DALALI WA TAIFA Tuna patikana kigamboni (1)Tuna uza viwanja vya aina zote pamoja na Mashamba (2)tuna uza nyumba za aina zote (3) Tuna pangisha nyumba za aina zote fremu na Magodown (4)Ramani za Majengo Makubwa na madogo (5)tuna toa ushauri wa kitaalam wa ni Ramani ya aina gani utumie kulingana na kiwanja ulicho nunua kwetu na kulingana na bajet yako (6)Msimamizi wa ujenzi wa nyumba yako anapatikana Ni Mwaminifu Ajabu (7)Mafundi wazuri na walio Bobea wanapatikana 8)kwa wale wanaotaka kufika dar na wanaogopa kwa kua hawana wenyeji the king Dom Ni suluhisho tuna kupokea tutakutafutia pa kulala tuta kuzungusha Masokoni Kama umekuja kufunga mzigo 9)Wanachuo wageni tuna wapokea na kuwatafutia vyumba sehemu Salama na karibu na chuo chako