Тёмный
A DIGITAL TZ
A DIGITAL TZ
A DIGITAL TZ
Подписаться
Комментарии
@addullanurmetov9436
@addullanurmetov9436 День назад
РОССИЯ ЖДЕТ ВАС . ВЕРНОЙ ДОРОГОЙ ИДЕТЕ ТОВАРИЩИ ! .
@silvestermbega
@silvestermbega 3 дня назад
Kabla hazija futwa tukojoe kwanza
@davidmwala1589
@davidmwala1589 3 дня назад
Sodongo
@user-sg6xy4qs6o
@user-sg6xy4qs6o 4 дня назад
Uo ni usenge unaofanyika mwenyewe kakukatazeni msicheze nyimbo zake sasa nyie nani kawaruhusu kufanya ivyo uo ni ushoga
@user-ct3so5lb5m
@user-ct3so5lb5m 4 дня назад
😮
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 5 дней назад
Aminiy Dizasta vina Mzee Wakomesho
@AllenMwalimu
@AllenMwalimu 6 дней назад
Amtumikie Mungu et..duh hii nchi ngumu sana
@SupiraMagina
@SupiraMagina 6 дней назад
Lema punguza bangi na jaziba
@GabrielEmmanuely
@GabrielEmmanuely 6 дней назад
Kila nikikúmbuka ety tusisikilize miziki yake nabaki kucheka😅😅😅😅
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 5 дней назад
Hakuna kucheka inabidi tu ukubaliane nae kaamua kunrudia mungu wake
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 6 дней назад
Kitu muhimu ni kuchochea huduma ili iwe mara nne kwa siku itafanya kuwa na biashara kubwa hapo stesheni na pembezoni kwa kweli itabadili maisha ya wananchi kiuchumi
@GetrudaTheresia
@GetrudaTheresia 7 дней назад
Futen hiz
@betinvestment3204
@betinvestment3204 7 дней назад
Ikiwa malaika hukaa mbali na picha zenye mfano wa roho sasa hapo malaika kuingia ningumu hizo picha za ukutani ilibidi mtoe
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 8 дней назад
Amrejee mola wake Kasona dini aache utoto
@pilotwiizzy
@pilotwiizzy 8 дней назад
Sound izo
@asiasuleman8750
@asiasuleman8750 11 дней назад
Asante baba yangu umeona mbari mungu akudumishe na aidumishe amani ya nchi yetu
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 11 дней назад
Wacha mvua lnyeeshe tuone panapovuja tumeongea sana lakini ccm waziba masikio hawataki kusikiliza wanazani kuwa nguvu ya bunduki na risasi ccm watakaa madarakani vizazi na vizazi wakiwaandas watoto wao watutawale kisultanj lakini hawezekani waangalie Uganda sasahivi kimenuka km Kenya bado kwetu sababu wageni wanatuonea Sana na viongozi wachache ktk serekali
@djterminatetz
@djterminatetz 13 дней назад
Labda wa ulevi tu sio kitu chengine kwanza uwe mfano achana na ngumi za mtaani unaingia bar kupiga ma dj mbuzi kabisa afazali hata kondooo 😅
@amediussamson8815
@amediussamson8815 14 дней назад
Hii naunga mkono kabisa 🤝
@almas_boy
@almas_boy 14 дней назад
Courage grand
@PriscarYeremiah
@PriscarYeremiah 16 дней назад
Gigi nipe namba nakupenda sana
@uswizinyanginywa2498
@uswizinyanginywa2498 17 дней назад
😂😂et unacheza na manguruwe mnapigana lakn Miwan haidondoki😂😂
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 17 дней назад
Kiki tu iyo tangazo la biashara
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 17 дней назад
Vijana wa wapi? Wa Arusha na Moshi? Acha zako Dr bunduki, kila siku kuombea machafuko tu , Tanzania iko makini saana hizi tabia
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 17 дней назад
Kapumzike mzee
@LameckMarigo
@LameckMarigo 19 дней назад
Acha ujinga
@FunnyMute255
@FunnyMute255 20 дней назад
🔅🔥🇹🇿
@RichardKilepo-xj1sy
@RichardKilepo-xj1sy 21 день назад
Ahaa
@NeemaSilivans-m6v
@NeemaSilivans-m6v 22 дня назад
Du!!!! R.I.P
@ShukuruNzenzule
@ShukuruNzenzule 22 дня назад
Nakupenda kiongozi wangu
@MussaMeck-j1r
@MussaMeck-j1r 23 дня назад
Daiii
@Juli-ep9dn
@Juli-ep9dn 24 дня назад
Hawa wa online riba KUBWA sana zaidi ya 50% na udhalilishaji
@ObediMeyan
@ObediMeyan 24 дня назад
Hongera sana dada angu
@sangimaheri3532
@sangimaheri3532 25 дней назад
nakubaliii msamination
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 25 дней назад
Mi bado sielewi ushuru tunaolipa wa Tanzania bara tukinunua vitu Zanzibar hata mseme vp siwaelewi.
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 25 дней назад
Tatizo c mwingulu n serkali+Bunge, hawana jipya,
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 25 дней назад
Serkali ifungue RTC tena ili kondi ianzie serkalini, mbona RTC zilikufa c kutisha raia,
@seminduisdory
@seminduisdory 25 дней назад
Ukristo ni dini tukufu yenye misingi imara iliyowekwa na Mungu isinajisiwe kwa kulinganishwa na chama chochote cha siasa.
@mwesigyeglory215
@mwesigyeglory215 25 дней назад
Duuuuh pole sana jamani 😢😢😢
@justinemtiganzi3733
@justinemtiganzi3733 26 дней назад
Mikopo tunayokopa kama serikali basi iendane na matumizi halisi na matakwa ya nchi kulingana na tunapata nini,pia elimu ya ulipaji kodi ni ndogo sana kwa watu au uenda hatuna elimu kabisa ,mapendekezo elimu ya kodi kwa sababu ni pana ianze kutolewa tangu mashuleni ili iwe rahisi kwa huyu mwananfunzi kujua mapema kabla yakwenda kukutananavyo pasipokujua, Elimu ya kodi itarahisisha kupata mapato maana mtu atakuwa anajua kwanini. Makadirio ya kodi yaendane na mazingira pamoja na biashara husika
@bennymkubwa6196
@bennymkubwa6196 26 дней назад
Ahsante kwa taarifa
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 26 дней назад
Bidii ya ukusanyaji iendane na nidhamu ya matumizi serikalini..effort yote hii iwe ni Kwa ajili ya Afya,Elimu,kilimo, viwanda nk si kujiongezea mishahara na kawanunulia viongozi magari ya 500m...jmn muwe serious watz wanateseka...
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 27 дней назад
Vilinge vya TRA barabarani vimekua vingi mno utadhani congo
@justinemsela3593
@justinemsela3593 27 дней назад
Uchaguzi huo
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 29 дней назад
Kikubwa uwe ktk familia yenye pesa tu urubani hakuna ugumu tatizo ni gharama sana hakuna cha ajabu hapo. kuna PPL, PL,SPL,ATPL nk vipengele vyote hivyo uvuke utapata wapi Milioni mia na kitu mtoto wa mkulima. Shida kubwa ni pesa hapo. Unaanzia tanzania hivyo vingine Ethiopia, Kenya na South Africa lazima wazazi wawe njema hapo
@user-jj3os9bx6m
@user-jj3os9bx6m 29 дней назад
Kwanza waondoke pale mikumi maana wanapiga rushwa sana
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz Месяц назад
Una bisara miaka yote ww ndio chairman hicho cha baba mkwe wako wacha kupanga viongozi wacha wana chama wachague ww dikteta uchwara ww
@rizikimwambusi4041
@rizikimwambusi4041 Месяц назад
Mfa maji wewe
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq Месяц назад
Lema ni noma aisee arudi bungen tyu
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 Месяц назад
Commandor cried..... The rock fallen down
@nassororashidi33
@nassororashidi33 Месяц назад
Wana dodoma hatutaki sisi