Тёмный
WIDE NEWS TV
WIDE NEWS TV
WIDE NEWS TV
Подписаться
Ni TV ya mtandaoni ambayo inahusika na kutoa habari mbalimbali zikiwemo za siasa, kijamii , kiuchumi, michezo na elimu kutoka ndani na nje ya nchi.
Kwa mawasiliano zaidi ni 0764 600634 kwa Email : wilsonkolina@gmail.com HQ-MWANZA TANZANIA
SAMIA AWAPA MEDANI WANAJESHI
9:58
12 часов назад
KOCHA  PAMBA JIJI  AIPIGA MKWARA DODOMA JIJI
3:15
14 часов назад
POLISI YATANGAZA KIAMA ZIWA VICTORIA
1:49
19 часов назад
KUMEKUCHA TAZAMA VITUKO  VYA  AJABU
1:13
21 час назад
KAULI YA MSEMAJI WA PAMBA JIJI FC
1:10
День назад
SIKIA TAMBO ZA MSEMAJI WA PAMBA JIJI FC
1:59
14 дней назад
GORAN  ATAMBA
2:14
14 дней назад
PAMBA  KUTUMIA UWANJA WA CCM KIRUMBA
2:15
14 дней назад
TAZAMA MAAGIZO YA SHIMISEMITA TAIFA
3:37
14 дней назад
AWESU  KAA LA MOTO SIMBA
2:29
14 дней назад
WABAKAJI NA WALAWITI WATANGAZIWA KIAMA
1:44
14 дней назад
KUMEKUCHA  POLISI MWANZA WAAMUA
2:15
14 дней назад
CHATANDA ATOA MAAGIZO MAZITO MWANZA
4:25
14 дней назад
FISI WALETA BALAA MWANZA
3:10
14 дней назад
PAMBA DAY HAITASAHAULIKA
3:31
14 дней назад
Комментарии
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 5 дней назад
Pamba hamko serious. Mtashuka Tena.
@WideNewsTV
@WideNewsTV 5 дней назад
TUMBEE ISISHUKE KWA MASAHI YA WANAKANDA YA ZIWA
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 6 дней назад
Hiyo ndio kazi mnaijua ila mi ccm hamuioni ikiongea kauli tata navitisho
@michaelkinyaha4299
@michaelkinyaha4299 10 дней назад
Bravo sana kiongoz wangu zamani Kanda ya ziwa sasa taifa kazi unaipiga sana Mungu atakulipa
@WideNewsTV
@WideNewsTV 10 дней назад
Ndiyo hivyo mwenzetu amedhihirisha ule usemi wa wahenga kuwa wa mbili havai moja acha achape kazi inayoleta tija hakika Mungu ataendelea kumsaidia
@BrunoNtogwa
@BrunoNtogwa 13 дней назад
Taarifa mbili tofauti zimechanganywa!!
@floridasanga4607
@floridasanga4607 14 дней назад
Shimisemita oyeeeeee
@WideNewsTV
@WideNewsTV 14 дней назад
Ooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee karibu Mwanza
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l 28 дней назад
Hatari
@masatusalum5291
@masatusalum5291 28 дней назад
Simba Nguvu moja
@WideNewsTV
@WideNewsTV 28 дней назад
Uko sawa ndiyo kauli mbiu ya SIMBA SC
@KarangwaDavid-nr8cm
@KarangwaDavid-nr8cm Месяц назад
Sjawahi kuona musemaj kamahuyu dunian
@user-bg1iq6wt9f
@user-bg1iq6wt9f Месяц назад
Very good initiative. KuniSMART tupo tayari kuwaunga mkono ili miti mtakayopanda isutumiwe kama chanzo cha kuni na mkaa. Jamii wajue kuna nishati mbadala kwa gharama ndogo sana
@WideNewsTV
@WideNewsTV Месяц назад
Uko makini kwa ufuatiliaji wa suala la utunzaji wa mazingira endelea kuwahamasisha na wadau wengine kuiunga mkono serikali
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o Месяц назад
Shida ni vilabu mnavyosajili vina uzamini WA wapinzani
@WideNewsTV
@WideNewsTV Месяц назад
Hilo nalo neno
@mwafulangotv3011
@mwafulangotv3011 Месяц назад
Daaah enzi hizo nikiwa kijana ,,,nmefurah kwa kumbukumbu hii juu yangu
@WideNewsTV
@WideNewsTV Месяц назад
Umeona niko makini kwa kutunza kumbukumbu na bado ziko nyingi utanufaika nazo na kuwakumbusha wale ambao walishasahau kama ulikuwa kiboko ya wasemaji
@mwafulangotv3011
@mwafulangotv3011 Месяц назад
Mpira n mazoezi jmn
@WideNewsTV
@WideNewsTV Месяц назад
Uko sahihi hakuna ubishi katika hilo bila mazoezi hakuna mpira
@mgongokaitira9970
@mgongokaitira9970 Месяц назад
Safi kijana
@WideNewsTV
@WideNewsTV Месяц назад
Asante kijana wangu acha tuone hadi mwisho
@MaikoalifosiMhambi
@MaikoalifosiMhambi Месяц назад
Pole
@medardMazubu
@medardMazubu 2 месяца назад
Hapa tunafunzwa kuwa wavumilivu ili kufika salama tunakoelekea
@WideNewsTV
@WideNewsTV 2 месяца назад
Uk sahihi ndugu
@mwl.nchilukiyumbi45
@mwl.nchilukiyumbi45 3 месяца назад
Tufanyeje kuepuka hili?
@WideNewsTV
@WideNewsTV 2 месяца назад
Asante kwa maoni yako tunachotakiwa kufanya ni kuhama maeneo hatarishi kama hayo
@hamisimdoe8254
@hamisimdoe8254 3 месяца назад
Poleni sana
@WideNewsTV
@WideNewsTV 3 месяца назад
Asante tuungane kwa maombi
@shabanlupimo5585
@shabanlupimo5585 3 месяца назад
Safii
@WideNewsTV
@WideNewsTV 3 месяца назад
Ndiyo hivyo mdau elimu kuhusu afya ya kinywa na meno niya muhimu
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 3 месяца назад
Umenikumbusha Wana Kishamapanda (Toto Africa)! Mko wapi watoto wetu, mbona mmepotea kwenye ramani? Fufukeni bwana!
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 месяца назад
Huyo mtu msikae nae hapo tena atabaka watoto
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l 3 месяца назад
Kafiri utamjua tu
@annarutareka3212
@annarutareka3212 4 месяца назад
😂😂😂😂
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 5 месяцев назад
Huo uwanja ni Wa CCM haupaswi kufanyiwa marekebisho na serikali, wanaopaswa kufanyia marekebisho ni ccm wenyewe, kutumia Kodi za wananchi kutengeneza uwanja wa chama sio sawa.
@AdmiringBackgammon-em1eo
@AdmiringBackgammon-em1eo 7 месяцев назад
Hao ndo wakerewe
@dicksonkalaba4245
@dicksonkalaba4245 7 месяцев назад
nisidaaa
@BITUROKAZERI
@BITUROKAZERI 8 месяцев назад
egoma ekutelwa nelila kuti omwana akwonka
@godmbise-gj9ug
@godmbise-gj9ug 8 месяцев назад
Good idea
@reubenrichard5961
@reubenrichard5961 8 месяцев назад
Well done!
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 10 месяцев назад
Mulikintu
@emmnuelpatrick1727
@emmnuelpatrick1727 11 месяцев назад
Sapoti sana
@henrywambua7770
@henrywambua7770 Год назад
Nawapataje
@WideNewsTV
@WideNewsTV 10 месяцев назад
Wewe uko mkoa gani hii kampuni iko hapa Mwanza na mkurugenzi wake anapatikana weka namba yako ya simu ili aweze kuwasiliana na wewe
@neemamgobella4388
@neemamgobella4388 Год назад
Barikiwa sana kaka yangu Elisha KAZI Yako inaonekana
@WideNewsTV
@WideNewsTV Год назад
Asante tunaendelea kuuhabarisha umma wa Watanzania kwa kile kinachofanyika na wadau wengine wachukue hatua ya kuwasaidia watoto wa kike
@naftaliwilliam514
@naftaliwilliam514 Год назад
Kila la kheri pamba
@JoshuaFesto-ld5ev
@JoshuaFesto-ld5ev Год назад
Sawa vijanaa
@talalmhez
@talalmhez Год назад
Sawa my form president
@safariludefu6175
@safariludefu6175 Год назад
Hongereni kwa kweli na barikiweni sana
@viviannyambui3370
@viviannyambui3370 Год назад
Naomba mawasiliano ya hii chanel pls mko vizur
@WideNewsTV
@WideNewsTV 10 месяцев назад
Asante kwa kuona hii channel ni nzuri namba ni 0764600634 ila usisahau kusubscribe na kushare na ku comment na ku like
@kafeerocomplex4692
@kafeerocomplex4692 Год назад
Do the translations mean that LVRLAC bonded with NMB ?
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 Год назад
Hahaha huyu mwarabu ni mwigizaji mzuri
@paulajohn7901
@paulajohn7901 Год назад
Jamani!! Pole afande RPC MWANZA
@chalhipakanannyoho-uy6dc
@chalhipakanannyoho-uy6dc Год назад
👍
@chalhipakanannyoho-uy6dc
@chalhipakanannyoho-uy6dc Год назад
Good job
@chalhipakanannyoho-uy6dc
@chalhipakanannyoho-uy6dc Год назад
Good job🤝
@hamisishabani3095
@hamisishabani3095 Год назад
Tunawasubili apa kwetu tuwape dawa ya loliondo
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
IKIWA UCHAGUZI NI HAYO, WATU WANAUMISHA VICHWA KISHA MATOKEO HAMNA 👀
@fatmaahmed8637
@fatmaahmed8637 Год назад
Huu ni UONGO MKUBWA,SABABU NI WALIMU WENYEWE NA WATU WA WIZARA,WATU WANAPOTEZA FEDHA NA SERIKALI PIA,KILA MWAKA HAYO,MBONA ZAMANI ENXI YA UMADIKINI HAYAKUWAPI HAYO!!!
@faustinandunguru4684
@faustinandunguru4684 Год назад
Tanzania bila ajali inawezekana timiza wajibu wako!
@saburichutto7098
@saburichutto7098 Год назад
Safi sanaa ,tumechoka ajali za kizembe Tanzania,
@salumumwala7151
@salumumwala7151 Год назад
Pambana kijana
@shabanally2336
@shabanally2336 6 лет назад
wawape hela zao hao