Hapo kuna maswali mengi kama 1000 ya kujiuliza no 1 tumefikaje hapo watanzania wenzangu na kwa nini tufike hapo? Na tunaelekea wapi? Na tunapata tafsili gani kwa huyu kijana naomba tuwe watu wa tafakuli kabla ya kuhukumu ikiwa bado kuna mabaki ya wenye hekima wa kale tunawasihi tuonyesheni njia itupasayo kuiendea kama taifa
Mashoga na wasagaji: wanaishi maisha yao wanavyopenda bila kuumiza mtu yeyote. Catherine Mahabi: Sahau amri kumi na amri kuu ya upendo, haijaandikwa ila hakumaanisha watu wote. Sisi ni wauwaji ndio maana tutaenda mbinguni.
Hahaha yaani nyie wafuasi wa Mbarikiwa wote akili hamna, unamtukanaje mtu madhabahuni kwa kumwita Malaya halafu ukategemea akuache ache tu hivi, nawaapia kwa Mungu huyo dada angekuwa dada yangu halafu mkamtukana matusi mliyotukana ningewaonesha cha mtema kuni.
WEWE MTOTO WA MBARIKIWA TAPELI AMBAE ANAUNGA MKONO MASHOGA NI CHUI AMEVAA NGOZI YA KONDO MBONA ANATAKA KUTU GOMBANISHA WA TANZANIA KWA KUWATETEA AMBAO WANA UNGA MKONO MASHOGA KINA TUNDULISSU