад
Ahsante
@EliasLukas-xc1bo
@EliasLukas-xc1bo 22 дня назад
Asante sana shekhe wangu MUNGU akubarik
@SunnaJuma-o2j
@SunnaJuma-o2j 23 дня назад
Assalam alaykum maalim apo kama uyo mtu hajui kusoma
@lailatali8699
@lailatali8699 23 дня назад
Ukiota unataka kuanika nguo na kamba zimejaa zimo kwenye beseni
@jalxs6745
@jalxs6745 25 дней назад
Minimeota nasoma madrassa tuna nafanya mtihani
@FaridaKessy
@FaridaKessy 25 дней назад
Jmn mbn m ata sielew
@RamadhaniAmiri-w7g
@RamadhaniAmiri-w7g 26 дней назад
Assalaam alaykum shekh samahan mm nimeota ninaumwa ndani ya sala ya sunna mda wa inshai 3:56
@mwanaidhassan6170
@mwanaidhassan6170 26 дней назад
Shekh tuandalie huo mchanganyiko alafu utuuzie itakuwa awla sana
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 26 дней назад
@@mwanaidhassan6170 Dawa ipo tayari
@rosenajnala
@rosenajnala 26 дней назад
Muoshab fetha unato wapi
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 26 дней назад
@@rosenajnala Dawa zipo tayari
@MwanahamisiJann-t4p
@MwanahamisiJann-t4p 26 дней назад
Assalamualaikum mimi nime ota sindano 3zenye dawa zikiwa angani zina paa huku zikimwaga dawa
@mala8941
@mala8941 27 дней назад
Mimi nimeota na toa kamasi moto kwenye pua
@Bahati-u6p
@Bahati-u6p 28 дней назад
Nitapataje nahitaji
@RashidiMgaza
@RashidiMgaza 28 дней назад
Shekhe nimeota nimeokota nguo nyingi
@JacklinAyubu
@JacklinAyubu 29 дней назад
Shekh nakuota samak zipo kwajiran yangu
@ReylaMalambo-qy6ei
@ReylaMalambo-qy6ei Месяц назад
Na kama umekuja wenyewe bila zile chenga zake
@MebakariSwalehe
@MebakariSwalehe Месяц назад
Waatikana wap
@AliHamad-k7s
@AliHamad-k7s Месяц назад
Hy
@RashidKidungwe
@RashidKidungwe Месяц назад
Nimeota napaka mafuta na mafutayale napewa na mwanamke
@FARAJIFADHILI-v6x
@FARAJIFADHILI-v6x Месяц назад
Mm sheikhe ninaota ninaelekezwa madawa ya kinyeji maana yake nn
@TeddyMustaphaMustapha
@TeddyMustaphaMustapha Месяц назад
Nimeota nawakata kucha wasanii wakubwa
@AsaniMksalumu
@AsaniMksalumu Месяц назад
Chuma ulete inaitajika sana kalemie
@AsaniMksalumu
@AsaniMksalumu Месяц назад
Asante sana kwamaoni mjomba
@AsaniMksalumu
@AsaniMksalumu Месяц назад
Allah akujalie elim mjomba wangu
@RosemaryDaudi-f8z
@RosemaryDaudi-f8z Месяц назад
Nimeota ninununua magar mawili aina ya mabasi je inamaana gani
@Abdallah-v3v
@Abdallah-v3v Месяц назад
Ingekuwa vizuri uje kongo naiyo mikongoto baba,mwipwa wako ndo amenipa adresse email ya kwako,ongera baba.mimi niko kongo kalemie/ kabimba!
@michaeljoshua8052
@michaeljoshua8052 Месяц назад
Asalam aleikhm,, mpenzinwang kaota kaona maji meng akawa nogopa kuvuk ila alipo ona mtu ana vuka anakanyagaa yle maji na yy aka pata nguvu akavuka mbele akaniona mm tukaongozana nikimuongoza njia inamaanagan hii ndoto
@AdelinaNgwiso
@AdelinaNgwiso Месяц назад
😂😂
@mecktridajonathan598
@mecktridajonathan598 Месяц назад
Habari nikihitaji iloandaliwa naipataje